NeymahJoh Profile Banner
Neymah-joh Profile
Neymah-joh

@NeymahJoh

Followers
237
Following
6K
Media
304
Statuses
9K

African Girl🐰 Farmer 🐇 Open-minded🐭 Teacher🐀 Phlegmatic🌹 Introvert🍁 Libra🐨 Entrepreneur 🕊

Arusha, Tanzania
Joined January 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@NeymahJoh
Neymah-joh
3 years
Kama hukupata malezi mazuri na upendo ulipokua mtoto lazima ubehave kama hayawani.
0
2
6
@KEYDEVU
KIDEVU
4 months
Kuna muda inatakiwa ukose pa kuegemea ili usimame imala!!✍️
17
77
319
@NeymahJoh
Neymah-joh
4 months
Litimu langu💚💛
@YoungAfricansSC
Young Africans SC
4 months
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️| #CRDBFederationCupFinal Young Africans SC 2-0 Singida BS #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
0
0
0
@NeymahJoh
Neymah-joh
5 months
Baba ni msingi imara wa familia, ni mhimili shupavu katika uchumi na ni nguzo imara katika ukombozi. Niwatakie heri na baraka nyingi kina baba wapambanaji, msichoke. Daima jivunie kuwa mwanaume na baba #FathersDay #June15
0
0
0
@NeymahJoh
Neymah-joh
5 months
Kwenye hii miaka yenu 25, mi niko nanyi mwaka wa 15 huu. Boresheni huduma
@VodacomTanzania
Vodacom Tanzania
6 months
Jibu sahihi tuambie kwenye comments 🎊 #tbt #PamojaTunaweza
0
0
0
@SwahiliBible
Mwemezi Rwiza, PhD
6 months
Anger is useless. When you are angry at people, it doesn't mean those people stop having fun in their lives. Your anger kills you, not the people you are angry at.
3
18
111
@SwahiliBible
Mwemezi Rwiza, PhD
6 months
Hey, Mungu wetu ni mponyaji. Bwana Yesu anaponya. Magonjwa mengi yasiyo ya kuambukiza huanzia nafsini kabla yawe wazi katika mwili. Kule kwenye nafsi weka dozi kubwa ya uwepo wa Mungu. Utembee ktk afya ya Mungu. Acha kuichosha nafsi kwa kuwaza kupitiliza na kuishi bila faragha ya
1
26
126
@jwise017
NYANI MZEE
6 months
Piga goti mwambie/mlilie Mungu shida zako atakusikiliza. Maombi sio mpaka yapitie kwa wachungaji na manabii FAKE ndio yasikilizwe. Imani yako itakuokoa na upuuzi mwingi sana wa kuambiwa nunua mafuta, chumvi au maji ndio jambo lako litamfikia Mungu. Mungu hana dalali yeyote!!
7
38
202
@NeymahJoh
Neymah-joh
6 months
Hata wajinga pia wanakua na kuzeeka
0
0
2
@SwahiliBible
Mwemezi Rwiza, PhD
6 months
KWENYE safari ya maisha usiruhusu kila mtu ajue kila hatua unayopiga. Jifunze kuwachanganya baadhi ya watu, hasa wale ambao hudhani wanakufahamu vizuri. Nenda mbele kama vile umesimama. Simama kama vile unarudi nyuma. Wajiulize umefikaje ulipofika. Watafikiri umefika ghafla
13
77
276
@IdrisSultan
Idris
7 months
Ukikosa uwezo wa kujitathmini utaona kama kila mtu anakukosea wewe.
16
31
216
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
8 months
Wape faraja wanapohisi wataipata kutoka kwako
2
15
85
@EddyAman5
JIGA📌📌
8 months
Watu wenye Akili ndogo wanajua Sana kuongea kuliko kufikiri ✍🏻
0
3
12
@Arafat__AH
Arafat Ally Haji
8 months
#NasahaZaAAH “Ukiwa unamenya karanga za Kipofu, hakikisha unapiga sana miruzi ili awe na amani kuwa hauli karanga zake, kwenye kila kazi ya watu utakayopewa basi jitahidi sana kuwa muumini wa kurejesha taarifa kila wakati”
12
64
270
@NeymahJoh
Neymah-joh
9 months
“Unapofeli usiwazuie kukucheka, unapofaulu usilazimishe wakusifie, huhitaji kelele zao wala pongezi zao, unahitaji macho na masikio yao washuhudie namna unafanya vitu vitokee” Arafat Haji
0
0
0
@Arafat__AH
Arafat Ally Haji
9 months
#NasahaZaAAH “Unapofeli usiwazuie kukucheka, unapofaulu usilazimishe wakusifie, huhitaji kelele zao wala pongezi zao, unahitaji macho na masikio yao washuhudie namna unafanya vitu vitokee”
14
56
272
@NeymahJoh
Neymah-joh
10 months
Goli la caf tunalo Our own boy Mzize💛💚
@YoungAfricansSC
Young Africans SC
10 months
𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️| #CAFCL Young Africans SC 1-1 TP Mazembe #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
0
0
0
@NeymahJoh
Neymah-joh
10 months
@NeymahJoh
Neymah-joh
4 years
Chapter 1 Page no 1 #2022
0
0
0
@NeymahJoh
Neymah-joh
10 months
Chapter 01 Gratitude
@NeymahJoh
Neymah-joh
2 years
Chapter 12 Gratitude
0
0
0
@NeymahJoh
Neymah-joh
10 months
Dear Lord, Thank you.
0
0
0
@Hombyjr1
Homby 🇹🇿
11 months
Jifunze kukaa kimya maana ukikaa kimya ni ngumu mtu kutambua kwamba wewe ni mjinga kiasi gani, au ni mwelevu kiasi gani.
0
3
21