KassimSaad26545 Profile Banner
KASSIM SAAD DAUDI Profile
KASSIM SAAD DAUDI

@KassimSaad26545

Followers
4
Following
409
Media
5
Statuses
58

fighter

Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2025
Don't wanna be here? Send us removal request.
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
2 months
Safi kamaradi.
@_zack255
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
2 months
@MarthaKarua HOJA SITA JUU YA MARTHA KARUA KUZUIWA KUINGIA NCHINI. Na Adv. Heche, Dodoma . Leo, tarehe 18 Mei 2025, mawakili Martha Karua, Gloria Kimani na Lyn Ngugi wamezuiwa kuingia nchini wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kama wakili mwenye uzoefu na.
1
0
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
2 months
Watoto wako ndio Ndugu zako Sasa nyie toeni tuu Mimba. Laana ya mauwaji utakuandama tu maana tofauti yako ni silent killer.
0
0
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
2 months
Kuolewa na kuwa mke ni vitu viwili tofauti. Baadhi wanataka kuolewa, lakini hawataki kuwa mke/wake.
0
0
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
2 months
Uliwahi kukaa ukajiuliza ni kwanini wewe ni Maskini??.Je! Ulipata jibu?.Pambana show off na chuki binafsi hasisaidii ukikata tamaa hakuna ataekubembeleza hata ukifa tutazika na Dunia itaendelea yaani NO ONE CARES ETI WEWE UME GIVE UP AU UMEKUFA.
0
0
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
2 months
Ishi maisha ambayo tegemeo lako na familia yako ni MUNGU na wewe peke yako. Amka ukiwa na mawazo ya kwamba wewe ni mstari wa mwisho wa ulinzi wa familia yako. Jenga akili iamini kuwa maisha yako na ya familia yako yatainuka kwa mapenzi ya MUNGU pamoja na mapambano na juhudi zako.
0
0
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
2 months
Watumishi mmepambana kukuza uchumi wetu kuanzia July 2025 Kama ulikuwa Unalipwa. 370,000 - utalipwa 500,000.540,000 - utalipwa 640,000.770,000 - utalipwa 900,000.900,000- utalipwa 1,030,00.1,030,000- utalipwa 1,160,000. Nakuendeleaaaa. Haya ndiyo mambo ya Mama, Profesa wa Siasa
Tweet media one
0
0
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
2 months
📌HERI YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI. Kazi na Utu, Tunasonga Mbele
Tweet media one
0
0
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
2 months
BAKWATA SIO taasisi ya Dini ni taasisi ya serikali inayofanya mambo ya Dini.
@EdwardBuss80356
Edward Bussagwe
2 months
@KassimSaad26545 @CoolestDudeOnX @Sirjeff_D Maagizo gani ya Mungu nyinyi BAJWATA mmeyazingatia?.
1
0
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
3 months
Kijana mwenzangu usidharau mafanikio yako hata kama ni kidogo kiasi gani. Kesho yako kubwa na ya ndoto zako inaanza kujengwa na kidogo ulichonacho sasa. Tena usiruhusu watu wadharau ulichonacho, kwani hawakuwepo wakati unatokwa jasho kukitafuta. Pambana amini kesho yako ni kubwa.
0
0
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
3 months
Tunatakiwa kufuata agizo la Baba.
@ReganTesla_
M.D (🅨)
3 months
Mfano! Kwenye familia yenu panatokea sana misiba, watu wanaumwa tumbo wanakufa. Baba akasema sitaki familia yangu ile tena chakula alichopika dada wa kazi abadikishwe. Na vyakula vyote vikaguliwe. Wewe na mama yako mnatakiwa mfanyeje?.
1
0
1
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
3 months
RT @MarekaMalili: Hii mbona ndio tunaona leo habari muhimu, kwanini watu hamjatoa rts za kutosha? Mnapita kama mnaaga maiti?.
0
9
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
4 months
RT @ReganTesla_: Masuala ya kupaka pesa mate ilikuwa zamani. Pata mashine ya kuhesabia pesa kwa 285,000 tu. Dar na mikoani utaipata. Ina….
0
16
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
4 months
Kazi kukimbia mechi tu haya na hiyo mechi mje na vibwengo.
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
4 months
Tweet media one
0
0
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
4 months
True.
0
0
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
4 months
RT @PAOK_FC: #FansMVP Πολυτιμότερος κόντρα στον Asteras AKTOR ο #Samatta! #StoiximanSuperLeague #stoiximan #slgr #PAOK #OurWay . ➡️ https:/….
0
223
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
4 months
WANANCHI, mechi yetu dhidi ya Mtani imeisha leo hii kwa msimu wa 2024/25 raundi ya pili na ieleweke vyema hakutakuwa na mechi nyingine sehemu nyingine, siku nyingine na tarehe nyingine yoyote kwa Ligi kuu, iwekwe sawa kwenye kumbukumbu na ikolezwe vyema kwa wino kuwa its done .
0
0
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
4 months
Hakuna kitu Kama hiki! Mlijikomba komba tu na ilikuwa ni Asante kwa kupewa asali. Muwe waelewa siasa ni Sanaa hubadilika kulingana na wakati .
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
4 months
Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika afunguka kuhusu tukio la Mbowe kumkabidhi Tuzo Rais Samia.
0
0
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
4 months
Ukweli ni kwamba Jana Simba SC ilikuja na msafara wa basi moja la wachezaji basi moja la wazee na fuso nne zilizokuwa na watu waliovaa nguo nyeusi na nyekundu vichwani. Ndio maana walizuiliwa.
0
0
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
4 months
Atoe kwanza zile 29B.
@FKihamu
Farhan Kihamu Jr
4 months
🚨TAARIFA KUTOKA KWENYE VYANZO VYANGU NI KUWA MFADHILI WA SIMBA MO DEWJI, AMEAHIDI KIASI CHA DOLA 300,000 ZA KIMAREKANI ENDAPO WATAONDOKA NA USHINDI DHIDI YANGA, KIASI HICHO NI SAWA NA MILLION 791 ZA KITANZANIA.
Tweet media one
0
0
0
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
4 months
Kazi NZURI za FINISHING . TILES SKIMING NA RANGI .TELL:0775409075.POPOTE TUNAFIKA HADI MIKOANI. KARIBUNI
Tweet media one
0
0
0