
HabariTech
@HabariTech
Followers
21K
Following
48K
Media
3K
Statuses
38K
Ulimwengu wa Teknolojia kiganjani mwako. #HabariTech
Dodoma, Tanzania
Joined November 2020
β‘οΈHii look ya sasa hivi ya Habariduka natamani ingekuwa na muonekano huu huu kote kwenye desktop na simu . Naendelea kuongeza wauzaji. Na kuna feature mpya itakuwepo ili tuweze kuwa na watu kama @fbuyobe waweke threads zao huku kwa subscription. The road ahead π
0
3
12
Jiji la kina @gabyconscious bwana kidogo tu vifoleni mara mnasimamishwa nusu zipite gari aina fulani πππ.
0
0
7
Draft inanoga ikiwa live face to face kitu nawaza draft kama hii ipate option ya audio mnacheza huku mnapiga stori kama wana wa PUBG vile.
dama-max-capture-game.lovable.app
Lovable Generated Project
2
0
1
Swali jepesi mno hili. 1. Supernatural.2. Billions.3. Yellowstone.4. House of Cards.5. Peaky Blinders.6. Taboos.7. Scandal. HIzo hapo in that order nafasi 3 zilizobaki bado hazijapata wa kuingia kwenye hiyo list.
Kwa upande wangu, hakuna swali gumu kama mtu akuambie upange list ya series 10 kali za muda wote, kutokana na kuangalia series nyingi kali. Je wewe unaweza kutupa hio list? Tukutane kwenye comments ππ
1
0
3
Kwahiyo Vampire wa kwenye Vampire Diaries nao ni speedsters kama kina The Flash na Quick Silver?. @MvuviMovies.
2
0
4
ππ . Pesa za kudownload π.
@gabyconscious Kina mafole watakwambia hizi site uwakika kupata 600$ per month ingia sasa wewe ππ«΅πΏ.
0
0
3
Not necessary uwe umefanya hivyo wewe mwenyewe. Likely watu waliopo same location na wewe au within 5km range kuna % yao wanashare interest na wewe. So algorithm inafanya assumption kwamba na wewe unaweza kuwa interested na same thing. Utakapokuja view walau post moja.
Mdau anisanue namna algo ya pinterest inavyofanya kazi coz why ni kama inanipa content as if imesneek into my intuitive mind. Unakuta sijagugo, sijapiga story na mtu sijasearch but content inayokuja utafkri algo iligaze into my subconsious mind.
2
1
12