salim_alkhasas Profile Banner
Salim Alkhasas Profile
Salim Alkhasas

@salim_alkhasas

Followers
223K
Following
3K
Media
8K
Statuses
74K

The return of Papaa mchoyo, kipande cga waya…Mnafiki pro max..

Tanzania
Joined April 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
2 hours
Halafu watu hawajui huyu jamaa alikuwa diwani kabla hata aanze haya mambo yake. alikuwa mwanasiasa safi wa ACT. hadi akafungwa enzi zile.
@Eric__Bernard
MR BEN
5 hours
Ukiachana na ajenda za TL kwa Ground Libaba Levo linajua Kujielezea sana na Kujenga Hoja!! 🙌
5
8
19
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
20 hours
RT @VitusNkuna: Maneno kidogo VITENDO SHIDILIIII
Tweet media one
0
4
0
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
21 hours
Sijaelewa, inachekesha?.
@Makaveli_255
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 
21 hours
Gari iliyoungua Misungwi yateketea kwa moto, walikua wanaenda kwenye ufunguzi wa CHAN😂.
1
2
4
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
21 hours
RT @thomasjkibwana: Rais Samia Azindua Rasmi Bandari Kavu ya Kwala. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,….
0
51
0
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
21 hours
RT @Sisimizi3: Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR….
0
3
0
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
21 hours
Unataka tume iruhusiwe kuhuta majina? Tumbe ambayo viongozi wake baadae wanakuwa wagombea? Kuweni serious na nini mnadai sio mnazagaa tu.
@moodymbiombio
Kimaro🇹🇿
22 hours
@salim_alkhasas Kijana unaejivunia utandawazi unauliza time itapata wapi taarifa za mtu aliekufa kweli Bado sana.
2
0
2
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
22 hours
Katuvurugaaaa ila mwisho hakuweka sawa 🙌🏻🙌🏻🙏🏼🙏🏼.
@MenThePodcast
Men.Men.Men - The Podcast
1 day
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu….Ukimfanya mke, mume, mteja, mtoto au serikali kuwa kinga ya moyo wako, tayari umejiondoa kwa Chanzo cha kweli. Ujumbe mzito kutoka kwa Deo Sukambi ndani ya #MenMenMenPodcast. Sikiliza/ Tazama sasa
0
0
0
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
22 hours
RT @SuluhuSamia: Kazi ya kuifanya nchi yetu kuwa kitovu cha biashara, usafirishaji na uzalishaji wa bidhaa, inahitaji uwekezaji na miundomb….
0
233
0
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
22 hours
Kwamba unataka tume ya uchaguzi wakae wasync data ofisini kwao huko? Ukifungua hiyo pandora box mtu wao kaskazini ataenda kupiga kura aambiwe jina lako halipo na akihoji polisi wamtoe na marungu.
@DKabugumila
Mwesi
22 hours
@salim_alkhasas INEC imeshindwa ku'sync data za RITA???!!! Sasa kinachofanyika kwenye hizo taasisi kina mantiki gani kama uhakiki wa data tu ni "kaput"?!!! Kwamba wafu wahakiki/wahakikiwe na jamaa zao kwenye daftari ya wapiga kura na kwingineko??!!! Nonsense.
1
1
3
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
22 hours
Hata Mbowe na Mrema na Kigaila ni watu ulikuwa unawaheshimu na kuwapigania. , kaa na heshima yako.
@librabobby
111 kicheche
22 hours
@salim_alkhasas Unaweza kukuta mtu una mheshimu tu vizuri akianza kuongea Sasa 🚮🚮🚮🚮alafu hawa ndio viongozi wetu wanaopita fisiem kwa hyo daftari lilipo boreshwa alienda kujiandikisha au.
1
0
0
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
22 hours
Tumejielekeza sehemu sio… tungelia na mawakala madhubuti kwa sababu marehemu hawezi kupiga kura.
@lugmeryz
Lug
22 hours
@salim_alkhasas Salim una point ya msingi sana . Ila kama hii tume ingekuwa na weledi japo kama punje ya haradani ilipaswa kwenye taarifa yao ieleze kuwa idadi hiyo waliyotangaza inajumuisha data za kwanzia miaka ya nyuma hivyo kuna provisions ya % ya watu ambao wamefariki au hawapo nchini.
1
0
0
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
22 hours
Kuna sensa imesema juma kafa? Mimi nisaidie swali moja, je wewe ukifa leo tume wanajuaje umekufa? Je tume waamue tu huko nyumbani kwao kuchagua majina ya waliokufa?.
@Ilyias_lee
Ilyias 𝕏 lee
22 hours
@salim_alkhasas Kaka tuanzie kwenye lengo la kufanya sensa kabla hatujakuja kwenye kuboresha daftar, maana sensa ndio dira ya population data zote.
1
0
1
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
22 hours
Twende taratibu, kwa hiyo tume wachukue tu sensa waseme hawa ndio wapiga kura na hawa sio… yani tume iamue kuandikisha watu chumbani jwao based on sensa na rita?.
@cw_pedro
CWPedro
22 hours
Mifumo ya Tume 'Huru' isomane na mifumo mingine kama ule wa RITA, unaorekodi vizazi na vifo. Yaani hata wanaofikisha umri wa kupiga kura, wa miaka 18, isingekuwa kazi ya Tume kutumia mapesa mengi kuwaandikisha. Any way, ndio ulaji pia uko humo.
1
0
0
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
22 hours
Maboresho ni kuhakiki taarifa za walioenda kuhakiki. wewe ukihamia magomeni toka morogoro, ukibadili majina etc.
@Ilyias_lee
Ilyias 𝕏 lee
22 hours
@salim_alkhasas Unaweza kuelezea nini maana ya kuboresha daftar mkuu, since 2015 means daftar limedanyiwa marekebisho au maboresho mara mbili ila muungwana bado jina lipo hauoni kama ni tatizo. ??.
1
0
0
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
22 hours
Jibu swali langu, unataka tume ya Uchaguzi wapewe mandate wao kwa kushirikiana na taasisi tu nyengine huko waseme tumefuta majina haya hawa wamekufa?.
@wanyabumbu
Supreme
22 hours
@salim_alkhasas Hivi kiongozi kwa utashi wa kawaida tu kuna umuhimu gani wa kuwepo kwa taasisi kama RITA!? Kwamba kwa Technological advancement yote serikali ilivyojitahidi kuwekeza inashindwa nini ku-utilize database ya RITA!?.
3
1
3
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
22 hours
So unataka tume ya uchaguzi wapewe mandate ya kufuta majina watu kwa kigezo wameambiwa tu cha ritha? Nitukane tu kwa akili hizo.
@Ilyias_lee
Ilyias 𝕏 lee
22 hours
@salim_alkhasas Kuna cheti cha kifo, taarifa zinakaa rita, basi tufanye unafikilia kwa kutumia matako nini maana ya kuboresha daftar 2020, means ni ku ommit wale ambao wamefarik na walioenda ughaibuni “special manina for you”.
2
2
3
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
22 hours
Kwamba unataka tume iwe na jukumu la kufuta watu kusema wamekufa? Unajua nini kitatokea kwa ngome za upinzani ukifungua hiyo pandora box?.
@wanyabumbu
Supreme
22 hours
@salim_alkhasas Umejitahidi kudhihirisha jinsi gani sirikali illiyopo ina upumbavu mkubwa sana. Tume inatengewa bajeti lakini inashindwa fanya majukumu yake kwa weredi. Vibaka tu🚮.
2
2
4
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
22 hours
Kuboresha taarifa. unaelewa maana yake?.
@jkbtetes107
Gmmy
22 hours
@salim_alkhasas Nini maana ya kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura. ?.
3
0
0