Petermsaki941 Profile Banner
Petermsaki Profile
Petermsaki

@Petermsaki941

Followers
5K
Following
34K
Media
447
Statuses
13K

C.e.o Ndichielectronics Company LTD Ndichi_Automotive Founder: Oppotanzania Undefeated Mind🇹🇿🇰🇪🇨🇳 🇦🇪 for Bussiness kindly dial https://t.co/xbCuhW0V9U

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Petermsaki941
Petermsaki
6 years
Kuudhuria Kanisani, Msikitini au nyumba ya ibada kila Week walau mara moja kuna mchango mkubwa sana katika kukuongeza hofu ya Mungu na kukufanya uishi maisha ya kumpendeza Mungu ambapo kuna mda hata upitie magum kiasi gani unakuta Mambo yako yanaenda tu.
17
42
338
@Petermsaki941
Petermsaki
20 days
"Usiogope kwa maana mimi ni pamoja nawe, usifadhaike kwa maana mimi ni Mungu wako nitakutia nguvu naam nitakusaidia, naam nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu" Isaya 41:10. Muwe na Jumapili Njema.
0
0
1
@grok
Grok
3 days
Join millions who have switched to Grok.
166
191
1K
@Petermsaki941
Petermsaki
20 days
RT @MalisaGJ_: Mungu alipotaka kumpiga Farao na kuangusha utawala wake, aliufanya moyo wake kuwa mgumu kama jiwe. Hakusikia maonyo ya Manab….
0
79
0
@Petermsaki941
Petermsaki
20 days
RT @godbless_lema: Kodak ilikuwa kampuni kubwa duniani katika biashara ya picha. Wenyewe walivumbua kamera ya kidigitali mapema sana, lakin….
0
160
0
@Petermsaki941
Petermsaki
20 days
RT @bajabiri: Kwanini Mkurugenzi Mkuu awe MCHINA?.
0
32
0
@Petermsaki941
Petermsaki
2 months
Zamani nilijuaga watu wenye miaka 30 ni wakubwa sana.
0
0
0
@Petermsaki941
Petermsaki
2 months
Wanaume ni wengi ukiamua kudate na muuza simu shauri yako.
0
0
2
@Petermsaki941
Petermsaki
2 months
RT @IAMartin_: Ndugu @gersonmsigwa Comment ça va? . Nafikiri umeelewa vizuri sasa kwanini jana nilikueleza kwamba Watanzania hawa wa sasa s….
0
259
0
@Petermsaki941
Petermsaki
3 months
RT @twitani_2014: Kumbe @godbless_lema alimtabiria Mbowe kushindwa na Lissu. Ni vile Mbowe tu mbowe alikuwa kakaza fuvu. .
0
203
0
@Petermsaki941
Petermsaki
3 months
RT @mamgunda1: Kumeanza kupendeza 😂😂
0
234
0
@Petermsaki941
Petermsaki
3 months
RT @ChiefLumanyika: Unasimama na Gwajima au msukuma . ?? Kama Ni Gwajima weka Retweet
Tweet media one
0
83
0
@Petermsaki941
Petermsaki
3 months
RT @Lukala_Ngesse: Tumechelewa sana kumwelewa baba askofu . Wote mlio mjibu bishop gwajima njooni mchukue majibu yenu hapa 😄😄 https://t.co/….
0
668
0
@Petermsaki941
Petermsaki
3 months
Uzuri wa CDM hata aondoke nani mwenye ushawishi bado Chama kinatrend, kinaaminiwa, kinakuwa na vibe na kinaonekana kua njia mbadala wa kupambania haki,. Aliondoka Zitto ila bado chama kikawa imara,.naamini CDM imehengwa kwa falsafa nzuri ya njia mbadala ya kupigania haki.
0
0
1
@Petermsaki941
Petermsaki
3 months
RT @chiefodemba: Ila hii siku nilijikaza sana kucheka aisee, eti watajua wao kama ni Rushwa au laah ila pesa wanatupatia kila tukienda kwen….
0
475
0
@Petermsaki941
Petermsaki
3 months
RT @TitoMagoti: ‘Tulikula mtama kwa maji, tukanawiri kuliko wao, hatupupambwa kama wao, tukapendeza zaidi yao, walitubadilisha majina, hawa….
0
379
0
@Petermsaki941
Petermsaki
3 months
RT @ChademaTZ2: Mhe. @TunduALissu akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. "#NoReformsNoElection"
0
989
0
@Petermsaki941
Petermsaki
3 months
RT @HabarimpyaTv: Utani wa Tundu Lissu Mahakamani kabla ya Kesi Kuanza, Viongozi wa CHADEMA waangua kilio mwenye asema "msiwe na hofu tutas….
0
405
0
@Petermsaki941
Petermsaki
3 months
Inahitaji Nguvu ya kiMungu sana kua na Confidence aliyonayo Lissu . hata FAM hakua na Nguvu na tabasam namna hii hata baada ya kukaa gerezani kwa muda na kuachiwa huru.
0
2
6
@Petermsaki941
Petermsaki
3 months
RT @HildaNewton21: Duru zinasema Wahuni wanawadanganya Wanawake wa CHADEMA ambao wanataka Ubunge wa Viti Maalum kupitia CHAUMA kwamba ili….
0
144
0
@Petermsaki941
Petermsaki
3 months
Nitakua wamwisho kuamini kua Mbowe hahusiki na huu usaliti na uhujumu wa CDM,. G55 ni vigeugeu na wasaliti wakubwa, kwanza wafuasi wa FAM baada ya kushindwa uchaguzi walitoa wapi kauli ya kusema hakuna kuhama chama? ni kama walishajipanga kuhama baada ya FAM kushindwa uchaguzi,.
@Kiganyi_
M A G I R I
3 months
In simple terms!
1
0
2
@Petermsaki941
Petermsaki
3 months
RT @ChiefLumanyika: Kama utakuwepo kisutu juma tatu nione retweet yako Apo chini
Tweet media one
0
296
0