@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
1 year
@MsigwaGerson nilikupigia simu kwa namba (0717 214 838) bila mafanikio. @TZWaziriMkuu Askari wako wanaonea raia. Kweli nimeamini jeshi letu linabambikia watu kesi na kutisha watu wake na kuteka watu wake.
4
32
227

Replies

@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
1 year
1) Jana usiku maaskari wa Oysterbay bila Uniform na mmoja akiwa kavaa uniform huku akiwa amevaa sweta juu (pichani chini) walinivamia kwenye gari wakasema nina bangi.Baada ya mabishano wakanipeleka nyuma ya kituo cha Oysterbay wakaniwekea kete 14 kwenye dashboard na kisha…
184
171
549
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
1 year
Kunilazimisha niwape milioni 2 ili mambo yaishe. Nilipokataa wakaniweka ndani hadi mdada niliekuwa nae alipowapa laki 6 ndio wakaniachia bila sharti lolote @TZMsemajiMkuu @rollymsouth @tanpol Nataka kusema @tanpol ule ni uonevu mkubwa na ujambazi mnafanyia raia.
6
29
182
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
1 year
Ninawatambua askar wote waliohusika na ningependa haki itendeke,Niliwaomba wanifungulie kesi na kunipeleka mahakamani wakagoma na zaidi walinipiga na kunilazimisha nisizungumze Baada ya kupewa pesa na kuniachia waliniomba yaishe na tusameheani kwani walikasilishwa na mdomo wangu
3
24
189
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
1 year
Waliniteka maeneo ya Coco beach (WAVUVI KEMPU) majira ya saa nane usiku. Hata hivyo sitoshangaa kama @tanpol hamtochukua hatua. Natarajia kwenda kwenye ofisi za afande Jumanne Mlilo ambaye nilimpigia simu bila mafanikio kesho majira ya saa nne asubuhi kutoa malalamiko yangu.
2
26
194
@BabuKikombe
Kikombe cha Babu
1 year
0
0
2
@EllyDon_
Elly Don💰
1 year
@EJ_Mwita @MsigwaGerson @TZWaziriMkuu Mm walinichukulia hela kwa nguvu laki tano na cheni!! Na wakanilaza ndani na wanataka asubuh niwape 30k waniachie kwa kosa gani hakuna mpka Leo hela zangu zilienda na hakuna nilipoeza kushtaki!!ndo nchi yetu tunayokesha kuimba AMANI AMANI😔🙌🙌
1
0
4
@Fonse157
F O N S O
1 year
0
0
0
@Japhetmmbaga3
Kighera.e.kighera.
1 year
@EJ_Mwita @Chad_wakanda @MsigwaGerson @TZWaziriMkuu Huyo ulompigia hawezi kukusaidia chochote, Andikia ujumbe waziri mkuu, waziri wa mambo ya ndani, wanashughulikia kwa kasi ya 5G, niliishasaidiwa.
0
0
1