paulambross1 Profile Banner
Adviser💪 Profile
Adviser💪

@paulambross1

Followers
3K
Following
131K
Media
1K
Statuses
50K

God First | Advicer | @SimbaSCTanzania, @ManUtd | @realmadrid Fan #MaishaNiKuishi Public Relation Officer at Kukeke Gang

Dar Es Salaam-Tanzania
Joined August 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@paulambross1
Adviser💪
2 years
Elimu sio nyenzo ya kujitajirisha au kupatia cheo cha siasa bali Elimu ni pahala pa kupanua maono yako na kukamilisha ubinadamu wako. #MaishaNiKuishi
2
12
30
@paulambross1
Adviser💪
56 minutes
Peleka moto kaka hakuna kupoa
@LarryMadowo
Larry Madowo
1 hour
OVERNIGHT: American senators demand independent investigation into Tanzania killings after CNN investigation
0
0
0
@LarryMadowo
Larry Madowo
1 hour
OVERNIGHT: American senators demand independent investigation into Tanzania killings after CNN investigation
@SFRCdems
Senate Foreign Relations Committee
5 hours
This report underscores the disturbing actions by the Tanzanian Government to suppress protestors. Evidence of mass graves show an unacceptable attempt to cover-up gross violations of human rights. There must be an independent investigation into these tragic acts immediately.
100
677
2K
@paulambross1
Adviser💪
11 hours
Hii app watu wamechanganyikiwa kweli vile 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
0
0
0
@EliabuDanford
Son of God
2 days
#CodeszaUnabii Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema muda wa mbuyu umeisha. Umeishi kwa takribani miaka 50. Umepukutika. Hauna majani. Jangwa limezidi kuwa kubwa. Mizizi yake imeanza kukauka ndege wa angani hawawezi kupata malisho yao juu yao na ukatwe. Sauti kuu inarudia
11
74
378
@paulambross1
Adviser💪
12 hours
Kmmk wamepata goli 1 Everton 🚮🚮
@paulambross1
Adviser💪
12 hours
Baaaaassssssiiiiiiiii Everton mmeisha hiyo RED card hamtoki 😁😁😁
1
0
0
@paulambross1
Adviser💪
12 hours
Baaaaassssssiiiiiiiii Everton mmeisha hiyo RED card hamtoki 😁😁😁
1
0
1
@paulambross1
Adviser💪
13 hours
Wakati nahimiza kataa MAHUSIANO kataa NDOA wewe ulihisi tunakunyima RAHA? Hao viumbe ni selfish to the maximum 🚮🚮
@clarence1738_
Remmy ongalla
23 hours
Wanawake ni selfish sana yaani namsikiliza wife mawazo yake yeye anajiongelea yeye na mtoto wake tu as if nimekufa😂😂 Hii ni tabia endelevu kila miaka inavyosogea ndio anaongeza uchoyo ndoa hii itakufa huu mwaka nikisepa sirudi🖕🏾
1
0
2
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
14 hours
Huu sio muda wa ku discuss vyama, bali ni muda wa kusimamia UTAIFA, HAKI, UWAJIBIKAJI, UTU, UWAZI na UKWELI Sio muda wa Propaganda, Itikadi au Mrengo. Go play somewhere else I’m Busy!!
@DanyMsigwa
Dany Msigwa
15 hours
@Wakazi Sawa kaka ila chama chako pendwa kilishiliki uchaguzi au wewe kwa sasa hauko tena kule???
4
13
115
@Noedson_tz
23'
14 hours
Nilipost hii Sundar Speaker, Mkali @Mbonile6 akanicheki tukafanya biashara kwa uaminifu, finally mzigo ukamfikia mpaka KIABAKARI MARA. Umetisha sana kaka big up sana. Kama unahitaji TV, soundbar, Friji na simu nicheki tufanye biashara upate mzigo kwa usalama 👊👊✊️
11
44
57
@paulambross1
Adviser💪
14 hours
Wewe unasemaje tatizo ni mfumo au mtu?
@JMakamba
January Makamba
10 years
Wanasema tatizo la ufisadi nchini sio mtu, bali tatizo ni mfumo. Kwa mantiki hii, wanasema Tanzania kuna ufisadi lakini hakuna mafisadi.
0
0
0
@JMakamba
January Makamba
10 years
Wanasema tatizo la ufisadi nchini sio mtu, bali tatizo ni mfumo. Kwa mantiki hii, wanasema Tanzania kuna ufisadi lakini hakuna mafisadi.
54
103
149
@paulambross1
Adviser💪
15 hours
Labda kama Girshoni hajasoma Journalism hii tunayoijua kwa sababu inaruhusiwa kwenye journalism sometimes kutoa habari ya upande mmoja ili kupata ukweli wa upande wa pili na kuifanya habari kuwa kamili.
@LarryMadowo
Larry Madowo
16 hours
Kuhusu Tanzania na ripoti ya CNN
0
0
0
@LarryMadowo
Larry Madowo
16 hours
Kuhusu Tanzania na ripoti ya CNN
192
1K
4K
@paulambross1
Adviser💪
17 hours
Uko sahihi mkuu
@JMakamba
January Makamba
11 years
Mabadiliko, kokote yalikotokea, yalidaiwa na kuongozwa na vijana. Vijana wa Tanzania washike usukani wa kuleta mabadiliko wanayoyataka.
0
0
0
@JMakamba
January Makamba
11 years
Mabadiliko, kokote yalikotokea, yalidaiwa na kuongozwa na vijana. Vijana wa Tanzania washike usukani wa kuleta mabadiliko wanayoyataka.
72
627
1K
@paulambross1
Adviser💪
17 hours
Kama umewahi kufika Kigoma huwezi kushangaa hili ni wako nyuma mno.
@kalage_jr
John kalage 🇹🇿
18 hours
0
0
0
@paulambross1
Adviser💪
17 hours
😆😆😆
@swahilitimes
Swahili Times
18 hours
Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kuwa mwaka huu hakutakuwa na sherehe za maadhimisho ya siku ya Uhuru (Desemba 9), badala yake fedha zilizokuwa zimetengwa kwa shughuli hiyo zitumike kukarabati miundombinu iliyoharibiwa wakati wa vurugu Oktoba 29. Hayo yameelezwa na Waziri
0
0
0
@HecheJohn
John Heche
17 hours
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Kigoma Rajabu Bujoro na Mwenyekiti wa wilaya ya Kasulu Fanuel Kisabo wamefikishwa mahakamani leo na kushitakiwa kwa makosa ya uongo ya kubambikiza.. Makosa kama haya ya ugaidi wa uongo ndio nilitakiwa kushitakiwa nayo.. Huu ni muendelezo wa uonevu
15
252
933
@paulambross1
Adviser💪
18 hours
RT
@JayUmeme
Jay~Umeme⚡
24 hours
Nafanya wiring nzuri karibuni🔥 Nafanya wiring nzuri karibuni🔥 Nafanya wiring nzuri karibuni🔥 Nafanya wiring nzuri karibuni🔥 Nafanya wiring nzuri karibuni🔥 Usisite kunipigia simu, napatikana Mwanza ila popote nafika tukikubaliana 🤝 📞 0714361234 #MkonoWaJay
1
2
2
@JayUmeme
Jay~Umeme⚡
24 hours
Nafanya wiring nzuri karibuni🔥 Nafanya wiring nzuri karibuni🔥 Nafanya wiring nzuri karibuni🔥 Nafanya wiring nzuri karibuni🔥 Nafanya wiring nzuri karibuni🔥 Usisite kunipigia simu, napatikana Mwanza ila popote nafika tukikubaliana 🤝 📞 0714361234 #MkonoWaJay
13
76
129