Hasheem Bongo
@HBongoMan
Followers
2K
Following
20K
Media
137
Statuses
1K
A Tanzanian 🇹🇿 rapper with a political mind
Joined October 2021
Huyu kwenye picha anaitwa Adam Nzella ni mfanyabiashara wa Kariakoo. Juzi akiwa Dukani kwake walienda watu sita ambao walijitambulisha kuwa ni maofisa wa Polisi walisema anahitajika Central Police Dar kwa ajili ya Mahojiano kisha wakaondoka nae. Usiku huo huo ndugu na marafiki
25
142
741
Let it be remembered huyu mzee wetu kabisa kasimama na sisi bega kwa bega. @TanzYetu
Katika NYAKATI HIZI ambazo UTEKAJI umekuwa ndio nguzo kuu ya kuendesha nchi kwa serikali hii ya WAKOLONI WEUSI wewe umesimama kwa sauti kuu kupinga UTEKAJI. Umewaambia wananchi UTASIMAMA NAO kupiga kelele kupinga UTEKAJI na kamwe hutarudi nyuma hata kama msimamo huu utapelekea
0
1
9
@IssaShivji Utekaji bila kukomeshwa utazaa ugaidi. Ni hatari kubwa kwa amani yetu. Mtu akikosea apelekwe polisi na mahakamani. Haki itawale. La sivyo tunacheza na moto utatuangamiza sote. Tujitafakari na Tujisahihishe.
71
390
1K
Mimi Binafsi nazidi kukuombea maisha marefu, nisingetamani uondoke duniani kabla hujahukumiwa na mahakama zetu!
12
55
284
You might think Tanzania is preparing for war, but it's only General Elections. President Samia Suluhu is extremely scared
188
899
4K
I just finished listening to Bishop Gwajima today - he spoke many gems. A few stood out to me, especially this: it should always be about the people. People deserve respect - to be listened to, valued, and acknowledged. You cannot claim to build a nation while disregarding the
5
153
628
Safi sana wananchi, Nguvu ya uma imeshinda,mmefanikiwa kuipeleka ngoma yetu ya Maandamano #TeremshaBunduki namba moja. 💪💪 Sauti ya uma ndio sauti ya Mungu. Mmewashusha mboga mboga wote! Safiii sana, tuamishe nguvu yetu kwenye Challenge ya kumsupport Roma, tumpe maua yake
8
95
416
@mwakasege_update ametumia NGOMA yetu ya UKOMBOZI bila kuweka Caption. Hii tulikubaliana matumizi ya hii nyimbo ni ishara ya kuungana na UMMA kwenye maandamano ya 29.10 #MO29 Wanangu #MO29 hii ngoma ishaisha, tujiandae kusherekea UKOMBOZI wa hili taifa 29.10–tujitokeze kwa
7
132
936
Let it be remembered waliosimama na wananchi wakati huu. @Sativa255 @lifeofmshaba @ze_mandevu @ClubMagufuli @EduTalkTz @HildaNewton21 @MariaSTsehai
1
17
49
Gwajima rasmi ni familia. #MO29 “Sikubali utekaji, sikubali uonevu, ninasimama na wananchi” Askofu Josephat Gwajima
7
90
490
Huyu Samia kaziba masikio na pamba, Oktoba 29 mapema tutamshangaza. @Sativa255 @MariaSTsehai @lifeofmshaba @ClubMagufuli @HildaNewton21
1
9
34
“Mimi nasimama na Wananchi na nitaendelea kusimama na Wananchi mpaka mwisho”-; Bishop Gwajima
22
230
2K
Swali gumu kwa Polisi, Tuambieni Polepole yuko wapi? @Sativa255 @MariaSTsehai @ClubMagufuli @lifeofmshaba @ze_mandevu @TitoMagoti
0
16
63
Samia na njia zake haramu za kushinda uchaguzi mwisho wake ni Oktoba 29. @Sativa255 @MariaSTsehai @ClubMagufuli @lifeofmshaba @ze_mandevu
0
16
56
Mwanetu @Sativa255 kamtaja sana Mafwele ila bado anadunda tu mtaani, Haya maswali yanaleta maswali mengi sana. @MariaSTsehai @ClubMagufuli @lifeofmshaba @ze_mandevu @TitoMagoti
0
18
63
Ivory Coast wananchi wameingia vituo vya kura na kuchana kila kitu wamesema hakuna uchaguzi! Afrika hakuna wajinga wala waoga waliobaki 😏 Hawa madikteta uchwara watajua hawajui! #MO29
34
347
1K