
PhD
@EdwinTurya
Followers
476
Following
1K
Media
39
Statuses
1K
Full Stack Web Developer | Database Designer | Brand Designer #Smile π
Smileπ
Joined May 2020
BACK BENCHA tunawakumbusha kuwa unapowapa watu KISOGO na wakaanza KUZUNGUMZA kuhusu ww amini kuwa MTETEZI wako mkubwa ni TABIA yako. Morning Africa. Cc: Goligani
2
4
9
Trying Tailwind css on this Pharmacy Inventory Management System. ππ Found it easier than how i thought it would be
0
0
0
Weirdly watu wanaojua sana technicals/skill fulani huwa wako kimya sana. Ni kama hawajui kujitangaza kwa social media, na ni wachache huwa wako silently wanapiga pesa, ila wengi maisha magumu. Kwa context ya TZ.
0
5
22
Sote tusimame tuseme hapana kwa mfumo huu unaoanza kuota mizizi Kama mtu Ana makosa ufatwe utaratibu wa kisheria kumkamata sio utekaji.
161
944
2K
Currently Iβm building such product from your idea ulotoa kipindi cha nyuma. Hopefully will be game changer, Iβll share it soon.
Ndoto yangu siku zote ni Vijana wajipatie kipato wao wenyewe kwa kutumia simu zao na laptop zao Kwanini: Naamini vijana wanakua tegemezi kwa serikali sababu wanategemea serikali kwa almost kila kitu, Afya, Ajira, Miundombinu nk TUMETENGENEZA Affiliate system kwa MaJoblessπ
0
0
0
Thanks fam for your time. Am taking this deep as an opportunity to outshine. Thanks for your review and clarification, lemme dig up on and come up with something new
Hey, thanks a lot for putting the time into this and actually sending over a redesign concept π. I really appreciate the initiative, itβs not every day someone volunteers to contribute. Thread π§΅
1
0
1
Hi @patrick_forreal π Iβve prepared a sample redesign concept for https://t.co/Ao4Zu7jf1B β focused on a cleaner layout, modern UI, and mobile-first approach. Excited to hear your feedback when you get a chance π Find it here: https://t.co/SQzoSYyN9E
@EdwinTurya Hello, thank you your interest. Although the project is not OS but I am, show me what's your ideas and how you will implement them, and I will see what we can do. PS: I might not be available for a while (emergency) but I will always get back to you when possible. Goodluck.
0
0
0
#KIDAFTARICHAMINOTI
#leaguegames CHA LEO KITAMU HELA BET: CDE7P
#KIDAFTARICHAMINOTI Jana nyukesto alitia mchanga kwenye kitumbua leo tunacho cha monday special. Uwe na jumatatu njema na wiki njema. Stay tuned kidaftari kinakuja.
6
55
62
https://t.co/4mcXrr2BUM
https://t.co/4mcXrr2BUM
https://t.co/4mcXrr2BUM
https://t.co/4mcXrr2BUM Gusa link hapoo juu then andika 1.jina lak 2.Namba yako ya Whtsapp Mpee link na mwenzako Ukipata changamoto fika inbox chap `donwload button inatokea namb zikifika 400`
2
6
16
Tell me a random resourceful GitHub repo than this: https://t.co/SKSXru8uqi
github.com
https://fmhy.net/. Contribute to fmhy/FMHY development by creating an account on GitHub.
1
1
1
Amazing work @patrick_forreal β https://t.co/Ao4Zu7jf1B is such a brilliant solution for students! Iβd love to contribute by redesigning the UI with HTML, JS, Bootst & Tailwind CSS to make it mor modern and mobile-first. Is the project open source or would u be open to collabπ€?
1 yr ago, I built https://t.co/BBHdSkUAxJ to solve "university assignment" coverpage creation & "nearby stationery shops" printing issues. π Posted on TikTok & it blew up. π Been a wild, blessed ride so far and I am grateful! π Devs, pls check it out & share! π₯οΈπ€π₯π€
1
1
3
Built an app that makes planning hangouts with friends simple and fun! ππ» https://t.co/9sGBUk4xH2
13
46
274
Pesa yoyote iliyoko mbele yako ni halali, As long as haihusishi kumwaga damu. Damu ndiyo haki pekee ya mwanadamu. #BACKBENCHA π
0
0
0
Bro to Young Bro Code Ukipata hela kata kiasi save Make sure una Bima ya Afya Then nyingine hakikisha unakula vzuri na kuvaa vzuri Control sana Black Tax Make sure haudeal na Majukumu ambayo sio yako epuka sana Liability Hakuna bingwa wa kuhonga sana watakuchora na kukuona fala
18
123
494
Yule boss ambaye alikuamini kipindi hauna experience yoyote ile, kipindi hauna enough knowledge a bado akakupa ajira. Never forget him/her, never let them down.
17
83
517