Alex
@Alex_george00
Followers
2K
Following
7K
Media
339
Statuses
6K
Joined December 2024
THREAD: Hisa ni NINI na naanzaje Kuwekeza DSE? Disclaimer: Mimi siyo mtaalam wa Fedha. Na-share nilichojifunza na uzoefu wangu baada watu kuomba niandike "UZI" kufuatia Posts za nyuma. Nilikuwa m'bovu kuhusu elimu ya fedha, 2025 nikaamua kujinoa. Nimejifunza haya kuhusu HISA!
4
18
47
@lastedAD @MangiwaKwanza1 Na wajinga wengi wana amini hivyo vyuo vikubwa ndio vinatoa Elimu angalau iliyobora kitu ambacho si kweli
4
1
3
Mikoani na mitaani ukisema HISA kila mtu anajua ni ile hela inawekwa kwenye VICOBA. Mtu anaweka 20k kila wiki na anapata 1M mwisho wa mwaka au hata mara 3M+ kulingana na michango yake ya kila wiki. Hizi mambo za soko la HISA la Dar es salaam hakuna mtu ana muda nazo. Kazi ipo
16
22
300
@RileyFreem32480 @EdwinMjeru Kati ya hio IPO ya vertex na share ipi ni bora kununua
3
2
4
@RileyFreem32480 @EdwinMjeru Kwa maana kwamba hio initial public offering (IPO) inakua ni bei halisi iliyopangwa na kampuni husika na wanapokuja kutangaza public price inakua determined by force of demand and supply
2
2
3
@EdwinMjeru Kung'ang'ania kununua share za crdb kwa 1650 wakati kuna vertex ya 100 na timiza ya 122 ni risk angalau ingekuwa ni share 1000 sasa kwa hapo share 9 mhuuu
5
3
11
Alipigwa risasi tarehe 29. Mungu ni mwema akampigania. Sasa anajiuguza. Peke yake hawezi. Ninawasihi sana tumuuguze. Kwa chochote ulichonacho, help a bro recover. Maelekezo yako kwenye post ndefu hapo chini.
8
104
267
In line with Presidential Proclamation 10998, as of January 1, 2026, the United States is partially suspending visa issuance to Tanzanian nationals for nonimmigrant B-1/B-2 visitor visas and F, M, J student and exchange visitor visas, and all immigrant visas, with limited
123
330
670
@DullahTheking2 '' Kweli kuhusu hivyo vyama vya siasa chumba kimoja usidanganywe na vitasa zote game ka draft usishangae kuziona kamati zenye kamati"
0
1
6
@EliabuDanford Na hiki kilitakiwa kiwe kigezo cha ndoa kwamba unaangalia death rate ya unapotaka kuoa,kama ukoo wao wanakuf sana utakuta sababu ni magonjwa, uchawi na nk
1
2
4
Tunawaomba wananchi wenye nia njema kutusaidia kumtambua mtu aliyevamia na kuiba katika duka la nyumba ya mitumba lililopo Sinza. Endapo utamtambua au kuwa na taarifa zozote zitakazosaidia kumfahamu mhusika huyo, tafadhali wasiliana nasi kwa siri kupitia namba +255 68 110 1061
12
147
305
@zumbekhan Hesabu za kufikirika hizo ingia field uone uhalisia bajaji unamaliza nayo mwaka hujarudisha pesa
3
3
22