GIFT WILLIAM🇹🇿
@GiftWilliam_
Followers
13K
Following
31K
Media
1K
Statuses
5K
Son of Africa | Proud Tanzanian🇹🇿 | Educationist. #BeatitudoEstOmnia.
Joined May 2020
Kheri ya sikukuu ya Krismasi kwako na kwa wapendwa wako!. #MerryChristmas #MerryChristmas2025
0
1
1
Kheri ya sikukuu ya Krismasi kwako na kwa wapendwa wako!. #MerryChristmas #MerryChristmas2025
0
1
1
Raila Odinga was a true champion of democracy. A child of independence, he endured decades of struggle and sacrifice for the broader cause of freedom and self-governance in Kenya. Time and again, I personally saw him put the interests of his country ahead of his own ambitions.
9K
23K
156K
Oya Washkaji Safari ya Kesho hupangwa Leo•
0
1
11
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Raila Amolo Odinga. Tumempoteza kiongozi mahiri, Mwanamajumui wa Afrika, mpenda amani na mtafuta suluhu, ambaye ushawishi na upendo wake haukuwa tu ndani ya Kenya, bali Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla. Msiba
432
840
4K
Angetulia zake asiote kitambi saizi angekua anakula zake hela huko Uarabuni.
1
0
67
Kiswahili kinaanza kufundishwa rasmi huko Somalia kwenye ngazi zote za Elimu. Hilo limetangazwa na Rais wa nchi hiyo kwenye mkutano wa EAC. Mpaka sasa Kiswahili kinazungumzwa na watu zaidi ya Milioni 200 tena Kiswahili ni miongoni mwa lugha 10 zinazozungumzwa zaidi duniani.
19
48
974
Kuanzia tarehe 23 Oktoba, Tanzania itawekwa katika Programu ya Majaribio ya Dhamana ya Viza (Visa Bond Pilot Program). waombaji wote wa Viza wanaotaka kwenda Marekani kwa shughuli za Kibiashara/Utalii (B1/B2), watatakiwa kuweka dhamana kabla ya viza kutolewa kwao. Serikali ya
79
94
329
Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said ameteuliwa na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano yote ya vilabu ya Wanaume Duniani kwa kipindi cha miaka minne kuanzia mwaka 2025 hadi 2029. Hongera @Caamil8 Hongera Tanzania.
0
1
12
🇹🇿 Congratulations, Eng. Hersi Said! 🤝 The Chairman of the African Club Association (ACA), Eng. Hersi Said, has been appointed as a Member of FIFA’s Men’s Club Competitions Committee. A prestigious role that runs until 2029. A proud moment not just for Tanzania, but for
12
37
645
Tanzania's Economic Freedom: Steady Growth Amid Structural Challenges. In fiscal year 2024/25, real GDP growth reached 5.6%, slightly above the 5.5% forecast, driven by robust performance in agriculture, mining, and services. Click to read more; https://t.co/qu0WoLV7yG
uchumi360.com
In the latest Economic Freedom of the World 2025 Annual Report published by the Fraser Institute, Tanzania ranks 120th out of 165 jurisdictions with an overall...
1
2
2
Happy birthday to our former president @jmkikwete
Siku kama ya leo yaani Oktoba 7 alizaliwa Rais wetu Mstaafu wa awamu ya nne Mh. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete. Happy birthday Mh. Rais Mstaafu Dkt @jmkikwete hakika umekua hazina kubwa kwa chama, taifa, Afrika na dunia.
6
1
16
Kitu ambacho nina uhakika nacho ni kwamba Tanzania ipo salama chini ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania. 🫡
74
83
251
Good morning wapambanaji. Baraka za Mungu zikawe na wapambanaji wote katika kutafuta ridhiki siku ya leo na siku zote.
1
3
9
Kwahiyo kocha ataendelea kufundisha huku anaendelea kusoma open university amalizie masomo. Who advised them 🤔.
SULEIMAN ABDALLAH MATOLA NDIE KOCHA MKUU WA SIMBA SPORTS CLUB MSIMU WA 2025/26 Dimitr Pantev ataingia kwenye makaratasi kama Meneja Mkuu kwa maana hana vigezo vya kuiongoza timu Kimataifa au kwenye Ligi, hivyo Matola ndio Kocha Mkuu na Pantev atakuwa Mkuu huko mazoezini.
1
1
14