EddyAman5 Profile Banner
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ Profile
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ

@EddyAman5

Followers
4K
Following
43K
Media
192
Statuses
47K

Dorn

San Diego, CA
Joined August 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
7 hours
Ukiona Mpenzi Uliekua nae hakuoni wa Umuhimu tena anakupuuza Usimng'ang'anie chagua amani ya Moyo wako πŸ“Œ
0
3
7
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
7 hours
Kisaikolojia Mtu akisha pata chanzo kipya cha Msisimko huanza kuhangaika zaidi na Muonekano wake kuliko kitu chochoteπŸ“Œ
0
1
4
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
12 hours
Mwenyezi Mungu anapo kupa Mtihani Unapaswa kuamini kua Mwenyezi Mungu hakupi Mtihani huo kama Si kipimo chako πŸ“Œ
0
1
4
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
15 hours
Kuna Watu wanaishi Mazingira bora kuliko wewe lakini Usiku hawalali ishi Maisha yako kuna siku Utakua Mfalme wa Maisha yako πŸ“Œ
4
3
13
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
15 hours
Maisha ni fumbo lililo fichwa kwenye kutabu cha Pumzi πŸ“Œ
0
0
7
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
16 hours
Hautakua Salama kama Utamuacha Mungu kwenye Maisha yako Usimuache Mungu haujui kesho yako πŸ“Œ
0
1
7
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
1 day
Usiwe na Matumizi Mabaya ya Mwili wako Afya ni rasilimali kubwaπŸ“Œ
0
6
19
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
2 days
Usioe Mwanamke ambae Unampenda maanake Mvuto tamaa isikufanye Useme huyu ni Mke wangu πŸ“Œ
0
1
7
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
2 days
Nirahisi kwa Mwanamke kumpoteza Mwanaume kwasababu ya pesa na nirahisi kwa Mwanaume kupoteza pesa kwasababu ya Mwanamke πŸ“Œ
1
2
15
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
2 days
Kamwe Usimfanye Mwanamke aachane na Mtu alie nae kwa ajili yako Utajuta πŸ“Œ
1
3
18
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
2 days
Wanawake hawana Mapenzi kwa Wanaume Wanawake wanamapenzi kwa kile wanachokipata kwa Mwanaume πŸ“Œ
0
2
6
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
2 days
Dada ielewe hii Mwanaume atakupa kila kitu lakini heshima yake Ukiigusa anaruka mbali πŸ“Œ
0
3
7
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
2 days
Etilisti Miaka kumi kua kwenye ndoa ndio Utaacha kushangaa Matukio ya Mwenzako πŸ“Œ
0
0
3
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
2 days
Unapo Muoa Mwanamke na Ukapewa cheti cha ndoa haimaanishi ndio Umepewa leseni ya Udereva bali ni kama kibali cha Mwanafunzi πŸ“Œ
0
3
7
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
2 days
Uhalisia wa Mwanamke wako umebebwa na aina ya Marafiki alionao πŸ“Œ
0
3
6
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
2 days
Mwanamke ambae amewahi kuwa kwenye Mahusiano na Mwanaume kwa ajili ya pesa si Salama kuwa nae πŸ“Œ
1
1
5
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
2 days
Usiingie kwenye ndoa kwasababu ya Upwiru Oa kwasababu Uko tayari kuwa Mume wa MtuπŸ“Œ
0
1
2
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
2 days
Mwanamke anaweza akajichinja Makusudi ili atoke damu kwa kukuangalia wewe tu Kama Unampenda au humpendi Ukidharau ,hamuelewani tena πŸ“Œ
0
1
0
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
2 days
Ukikosea kuoa au kuolewa ni Sawa na kumeza Sumu ambayo itakumaliza Mwenyewe kimya kimya hata kama Una Moyo Safi vipi tafuta Mtu sahihi wa kuishi naeπŸ“Œ
0
1
7
@EddyAman5
JIGAπŸ“ŒπŸ“Œ
2 days
Kosea vyote lakini Ukikosea kuoa au kuolewa Umejimaliza Mwenyewe πŸ“Œ
0
2
3