@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
1 year
kupatiwa haki yangu, Itoshe kusema najisikia furaha sana. Ujumbe kutoka kwa Afande Mlilo: Msiogope kutoa taarifa pale mnapofanyiwa uhalifu na askari wachache wasio waadilifu. Pili, akasema mimi nitakuwa mtu wa mwisho kusakiziwa kesi na kuporwa na maafisa wa Jeshi lake.
2
5
85

Replies

@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
1 year
Ndugu zangu M/Mungu awabariki sana. Kwa mara ya kwanza nimeona NGUVU ya Retweet. KIFUPI: Askari wanne wote wameshughulikiwa ndani ya saa 24 tu tangu wanifanyie ule uhalifu. Shukrani zangu za dhati kwa 1)Afande M.J Mlilo, Niseme sijawahi kukutana na mtu smart and straight…
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
1 year
1) Jana usiku maaskari wa Oysterbay bila Uniform na mmoja akiwa kavaa uniform huku akiwa amevaa sweta juu (pichani chini) walinivamia kwenye gari wakasema nina bangi.Baada ya mabishano wakanipeleka nyuma ya kituo cha Oysterbay wakaniwekea kete 14 kwenye dashboard na kisha…
184
171
549
80
54
399
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
1 year
… Kama Afande huyu. Alinisikiliza bila kujali udogo wangu akachukua hatua za kutoa maelekezo kwa Afande mwingine makini kabisa, Afande Mtatiro (RPC KINONDONI). Hakika Jeshi letu lina viongozi makini kabisa wanaotiwa doa na askari wachache wasio waadilifu. ASANTENI SANA @tanpol
1
3
90
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
1 year
Basi kabla hata ya kwenda kwa Afande Jumanne Mlilo tayari RPC KINONDONI alikuwa tayari ameelekeza nitafutwe na nisaidike, nikakuta file langu lenye tweet yangu likiwa limekwisha funguliwa. Nilifurahi sana. Afande wote waliohusika waliitwa na nikawatambua na nimeahidiwa …
1
2
78
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
1 year
Ujumbe wa Afande Mtatilo: Jeshi lenu la polisi lipo makini na badala ya kupeleka malalamiko mitandao pekee amewasihi mumpelekee yeye na atawahudumia kwa uaminifu mkubwa. Ujumbe wa afande RCO KINONDONI: Jeshi ni lenu na kazi yake kubwa ni kuwatumikia, muwe wepesi kulikosoa…
2
3
75
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
1 year
MAMA YUKO KAZINI 😄😄😄😄😄 @SuluhuSamia @TZWaziriMkuu @rollymsouth @MsigwaGerson @tanpol Kazi IENDELEEE…
8
3
49
@nipo_ipo
Nipo
1 year
@EJ_Mwita "Pili, akasema mimi nitakuwa mtu wa mwisho kusakiziwa kesi na kuporwa na maafisa wa Jeshi lake" Hapo mtu huyo "smart and straight" amechemka...ana uwezo gani wa kucontrol kila askari nchi nzima asifanye hilo kosa?? Angesema wakibainika atachukua hatua sawa ila kuwazuia I doubt!
0
0
0