
hamza Lule
@hamzaalbhanj
Followers
7K
Following
40K
Media
4K
Statuses
194K
CEO at Kukeke Gang , CEO at Corporate Gang, CEO at Local Miyeyusho Sana (L.M.S)
Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2015
Kwa wapenzi wa Kahawa Lipi linafaa kuwa jina zuri la Coffee Shop
26
45
62
I prefer road trip with Corpπ₯π₯
0
1
1
Dubai?
1
0
2
Kumbe shida ni Kubwa Baadae ndugu yangu
@hamzaalbhanj Ni Tanzania pekee ndio yanafanyika hayo?
0
0
1
Im not married big Bro
@hamzaalbhanj Hello brother, I'm pleased to inform you that your second wife Genevieve is seriously sick and she is admitted here at Kairuki hospital, kindly meet her immediately, Dr Manda mboo
0
0
0
πππ umeanza kummaliza
Naona @AyoubChakah karudi kunywa kahawa zake za kijiweni zile akina @hamzaalbhanj haziwezi π
2
0
4
Jambo? If you have a spare time just hit my DM for 3 nights Accomodation and two ways flight ticket from ZA to Zanzibar And one night in Cterra Saadani Regards
17
8
145
Pale Senzo kakosea nn 1. Kocha akifanya vzuri 2. Kocha akifanya vbaya 3. Management na Mashabiki Kocha akifanya Vibaya Case study Tanzania Hapo niambie kadanganya nn?
@Allan_Lucky Kaka Senzo yupo sahihi?
3
0
18
@ZuwenaKhatib Kwahiyo Sisi wa Tacri tukae pembeni? πππππ Mwenza em tuji upgrade
1
1
1
@iam_sitty Sisi ni local. Sisi tunakunywa kwenye makombe yetu ya udongo Sisi tunanunua hizi kwa mangi na kujikorogea Wale ni kimataifa Wale wanakunywa kwenye special cups Wale za kwao zinapita kwenye machine maalumu ya kahawa na wakati wa kuweka machine inalia khoooooo ππππ
2
1
2
Mechi ya CAF?
0
0
1
@hamzaalbhanj Mazda haisumbui ni mafundi wetu wameshindwa kuzifahamu mapema. Hizi gari zimetengenezwa miaka hiyo zikatumika kwao, iweje leo kwetu zionekane ni changamoto? Ni kama dualis tu ilivyokuja zikaanza kuungua, walikua wana-bypass IPDM Ili wafanye blunders zao na gari ikubali.
0
1
1
Back in Time pale Domestic ya Mikwaju Midogo ilikua miyeyusho sana Kaunta kama Uko Kiazi Kitamu Now imekaa kishua kiasi mpaka kuna Coffee Lounge
0
1
3
Sahihi 1. Mafuta 2. Mafundi Mazingira yetu ni changamoto
@hamzaalbhanj Mazda hazina shida, tatizo kubwa ni mafuta na mafundi na wengi wao wanaotumia ni wanawake na kama unavyojua hawanaga uangalizi kwenye kutunza Gari, sehemu sahihi za kuweka mafuta na kujua taa za tahadhari zinapowaka kudeal nazo.
1
0
2
Ukitaka kujua kuelewa ni Kazi Kasome comments kwneye ile Tweet ya Senzo ππ
5
0
9
Hii Gari Kali sana buanha
TOYOTA LAND CRUISER ZX 300 SERIES β 2024 (V35A-FTS, 3.4 L Petrol Twin-Turbo) 375,000,000 TZS + Registration | π 0793 854 488 Exchange Allowed / Navunja na Gari Yoyote 3,445 cc | Automatic (10-Speed) | Full-Time 4WD SUV Pearl White | Brand New (Only 99 km) | Petrol | Auction
3
1
7
Shekhe Kipozeo
0
0
1