Celestine Simba
@Celestine_Simba
Followers
4K
Following
9K
Media
569
Statuses
3K
Mgombea ubunge jimbo la ULANGA 2020 (CHADEMA)na SPIKA WA BUNGE LA WANANCHI.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2018
Haijaisha mpaka iishe.
Mwambieni Abdul na Mafwele kuwa hili genge lao limefanyiwa analysis na hadi silaha walizotumia zimeanza kufahamika - sasa tupo tuna tracl wamezitoa wapi! We shall not rest until all of these killers are held responsible #SamiaMustGo na #TutaelewanaTu muda si mrefu 👊🏽🔥
0
19
77
Nyooooo, kutwa kutusema kina Mange tunatumika na “mabeberu” kumbe yenyewe mpaka yanachota kodi za wananchi ili kujipendekeza kwa “mabeberu”. Imagine kila mwezi wanaiba $45,000 za Watanzania wanawalipa “mabeberu” ili wakawasafishie image yao ya uuwaji kwa “mabeberu’ wenzao
💥KA-BOOM TUMEWABAMBA WANAMWAGA PESA WAKUBALIKE NA “MABEBERU”‼️ Serikali haramu imeajiri kwa miaka miwili lobby group ya Ervin Graves ya Marekani kwa kiasi cha dola 45,000 kila mwezi ili iwasaidie kuwafikia Bunge na wabunge wa Marekani na serikali. Itatumia dola milioni moja na
33
225
1K
Shiriki maadhimisho ya MIAKA 33 ya CHADEMA kwa kuchangia, vile Mungu amekugusa. Mimi tayari nimechangia.
2
12
57
Hivi hawa wauaji wanaoongozwa na kimama @SuluhuSamia wanafikiri haya mauaji yao ya Oktoba yatasahaulika au kusamehewa? La hasha! Kamwe hatutasahau wala kusamehe! Na huu ushetani umewaamsha wengi maana mliua kama mmepagawa eti “ueni hadi barabara zote zijae maiti” Ndo maana
15
87
306
THIS IS CHADEMA.
"Chama hiki ni chama ambacho kimesajiliwa, na kina wajibu wa kutimiza shughuli zake kihalali, hivyo tafadhali hatutakuwa tayari kuingiliwa na chombo chochote, na mamlaka yoyote, na sisi tutafanya shughuli zetu na maadhimisho yetu [miaka 33 ya CHADEMA] kwa amani." - Amani Golugwa,
1
16
90
UNASEMA!!! USA LAMA WA WERE KUBAKIA IKULU ILIHALI WANANCHI HAWAKUTAKI, ULILAZIMIKA KUUA, KISHA UNASEMA NI HATUA SAHIHI!!! AISEE WERE MWANAMKE NI SHETANI HALISI KATIKA MAILING WA BINADAMU. DIKU ABDUL AKITUNDIKWA MSALABANI, NDIPO UTAELEWA UBAYA WA KAULI ZAKO HIZI.
2
6
37
TUTAENDELEA KULAANI NA KUKEMEA MAUAJI YANAYOFANYWA NA POLISI KWA VISINGIZIO MBALIMBALI.
Mauaji haya yanayofanywa @tanpol yatakoma lini?. Huenda kijana alikuwa anajinusuru kwa kukimbia, akijua fika kwamba waliokuwa wanataka kumkamata ni watekaji wasio julikana. Polisi walivyo muua wakasingizia kwamba alikuwa jambazi sugu. Hata kama jambazi ndiyo auwe kwa risasi?
0
5
17
From ballots to bullets: Tanzania's deadly post-election crackdown
info-res.org
Despite nationwide internet shutdowns, a trail of digital evidence reveals how Tanzania’s October 2025 elections were followed by deadly violence, brutal crackdowns on protesters, and possible mass...
2
141
520
Mchange na baadhi ya online tv wamepewa kazi ya ku twist agenda ili kutusahaulisha yaliyotokea Oct 29. Mimi naapa, hata dunia igeuke, siwezi sahau mauaji ya kikatili na kinyama yaliyofanywa na Samia Suluhu na genge lake la wayaji.
15
89
351
Maslahi ya mahakimu na majaji yanalindwa na katiba. Sasa kuna wasioheshimu katiba, wanatunga kanuni ili waweze kuitumia mahakama kwa maslahi yao. Maana hakimu au jaji asipokuwa na uhakika na mshahara wake, atakuwa mtumwa wa yeyote anayeweza kumuhakikishia maslahi yake.
Jaji Mkuu ang'aka, 'Huo ni uvunjaji wa Katiba' Dodoma. Jaji Mkuu George Masaju amesema kuwa mahakama haiwezi kuwa huru endapo watendaji wake hawana uhakika wa mishahara, posho, pensheni, usalama wa ajira na mazingira bora ya kazi. Akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa
1
3
12
Zilongwa mbali, zitendwa mbali. Lissu amekamatwa kwa kesi ya uhaini kwa ushahidi wa fundi friji, mpaka leo anasota mahabusu. Au unaongelea haki za watu gani ndugu jaji mkuu?
4
9
60
Mh.JOHN HECHE NI MTU MWEMA NA MPIGANIA HAKI WA KWELI. Ndugu Watanganyika Msidanganyike. Nimefanya kazi na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John W.Heche kuelekea uchaguzi Mkuu wa oktoba 2025 haswa baada ya kupata habari kwamba CHADEMA ndiyo wanaokwamisha Mazungumzo. Nilibaini ni
81
448
2K
Unaua watoto na vijana, kisha unajipa utukufu na kuwachamba marehemu. Damu hii haitanyamaza mbele ya kiti cha enzi. Samia, utalipa kila tone la damu uliyomwaaga.
8
37
181
TUNAJIPANGA KURUDI NJIANI KWA NGUVU KUBWA ZAIDI. MARA HII NI WEWE SAMIA NDIYO UTAKIMBIA IKULU.
Hii inauma mpaka kwenye utumbo, baada ya kuua wananchi kinyama Samia anajisifu kuwa ameua idadi kubwa mpaka wananchi sasa wanaogopa maandamano. Watanzania inabidi tufike sehemu tujielewe na tupambanie nchi yetu bila uwoga. Sasa ndio Samia na Kikwete wamepata confidence kubwa
9
47
238
Unaua kisha unajisifia ukatili. Eti " Mkawaulize vijana, leo hii kama kuna mtu anakubali kutoka barabarani kuandamana", unatupima imani? Sasa subiri mziki mkubwa unakuja.
15
92
449
WATANZANIA MSIOGOPE, TUTAWASHINDA WAUWAJI. SOON!!!!
93
465
3K
Makonda try to be more specific bwana. Hiyo marufuku inaihusu na habari ya picha hii au habari zipi hizo?
6
32
211
Hongereni wananchi kwa kupiga kura za kushiba. Hongera Samia kwa ushindi wa MTAWALA KATILI ZAIDI WA MWAKA 2025. Umeshinda mama. Tutaandaa maandamano ya kukupongeza. Polisi tunaomba ushirikiano wenu.
11
44
212
Anaitwa Lucy Anton Michael, anatoka kata ya Makangarawe Yombo Dovya. Ni katibu wa Uvccm. Tunaweza kupata taarifa zake zote naye atatusaidia kutujulisha wafadhili wa ile show yao ya ukatoliki. Simple tu.
14
53
352