Chriss papy 🦅 Profile Banner
Chriss papy 🦅 Profile
Chriss papy 🦅

@chriss_papy

Followers
2,675
Following
2,102
Media
2,151
Statuses
46,602

Board member at kukeke & L.M.S

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
1 month
Raha ya mapenzi mgombane mwanamke aongee hata nusu saa anakusema tu wewe umekaa kimya 😂🙌🏾
73
41
648
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
5 months
Crown athlete 2023 🔥🔥🔥
Tweet media one
55
51
1K
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Me now: Dream:
Tweet media one
Tweet media two
93
71
720
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
1 year
Nasikitika kupoteza moja ya pikpiki zangu ambayo ilikua inafanya kazi yombo- vituka Leo saa 7: 42 mchana kwa yeyote ambaye atapata kuiona au kuwa na taarifa yeyote naomba tuwasiliane 0689547930 Note: Zawadi kwa yeyote atakatefanikisha kupatikana🙏🏽
Tweet media one
Tweet media two
85
112
465
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
7 months
We mwanamke gari hulewi 😂😂😂
57
72
443
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
7 months
Msaada naomba mnichagulie ipi Kali zaidi A B
Tweet media one
Tweet media two
144
28
429
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Mambo ya kutongozana yameshaisha 😂😂😂
46
76
434
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
10 months
Mwanaume ni mwanaume tu…😂
35
74
420
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Baba Junior kashindwa kujikaza kidogo kaunguza mkeka…😂🙌🏾
73
44
411
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
8 months
Ukipewa mtaji wa 30M sasaivi utawezekeza kwenye biashara gani ambayo utaweza kurudisha iyo hela ndani ya miezi 6 na ukabaki na iyo biashara ikiwa imesimama?
97
19
394
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
1 month
Mkude kashusha chuma 🔥🔥🔥🙌🏾
Tweet media one
12
10
389
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
4 months
Asa unamblock mtu na kashakudinya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
51
39
360
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
8 months
Wanatakiwa vijana 10 kwa siku utalipwa 10k utapewa chakula na pakulala Kama uko tayari nicheki nikupe maelezo zaidi usiwe unatumia kilevi wala tabia za kihuni, Ahsante 🙏🏽
21
32
352
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
6 months
Mikasa ya kulala ghetto moja na mwana😂
46
71
345
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Wewe kila mwanaume unamtaka unataka uwe na kila mtu ambaye anamuonekano mzuri au smart unadhani hao unaowahitaji wewe wao wanahisia na wewe? Unajirahisisha kwao ukitegemea wao wanahisia na wewe utatumiwa na utaachwa kila siku wanaume hawaamini wanawake wanaojirahisisha kabisa.
39
57
330
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
3 months
Kuna manzi nasubiri afungue tu mdomo wake amkanyagie mwanangu yeyote nitampika mpaka atafuta App maana Nina ushaidi mwingi sana yaan Cheka tu mama Ila ukifungua mdomo nitakachokufanya 😂
58
37
326
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
1 year
Umevaa nn mguuni Leo? Me: Adidas 😎
Tweet media one
Tweet media two
65
20
319
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Kuzaliwa tu mwanaume kwako kila kitu ni kupambana tu 🤣🤣🤣🤣🙌🏾
31
40
294
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
10 months
Imagine mzazi umekaa unaona video ya mwanao akiongea hivi? au imagine umeoa mwanamke wa Aina hii umechill zako watu wanakuonyesha video ya mkeo hii hapa…. Wanaume tunapitia Mengi sana 😖
110
28
289
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
8 months
Mkazi wa dar akienda kutembea Zanzibar 😂😂😂🙌🏾
32
58
270
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Leo ndio Nimeelewa hii video Aisee🙌🏾
11
65
268
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
10 months
Challenge; •Lockscreen •Homescreen •Last song u listen •Last photo in your gallery Here we go;
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
76
20
264
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Young lunya ndio msanii ambaye kwa sasaivi anaumiza kichwa cha wana hip-hop bongo…💪🏼 Jamaa anaflow sana 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
22
64
262
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
1 year
Ila young lunya Anadharau sana 😂🙌🏾
36
33
258
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
10 months
Dalili za Umaskini 😂😂😂🙌🏾
21
67
254
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
Naitafuta kilo 87😂
Tweet media one
14
6
225
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
1 year
Harusi ya kesho nimepania 😂😂🙌🏾 Niliagiza 😊 Nikapokea 🔥🙌🏾
Tweet media one
Tweet media two
35
15
225
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Brother, Usijaribu kulala kwa mwanamke hata akuhakikishie amepanga mwenyewe na kodi analipa yeye narudia usilale kwake! Ahsante.
30
22
218
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
3 months
Bro unatoa wapi hela? Utayaweza masharti mdogo wetu 😂
Tweet media one
40
14
213
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
10 months
Ukiona mtu kafanikiwa anafanya mambo yake muache tu watu wanapata hela kwenye njia ngumu sana. Mtu anaona live kariakoo jua kali 👇🏾
53
53
214
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
2 months
Kinatoka sasa biriani day
Tweet media one
26
12
198
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
10 months
Nadhani mmesikia na kumuelewa? Kazi kwenu wakina dada…😂
25
27
196
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
6 months
📌
Tweet media one
31
34
185
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
4 months
Nilikua siamini kabisa, Nilienda nachingwea-Lindi nilifikia lodge ya pale mjini Usiku wake nilikua naitwa na mtu dirishani nikadhani ni wenge la pombe Oyaa mida ya saa 9 nilivutwa mguu na mtu nashtuka hakuna mtu then nasikia naitwa nje sitakaa nisahau mpaka nakufa 😂🙌🏾
@444holywitch
Good Witch
4 months
Vitu kama uchawi hadi vikutokee mwenyewe ndo unakua balozi mzuri wa hilo, usiombe yakukute...usiombe. usiombe...
11
0
67
40
14
187
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Wanetu wa tabata mtopeni 😂😂😂
29
31
179
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
Hustle zetu zikajipate…🫡
Tweet media one
25
15
176
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
6 months
Hivi ndivyo kariakoo inaonekana ukishaibiwa simu 😂😂😂
Tweet media one
35
24
175
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Uswahilini kuna mambo kweli kweli uyu Jamaa kanasa juu ya paa ataki kushuka 😂😂😂😂💔🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Tweet media one
34
10
175
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
8 months
Mwanamke akikupenda Zawadi yeyote kwake anafurahia 😭❤️
30
22
173
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Kijana kuna ujumbe wako hapa…🙏🏽
29
44
171
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
Nimekuita hapa kukwambia kuwa Nina mimba yako na sitoi;
Tweet media one
22
10
169
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
1 year
Life begins where fear ends. T.B.T
Tweet media one
18
14
161
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
3 months
“Mimi siwezi kutoka na manzi wa X kwanza wote vibungo” Mbwembwe kibao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
29
20
163
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
Au wenzetu mnauza Chai…😂😂😂
12
32
157
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
-Muombe sana Mungu -Tafuta hela -Pendeza & Jipende -Acha shobo - Piga beer zako ishi…. Life is too short 🫡
17
34
152
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
10 months
Alikiba ndio msanii pekee Tanzania ameweza kudumu kwenye game kwa muda mrefu bila kushuka kimziki, ameonyesha anaweza kubadilika kulingana na Soko linavyotaka hii Ndio maana ya Msanii, Hongera sana kwake 🙌🏾
7
20
149
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
2 months
Wadada punguzeni filter jamani tunachoma sana mafuta yamepanda bei jamani kuweni na huruma 😂🙏🏽
25
18
149
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Hakuna mtu aliefanikiwa ambaye anaweza kukufata na kukupa mbinu za kufanikiwa kwake bali kikubwa ni kujichanganya na watu, nidhamu na uvumilivu watu uwapa siri zao watu wanaowaamini hivyo jitahidi kutengeneza uaminifu kwa watu ili upewe Siri ya mafanikio.
11
40
143
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
3 months
Ombi letu mashabiki wa Manchester 😂
21
14
141
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
R.I.P charm 🙌🏾 Aisee kifo ni fumbo 😪
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Vijana wadogo wanakufa sikuizi daaah tumempoteza moja ya mshikaji ambaye tulikua tunaishi nae kitaa mdg sana Allah atupe mwisho mwema Aisee😪😪😪
16
13
81
34
25
141
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
1 year
🚮
Tweet media one
@mvccido_szn
🛸
1 year
may dump ?
461
199
1K
9
8
138
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
5 months
Nilijuaga makuzi Kumbe kuna watu serious wanaenda pale Airport kwaajili ya kupiga picha tu na mabeg then wanarudi home Aaah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
19
7
136
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
Kubali kataa wewe ni mzuri kwenye picha tu…😂😂😂
29
7
133
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Toyota Crown Athlete Vs Subaru forester Mshindi alikua Crown athlete unadhani ni kweli subaru inazidiwa na crown au dereva hajui kuitumia???
55
12
133
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
6 months
Day 6 of 366
Tweet media one
13
10
134
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
1 year
Huyu ni pweza 😂😂😂
15
11
129
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
Mapenzi ni matamu sana, Ila huwezi kuona Hilo Kama utakutana na mtu ambaye sio sahihi kwako.
9
16
125
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
8 months
Ukiwa kijana Hakikisha haukosi, -Kitambulisho. -Cheti cha kuzaliwa. -Passport. -Leseni ya udereva. -TIN hata non-business. -Akiba kidogo ya pesa.
21
23
127
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
Niende bar sasa kuwapa walevi story za yesu….🏃🏾‍♂️
Tweet media one
14
9
120
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
1 year
Umevaa nini leo ? Mimi AirMax 1 patta ;
Tweet media one
60
10
118
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Ila mapenzi ni Ujinga snaa 🤣💔
43
19
119
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
2 months
Kimetoka sasa msisahau kuishi wanangu life is too short 🥂
Tweet media one
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
2 months
Kinatoka sasa biriani day
Tweet media one
26
12
198
26
10
120
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
Kukata Tamaa Mwiko BLACK MONDAY 📌
Tweet media one
17
10
117
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
29 days
Umaskini mbaya sana Aise 🙌🏾 Hakikisha unapambana Usiwe ombaomba kwenye maisha yako.
6
26
116
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
Wanangu mpo wapi Leo tukalewe 😂😂 nimeshinda 6M 🤣🤣🤣
Tweet media one
24
7
116
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
6 months
Msaki Kwan wewe si umeajiriwa mzee sasa njaa hii inatoka wapi kaka???
@raphyrodrick
m.s.a.k.i †
6 months
“Ukweli utabaki kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imewekeza sana katika kuboresha huduma za Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto ambapo kwa sasa asilimia 81 ya wajawazito nchini wanajifungulia katika vituo vya kutoa huduma za Afya.” Waziri wa Afya Mhe…
Tweet media one
33
16
65
36
12
116
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
3 months
Kwahiyo wanetu dagaa ni chakula cha maskini daaah kweli nitafute sana hela 😭😭😭
18
14
117
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
10 months
Moja ya ngoma Kali sana Ndani ya mwezi huu, Beat kali, Tommy amepita vizuri sana bonge Moja la hit song 🙌🏾
1
16
114
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
2 months
Diet day 2
Tweet media one
30
7
116
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
Nimeshindwa kuvumilia bhana… Hela ya kujenga sina hata ya raba 🌚
Tweet media one
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
🥶🥶🥶 Insha Allah 🫡
Tweet media one
3
3
11
17
9
111
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
2 months
Shemeji kamwambia mwanangu kusuka 150k Jamaa yupo insta kakuta manzi yake kapostiwa na fredsalon sijui kasuka kwa 38k ila wanawake 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾 Muhuni kamtumia sms mkeo akirudi akute chenji yake 😂😂😂😂🙌🏾
17
6
112
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
5 months
Nitaoa kweli…😂
Tweet media one
16
17
111
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
8 months
Hata ukiwa mzuri kiasi gani, ukinivimbia nakuvimbia sina muda wa kubembeleza mtu tutumie hela zangu🚮
17
16
109
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
3 months
Acha kuonea watu wivu maisha yao ukipewa masharti yao utayaweza 😂
Tweet media one
21
11
110
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
7 months
Kimetoka…🧨
Tweet media one
14
8
107
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
5 months
Wewe hatuwezi Kukushangaa maana mshahara wako ni mdogo sana unahaki ya kujipambania Piga kazi!
@funjojr
𝐌𝐀𝐑𝐋𝐄𝐘
5 months
Bongo Dar es Salaam
54
5
76
25
14
105
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
Itoshe kusema Harmonize Kashindikana…🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Tweet media one
7
12
103
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
2 months
Mliowahi kutimiza mwaka kwenye mahusiano yenu mnafanyagaje kmly 🚮
24
9
105
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
1 year
Mko wap…😁
Tweet media one
16
8
101
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
2 months
Kuna watu hawajiheshimu yaan unalipia kabisa filter za kizungu ung’ae Kumbe mweusi manyoko kweli 🚮
28
8
104
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
8 months
Happy Sunday ✨
Tweet media one
16
5
102
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Najua dada zangu mnamipango yenu Ila hii muhimu msisahau kuzingatia 😂
15
11
100
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
1 month
Riziki ya mtu ipo kwa mtu, ishi na watu vizuri ✨
4
22
102
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
8 months
Ila ifike stage Kama Hauna muda na mtu muweke wazi mapema Tabia ya kumuacha mtu anawekeza muda,pesa na akili yake kwako then unakuja kumwambia habari za unataka kuolewa vifo vya kuuana haviwezi kupungua 🙌🏾
14
19
103
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
1 month
Mlisema wawape nyoka masharti mtayaweza kikubwa hela au sio wazee??? 😂😂😂😂😂😂😂
46
9
102
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
1 year
Mshukuru Mungu japo kwa kidg alichokupa wengine wanakiomba hichocho na hawajakipata 📌 ALHAMDULLILLAH 🙏🏽
Tweet media one
16
9
102
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
5 months
Usiende kwa rafiki ako kwake kama hayupo na unajua ameoa !!!
11
9
98
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Mwanamke anaepiga mswaki na mkono wa kushoto >>>>>>>>>>
12
5
100
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
1 month
Day 2 Arusha 📍
Tweet media one
23
11
98
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
29 days
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Tweet media one
7
10
96
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
10 months
Sema kiukweli mabinti wakichaga ni Wazuri sana🙌🏾
29
6
97
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
Umevaa nini Leo kwenye mizunguko yako…! Mimi; Air Force 1 '07 "Cut Out Wheat".
Tweet media one
Tweet media two
20
10
94
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
one day they will realize you were the best thing for them.
Tweet media one
20
13
93
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
Tukiacha u team na kila kitu hii Ngoma ni hit 🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Nimeisikiliza zaidi ya Mara 10 😂
Tweet media one
14
8
92
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
4 months
Kimetoka 😂
Tweet media one
5
14
93
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
1 year
Hello Monday Mguu: Airforce 🥶
Tweet media one
6
6
93
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
9 months
Kwahiyo wanangu wa hiphop mnavaa boxer moja mwaka???
21
17
91
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
August……🫡
Tweet media one
8
11
91
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
11 months
Vitu vyetu kivyetu vyetu 😂
18
18
91
@chriss_papy
Chriss papy 🦅
6 months
Ukimuona mwanamke mzuri njiani amependeza mwenyewe na unajua kabisa hutaweza kumuhudumia usipotezee muda wako kujinukisha mdomo endelea na mitikasi yako!
13
16
88