Edwin F.M Profile Banner
Edwin F.M Profile
Edwin F.M

@EdwinMjeru

Followers
2,980
Following
1,514
Media
151
Statuses
4,296

EM Scholar 🇹🇿🇫🇷 ||Author || Business Storytelling Coach || I help YOU to create STORIES that convert your ideal clients using S-T-O-R-I-F-Y FRAMEWORK

Tanzania
Joined September 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@EdwinMjeru
Edwin F.M
9 months
Katika kitu nilichomuomba Mungu anisaidie mwaka 2024; Ni kuweza Ku-Package UJUZI, UZOEFU na vyote nilivyojifunza kuhusu "STORYTELLING" kwa miaka 4 sasa. Natambulisha kwako; "Storytelling Mastery Mentorship Program -SMMP" using my own designed FRAMEWORK called "S-T-O-R-I-F-Y".
2
14
69
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
"Hivi Ndivyo Jamaa Alivyotumia Buku (1000) Yake Kutushawishi Mpaka Tukanunua Mashine ya Mil 7.5 (TZS)." Siku moja nilimsindikiza Broo mmoja K/koo kununua mashine ya ofisini kwao. Kuna duka moja tulifikia walikuwa wanauza mashine OG lakini bei yake ilisimamia ukucha. UZI-👇
23
45
241
@EdwinMjeru
Edwin F.M
6 months
Namna Ya Kuandaa Mpango wa Biashara Kirahisi (Business Plan) Hata Kama Wewe Siyo Mtaalamu wa Biashara. Kwanza kabisa ieleweke kwamba, business plan siyo kwa ajili tu ya wawekezaji au kuombea mkopo benki. Hapana, ni DIRA ya Biashara Yako Hivyo..... UZI - 🧵- (Repost).
6
80
194
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
@HKigwangalla Daah kama haya ndiyo Mawazo ya Viongozi tulionao, we still have a long way to go🙌🙌
11
9
173
@EdwinMjeru
Edwin F.M
2 years
Moja ya kitu kikubwa nimejifunza 2022 ni kwamba kuna NGUVU kubwa Sana katika kuwa, "POSITIVE na Maisha YAKO, bila kujali unapitia nini." Wataalamu wa mambo huita, "LAW OF ATTRACTION". Mtazamo Chanya huvuta vitu Chanya na vilevile hasi huvuta vitu hasi. Let's Be Positive!
8
35
148
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
Kuna mtaalamu mmoja aliwahi kulipiwa tiketi ya ndege na hoteli ya 5⭐ plus donge nono kutoka Ujerumani hadi Mtwara kuja kubaini ndani ya dakika 2 kuwa mtambo una shida gani. Kuna mshikaji wangu anafanya kazi kwenye kampuni kubwa ya kimataifa ambayo wana-operate pia Bongo. Mara
7
25
136
@EdwinMjeru
Edwin F.M
2 years
Kuna Washikaji Kibao, Engineers ambao ni Bankers and Auditors. Lawyers ambao ni Agricultural Consultants. Socialogists ambao ni "Sytem Developers". Wanasayansi ambao ni top "Copywriters" bila literature. Walimu ambao ni Web Dev. bila computer Engineering. Umejifunza kitu.
12
24
128
@EdwinMjeru
Edwin F.M
2 years
Happy birthday to Me!!
Tweet media one
22
1
119
@EdwinMjeru
Edwin F.M
3 years
Wakuu tuwe Makini na Skills tunazozitaja kwenye CV zetu, hakikisha unaandika kitu ambacho unakijua au atleast una experience nacho. Juzi kati Kuna mshikaji wangu aliitwa interview sehemu, kwa kuwa tu aliandika kuwa yupo vizuri kwenye, "Negotiation na...👇
8
27
121
@EdwinMjeru
Edwin F.M
6 months
@Millambo_ Kuna Boss mmoja tuliwahi kufanya naye KAZI moja. Nakumbuka appointment zake zote ilikuwa mida ya saa kumi jioni ili kijana wake atoke shule na kushiriki. Siku moja nikamuuliza kwanini unamwamini sana Amir? Akasema, "He has to know in and out of the business ili baadaye arithi
6
18
117
@EdwinMjeru
Edwin F.M
3 years
Leo nita-share machache juu ya Storytelling. "Storytelling" ni kwa kifupi ni ku-Promote au kuuza kitu kupitia Simulizi (narrative) iliyopo nyuma yake, iwe ni. Brand Bidhaa Huduma
6
39
113
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
Kuna jamaa mmoja anapiga sana mpunga mrefu kwenye, "Consultancy" ya mambo ya kodi na mahesabu. Akikaa na mteja Kwa lisaa 1 anavuta hadi $500. Siku moja nilitamani kujua Siri yake, akaniambia; "Dogo ndani ya 1 HR ujue natoa VALUE ya 15 yrs ya uzoefu, Ujuzi na uwezo wangu"
7
15
112
@EdwinMjeru
Edwin F.M
11 months
Guys usi-SHARE taarifa muhimu za kampuni au taasisi yenu kwa mtu/taasisi wanaokuja kama mteja au mwekezaji bila kuingia nao makubaliano maalum. Washikaji zangu walipoteza wateja wao 2 wakubwa watu ambao mwanzoni walikuja kama wawekezaji mwishowe wakageuka kuwa... Thread👇.
7
25
104
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
Aisee madogo wametisha Sana👏. Waliobaki wanastahili kusherekea Kwa kula KITEI wiki nzima👏. LAKINI, Kama miaka ingerudi nyuma pale nisingerudi hata kwa dawa😀🙌. Presha ni kubwa sana. Kila mtu hujiona kilaza. Haijalishi uliongoza kitaifa, kimkoa, kiwalaya, kitarafa au...
Tweet media one
19
2
100
@EdwinMjeru
Edwin F.M
5 months
Kujituma ni ngumu kuliko kutumwa. Kujiongoza ni ngumu kuliko kuongozwa. Kujitawala ni ngumu kuliko kutawaliwa. Kujisimamia ni ngumu kuliko kusimamiwa. ✍️Ukiweza kujijengea NIDHAMU ya kujifanyia hayo yote mwenyewe katika mambo yako bila kutegemea mtu, utakuwa, "BORA" Sana!
7
33
101
@EdwinMjeru
Edwin F.M
2 years
"Consistence is harder when no one is clapping for you. You must clap for yourself during those times, you should always be your biggest fan". Luic Garcia.
Tweet media one
4
14
93
@EdwinMjeru
Edwin F.M
2 years
Aisee tuwe makini wakati tunapofanya, "Market Research". Kuna Washikaji wamepoteza Fursa ya kumpata Potential Investor kwenye Startup yao Kwa sababu Tu ya kusema kuwa asilimia 80% ya watu kijijini bado wanatumia, "KOROBOI". Wakaulizwa mna uhahikika na hali halisi? Thread👇
8
16
87
@EdwinMjeru
Edwin F.M
3 years
Uzi Mpya!! Aisee Habari ni Kwamba... "Una Sekunde 3 za Mashambulizi za Kumfanya Mteja Aendelee Kusikiliza Audio/Video Yako au Kusoma Copy ya Tangazo Lako". Na mbinu ni 1 tu, ni kumtengenezea mteja kitu kinachoitwa.... ...."Suspense"... kwenye akili yake
3
28
81
@EdwinMjeru
Edwin F.M
6 months
Kadri unavyozidi ku-invest muda wako mwingi kufanya KAZI yako. Jitahidi pia KUBORESHA uwezo wako kwenye, "Communication Skills". Kwa sababu, wapo watu wengi sana, wanafanya mambo makubwa na mazuri LAKINI.... Hawaonekani, hawakui au hawapewi nafasi kubwa kwa sababu tu ya uwezo
6
20
88
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
@sajo_mwaihabi Kuna jamaa mmoja alimaliza chuo 2020, Baba yake akampa mtaji wa Tsh. Mil 10 baada ya kumaliza chuo, akaambiwa tafuta kitu cha kufanya. Hapo Mzee wake ndiyo alistaafu akammegea mwana kiunua mgongo chake. Kwa kuwa mshikaji hakuwa na Idea yoyote wakati ule, akaanza kupiga hizo
0
9
83
@EdwinMjeru
Edwin F.M
3 years
Baada ya kufanya tathmini kwa baadhi BRANDS zilizotumia haka kapicha kwa utani ili ku-market/Ku-brand bidhaa/huduma zao, nimejufunza. 1. Entertain your clients. 2. Communicate easily. 3. What you miss if you don't use. 4. Make it Viral Cc @NyandaAmosi
Tweet media one
3
9
80
@EdwinMjeru
Edwin F.M
6 months
"Mambo 20 Tunayochelewa Kujua Kwenye MAISHA". 1.Duniani hakuna mtu mkamilifu, "Don't pretend to be one". Usijifanye kuwa hivyo. 2. Kila siku ukiamka ni Baraka na kutoka nyumbani asubuhi na kurudi jioni salama ni kitu cha kushukuru . 3.Maisha ni marahisi kuliko tunavyofikiri.
12
33
82
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
Kwa hiyo usidharau vitu vidogo vidogo ambavyo unaweza kufanya kwa wateja wako....huwa vinatengeneza BOND. IPO siku watarudi. I hope umejifunza kitu. PS: RT
0
2
75
@EdwinMjeru
Edwin F.M
2 years
Vijana tuliobahatika kupiga shule mpaka chuo siku hizi tunajutia sana baada ya kuhitimu na mambo kuwa kinyume na matarajio. Tunajiona tulipoteza muda tu ukiona waliobaki kitaa wamepiga hatua. Hatujapoteza muda. Ukichunguza mafanikio ya wana ni REAL HUSTLE. Tukaze na SISI
9
15
76
@EdwinMjeru
Edwin F.M
6 months
Chochote utakachojihusisha nacho, ifanye kwa; - Moyo wako wote - Akili yako yote - Na, juhudi zako zote. Usiguse guse tu. Fanya Fanya Fanya! Kuna vitu vitatu vina NGUVU kubwa kwenye kukusemea; 1. KAZI uliyofanya vizuri ikaonekana na kujionyesha (Ni Alama). 2. Watu
4
19
72
@EdwinMjeru
Edwin F.M
10 months
Kwanini watu wanakuchukulia poa? 1. Unawapa Sana muhimu kuliko unavyojipa Mwenyewe 2. Unatafuta sana approval kutoka kwao 3. Hujaset standards na mipaka 4. Huwezi kusema hapana 5. Unapatikana kirahisi sana 6. Hujiamini 📍Watu watakutreat kwa jinsi vile unavyojiweka kwao
2
17
72
@EdwinMjeru
Edwin F.M
3 years
My Mentor once told me, Yes it's Okay to be.... 1. Misunderstood sometimes. Quick acceptance may kill your dreams. 2. Rejected sometimes. Quick acceptance may steal your Vision. 3. Ignored sometimes. Quick attention may distract your focus. Now I understand his words!!
2
18
68
@EdwinMjeru
Edwin F.M
9 months
Niliwahi kumuuliza Broo mmoja ambaye ameacha kazi yake rasmi na kujiajiri kuwa, nini alizingatia zaidi akaniambia; "Dogo hakikisha kabla huja-quit uwe umeshaanza unachoenda kufanya (iwe ni biashara au mradi) tena inaingiza kipato unachoweza kujilipa mshara ikabaki. Usikurupuke".
6
15
66
@EdwinMjeru
Edwin F.M
5 months
Ngoja nikuibie SIRI, ili kujenga TRUST kwa watu kupitia kitu unachokifanya basi kuwa MTU wa MATOKEO. Hakuna kitu watu wanapenda kama ku-DELIVER kulingana na matarijio (au zaidi) Kwanini? Kwa sababu sasa hivi wanaji-promote kama tembo mtandaoni alafu matokeo sungura.
2
14
68
@EdwinMjeru
Edwin F.M
9 months
Hakuna watu wenye NGUVU kwenye PUBLIC SPEAKING na CONVERSATIONS kama INTROVERT wakiamua kujifunza na Ku-Master vizuri. Thread 🧵 fupi👇 RT Please!
4
18
64
@EdwinMjeru
Edwin F.M
10 months
Kwanini unahitaji Personal Board of Directors?? Najua ukusikia neno, "BOARD OF DIRECTORS", moja kwa moja kampuni au taasisi inakujia kichwani. Ni kweli, bodi mara nyingi ni kwa ajili ya taasisi, mashirika na makampuni, LAKINI hata kwenye, "Personal Level", unahitaji... 🧵 RT
6
13
65
@EdwinMjeru
Edwin F.M
6 months
Usipojitengenezea mazingira ya kupewa NAFASI hautokaa upewe nasafi. "People are so SELFISH". Usiogope kuonyesha UWEZO wako. Usiogope kuonyesha UNACHOKIJUA. Usiogope kufuata watu wakupe nafasi. Usiogope kuonyesha suluhisho la changamoto au tatizo fulani kama unalijua.
0
18
60
@EdwinMjeru
Edwin F.M
4 months
Unachokipa FOCUS yako kina tabia ya kupanuka au kukua. Focus on what matters!
3
10
61
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
USIACHE kujifanyia, "Gap Analysis" iwe ni kwenye eneo lako la kazi au biashara. Ukishajua GAP liko kwenye eneo lipi, USIACHE kujazilishia. Hizi ni zama ambazo ni rahisi sana kuwa, "Irrelevant" kama hutojijengea utamaduni wa KUJINOA.
1
10
59
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
Rafiki yangu mmoja aliwahi kuulizwa kwenye interview ya SALES, ataje vitabu 3 vya mauzo alizowahi kuvisoma nje ya mfumo rasmi wa darasani. Bahati nzuri jamaa ni msomaji wa vitabu, akavitaja! Baada ya hapo, akaulizwa swali la 2, Unamshawahi kumsikia Dan Lok au Brian Tracy?
4
8
56
@EdwinMjeru
Edwin F.M
3 years
Usitumie Influencers kutangaza Bidhaa zako, Unless Watafanya hivi. 1. Ni watumiaji wa Bidhaa zako na Watashare 'Success Story' au Ushuhuda juu ya matokeo waliopata kupitia bidhaa Yako. . Na, pia Wana Behind the Scenes Pictures wakati wanazitumia,...
7
15
52
@EdwinMjeru
Edwin F.M
6 months
Hakuna MWANZO mdogo. We ANZA Tu.
4
17
53
@EdwinMjeru
Edwin F.M
6 months
Usipochagua nini cha kulisha ubongo wako mtandaoni, litakuwa jalala (dampo) la kila, "content" unayokutana nayo. Bahati mbaya sana, "Useless content" zina mvutano mkubwa na dopamine zetu. Ndiyo maana makala Ndefu au thread yenye vitu vya kukuongezea ujuzi, unapata shida Sana
4
14
54
@EdwinMjeru
Edwin F.M
3 years
Hii Ndiyo maana halisi kwamba, "Wakati wewe unasubiri Embe (FURSA) liive, wengine wanakula kwa Chumvi". Kaka @mafolebaraka nakuona ukituandalia Nondo za Digiti 😀😀😀🙌🙌. Tutazikuta @SanukaKidijital zikiwa zimeshachujwa.
Tweet media one
3
4
51
@EdwinMjeru
Edwin F.M
5 months
Sometimes take time to PRAY: - For your clients - For your Boss - For your teammates - For your supervisors - For your Partners - For your colleagues ✍️ Some wars are meant to be won first spirituality before actualized in the physical world.
1
6
50
@EdwinMjeru
Edwin F.M
3 years
Je ni Kweli Wakenya Wanatuzidi Watanzania?? Juzi Jumatano (10/11/21) nilibahatika ku-moderate event moja kubwa pale JNICC (Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere). Event hiyo iliandaliwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya, "Daraja la Ajira Tanzania" Thread👇
Tweet media one
7
16
44
@EdwinMjeru
Edwin F.M
5 months
Nazidi kujifunza kuwa, "Simplicity and the Basics are the key to success in Business". Kuna mteja wetu mmoja alitucheki @UjuziConsult kwa ajili kumfanyia tathmini na kumsaidia kuandaa, "Strategic Plan" yake, hivi ndivyo tulichofanya; 1. SWOT and Gap Analysis UZI 🧵👇
3
15
48
@EdwinMjeru
Edwin F.M
2 years
Acha Watu Wafurahie na kuwa 'Proud' ya Mafanikio yao hata kama kidogo kwa sababu kuna Watu: 1. Wamebeba maumivu makubwa nyuma ya mafanikio yao: Kukataliwa, Kupoteza, Kuanguka n.k. 2. Wamelipa gharama kubwa sana: Muda, nguvu na akili. 3. Safari yao ya kutoboa haikuwa rahisi.
1
11
49
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
Katika kitu nimejifunza kwenye maisha ni kwamba, "You can't improve what you didn't start". Kwa maana hiyo, kuna muda inabidi tuanze kufanya kitu hivyo hivyo. Dhana ya, "Perfectionism" ni kikwazo kwa wengi wetu. 📌The best way to learn is by doing it.
2
15
48
@EdwinMjeru
Edwin F.M
5 months
Usiishi "DEFINITION" ya MAISHA kutoka kwa watu wengine kwenye MAISHA yako. Moja Kati ya Kitu Nilichojifunza ni kwamba ili MAISHA yako yawe FULFILLING,.. Ni lazima WEWE mwenye uhusike katika ku-DEFINE kile unachotoka kufanya na kutumiza. Kinyume na hapo, utakuwa unkimbiza...
4
12
46
@EdwinMjeru
Edwin F.M
3 years
Mh. @NyandaAmosi akitoa hints za "Copywriting".
Tweet media one
5
2
45
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
Juzi J'mosi nilizungumza kwa marefu na Broo mmoja ambaye ni HR. Tuliongea mengi juu ya namna ya kuongeza 'VISIBILITY" yake Linkeldn. Pia, nilibahatika kumuuliza maswali yafuatayo; 1. Je, watumishi au waajiriwa wenye "Strong Personal Brand" ni tishio kwa taasisi au kampuni?
1
7
45
@EdwinMjeru
Edwin F.M
2 years
Katika hili LIFE utakutana na DISAPPOINTMENTS nyingi kabla ya APPOINTMENTS.
4
8
42
@EdwinMjeru
Edwin F.M
3 years
Wakuu, Kuna kitu kinaitwa, "Anchoring Effect Marketing" au "Heuristic Effect" Nilikuwa najaribu kudadisi, kwa Nini Legacy Brands kama, Apple Nike Adidas Amazon Toyota, nk Zimedumu Sana kwenye game kwa miaka mingi pamoja na kuuza bidhaa zao ghali,
6
21
42
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
Hard Truth niliowahi kuambiwa na Mentor wangu, "Kam unaamini katika huduma yako au bidhaa yako basi usimwonyeshe mteja kuwa una njaa sana. Usi-push kwa mteja bali mvutie mteja"
1
8
41
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
"Don't ever lie in your CV". Kuna jamaa aliitwa interview ya sales kwenye kampuni X..... Kwenye CV yake aliandika aliwahi kufanya kazi kama hiyo (kumbe bado). Basi jamaa akafanyiwa REALITY CHECK. Akaambiwa, "Unajua jinsi ya ku-handle sales objections?". Akajubu, "Ndiyo!
6
6
40
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
......"Reprocity (Obligation)" bila yeye au Sisi kujua. Kanuni hii inasema kwamba,... "Watu wakikupa au wakikufanyia kitu, na Wewe utajikuta unawiwa kurudisha Fadhila". Ni asili ya binadamu.
2
3
38
@EdwinMjeru
Edwin F.M
5 months
Hauhitaji mtu akugongee MHURI ili upate ruhusa ya kuwa na NDOTO kubwa au kuishi NDOTO yako. Mungu alishakuidhinisha na kukudhibitisha hata kabla hujazaliwa. Kilichobakia kwa sasa ni kuonyesha tu, kilichopo ndani yako. Jiruhusu!!
1
9
43
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
"Fanya unachokipenda. Pesa itakufuata," Ni msemo unaotumika siku hizi Ku-mislead watu. "Kufanya unachokipenda HAITOSHI". My friend kabla hujafanya unachokipenda hakikisha unajipima kwa maswali yafuatayo! Je, watu wanakihitaji? Je, inatatua tatizo fulani Kwa watu? Je,
1
4
41
@EdwinMjeru
Edwin F.M
10 months
Dunia ya leo na baadaye imejikita katika, "Comptence Based". Hautaulizwa umesoma nini au wapi! Wataangalia unaweza kutatua nini au kufanya nini tofauti na wengine. Jinoe!
2
4
41
@EdwinMjeru
Edwin F.M
2 years
Katika "industry" yoyote uliyopo kuwa makini Usichanganye hawa watu; 1. Competitors 2. Mentors 3. Role Models 4. Supporters/Clients 5. Stakeholders. Kuna watu huwafanya "Competitors" watu ambao wanapaswa kuwa "Mentors" kwao. Play the game carefully.
2
13
39
@EdwinMjeru
Edwin F.M
6 months
Fundi mmoja alipewa na tajiri kazi ya kupaka mtumbwi rangi. Wakati anapaka rangi akagundua kuwa kwenye ule mtumbwi kuna sehemu ndogo kwa chini imetoboka. Fundi alichofanya akarekebishe lile tobo na kuendelea na Kazi yake ya kupaka rangi. Baada ya kumaliza alimwona tajiri
4
9
40
@EdwinMjeru
Edwin F.M
5 months
"If you win the morning, you win the day", Tim Ferris Wishing you a nice day!
3
5
40
@EdwinMjeru
Edwin F.M
2 years
Aliyeandaa hii advert ya Broo wetu Madonga amepata madini ya @NyandaAmosi Wakenya 😄🙌...!!! ".....tight security due to his temperamental nature where he could decide to go bare-knucle...". All the best Madonga. Wakati wa Mungu ndiyo sahihi.
Tweet media one
4
3
40
@EdwinMjeru
Edwin F.M
5 months
"Execution (Utekelezaji)" ndiyo SIRI pekee ya MAFANIKIO ambayo haijifichi. Kama ni mkulima utamwona shambani akishughulika. Kama ni mwanafunzi utamwona darasani akishughulika. Kama ni mwanariadha utamwona milimani akishughulika. Nakadhalika nakadhalika. Uzuri ni kwamba
4
5
39
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
Kukua siyo kiumri Tu, HAPANA. Mapito na uzoefu tunayopitia kwa nyakati tofauti tofauti yana nafasi kutu-shape jinsi tulivyo kimaisha iwe; - Kiroho - Kiakili - Kihisia - Kitabia - Kiutu - Nakadhalika.
2
6
37
@EdwinMjeru
Edwin F.M
3 years
Wataalamu wanasema safari ya "Customer Acquisition" iko hivi. 1. Wanaanza Kupenda bidhaa au huduma yako - Interest. 2. Kisha wanaanza kutamani - Desire 3. Kisha wanakuwa na Uhitaji - Need 4. Mwisho wanafanya maamuzi - Action. Kufika No. 3 & 4 ni kazi.
3
10
39
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
Asanteni Ndugu zangu, nimesafiri na nyie kwenye hii daladala ya (X) kuanzia Kibaha Maili 1 mpaka leo tumefika salama Simu 2000 (Mawasiliano). Naombeni mniungishe AFTATU (3K) 😀 tu ili nifike Mbagala Rangi 3. Asanteni sana. Tuendelee kujifunza pamoja. Nawatakia siku njema.
3
1
38
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
Kuna MTU namfahamu anafanya Social Media Management kwa kamapuni 5 tu kwa miaka 3 sasa tangu aanze nao. Jamaa maisha yake siyo mabaya na wateja wake wanamlipa vizuri tu. Siku moja nikamuuliza unahisi nini changamoto kubwa ya SMM wanaoanza, akasema, "New Client Syndrome".
1
5
38
@EdwinMjeru
Edwin F.M
9 months
Kwenye, "PRESENTATION" hakikisha unatumia mbinu ya, "EPA" kwa audience yako ili uweze kueleweka. 1. E - EMOTIONS - Stori inayogusa hisia zao. - Iwe relevant kwao. 2. P - PROOF - Namba, data, statistics na figures kwa kutumia visuals. 3. A - ACTION - CTA. Unataka wafanye nini?
5
14
37
@EdwinMjeru
Edwin F.M
5 months
Ni muhimu kuwa na, "Second Eye" (mtu ambaye atakusaidia kuboresha au kurekebisha makosa); 1. Kabla hujaenda ku-present, tafuta mtu (watu) present kwanza Mbele yao, kisha pokea feedback. 2. Kabla hujatuma, "Application", mwombe mtu akusaidie kupitia kwanza. 3. Kabla hujaenda
2
12
39
@EdwinMjeru
Edwin F.M
2 years
Ni Kweli hauna TALENT lakini Una Uwezo wa Kujifunza SKILLS. Don't limit yourself. Tumeshuhudia watu wengi sana wanaofanya vizuri katika vitu ambavyo siyo Vipaji vyao zaidi ya Wenye Vipaji hivyo. Remember, "Hard beats talent when talent doesn't work hard". JINOE kisha TIA BIDII
0
5
36
@EdwinMjeru
Edwin F.M
2 years
"ONA WENGINE WANA........., BADO WEWE TU". Hakikisha kabisa hii kauli hainyonyi Nguvu yako wala kukukatisha tamaa. Usiruhusu ikuvuruge Akili na Mawazo YAKO Kwa kujiona Wewe hauwezi kutoboa. Kaa kwenye njia yako📍
2
7
37
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
kila tukienda bei ni ile ile kama jamaa alivyotupunguzia baada ya majibu ya Boss. Jua linachoma kinoma mpaka unahisi kama vile umewekewa pasi utosini. Tukawaza tuchukue kwenye maduka ya karibu au tutembee tena mpaka mtaa wa Kongo kwa yule jamaa wa mwanzo! Broo akaniambia,
1
0
32
@EdwinMjeru
Edwin F.M
5 months
Moja kati ya MBINU bora ya KUJIFUNZA na kujenga UMAHIRI kwenye UJUZI au kitu chochote ni kwa, "PROJECT au TASKS". - Kujifunza hakuji kwa kukariri, kupitisha macho au kusoma city jinsi inavyofanyika, bali kwa kufanya. Mfano; Unajifunza graphics, mtafute mtu ambaye.....
4
8
38
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
"Aisee turidi kwa yule mwamba tukachukue mashine tusepe, maana tushakunywa maji yake Kaka." Tukarudi kwa jamaa tukachukua mashine na kurudi. Aisee! Katika kusoma soma juu ya kanuni za, "Persuasion" nikakumbuka hii scenario na kagundua kuwa yule jamaa alitumia kanuni ya,....
1
1
33
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
Kama kungekuwa na Sindano ya "Confidence", watu wengi wangedunga sana. So many people out there with big ideas, plans and dreams, wamekwama Kwa sababu tu kukosa kujiamini.
2
7
33
@EdwinMjeru
Edwin F.M
6 months
,,,Niko nafikiria Hapa tudondoshe darasa moja la,... ... "Business Storytelling"..... ..mwishoni wa mwezi wa nne! Kiingilio itakuwa TZS. 19,999/- Tu. Ama Namna gani?
4
5
36
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
Tukajaribu ku-bargain mpaka jamaa akatuambia ngoja ampigie Boss wake simu kama atakubali kwa bei tunayoitaka. Wakati tunasubiria apige simu kwa Boss wake, jamaa akatuambia, "Aisee kuna joto hatari, nimekaukiwa koo, nataka nichukue maji, Vipi niwachukulie?" Broo akasema,...
1
0
34
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
Boss wako mwenyewe ana mishe mishe na side projects kibao. Wewe ni nani umtegemee yeye tu?
1
9
37
@EdwinMjeru
Edwin F.M
5 months
Mara nyingi watu UNAHOFIA kuwa watakuonaje, hawana hata habari na WEWE. We anzisha tu huo mradi. We omba tu hiyo kazi. We submit tu hiyo application. We anzisha tu hiyo biashara. Mwisho wa siku ni WEWE na MAISHA yako na MAFANIKIO yako. Acha kutumia LENSI ya watu wengine.
1
4
36
@EdwinMjeru
Edwin F.M
2 years
Je, unahisi unachokifanya hakivutii, haina 'Attention' au haujulikani mpaka unataka kuacha au kukata tamaa? Siyo kwamba hakina Umuhimu. Siyo kwamba hakina maana. Siyo kwamba unapoteza muda. Siyo kwamba huonekani. HAPANA! Keep holding on! Time will expose you! "Kaza".
4
9
36
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
FURSA ni FIKRA. Kuna FURSA ambazo zinakuja katika SURA ambayo ukizitazama unaweza ukadharau. Unaweza ukasema; - Yaani Mimi na......(elimu yangu au uzoefu) wangu nifanye hii? - Bila kulegeza EGO na kumeza PRIDE huwezi ukaona milango iliyojificha nyuma ya FURSA husika. - Bila
2
6
36
@EdwinMjeru
Edwin F.M
6 months
Unaakisi kwa NJE twasira ya mtu unayoijenga NDANI mwako. Huwezi ukajiona kama paka ndani mwako kisha utegemee watu wakuone kama simba. Watu wanakuchukulia kama unavyojichukulia. Kwa hiyo, mfinyange ndani yako WEWE unayetaka watu wakuone kwa NJE.
1
9
36
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
Ndugu Mpambanaji, Nusu saa ya mwanzo baada ya kuamka inaweza ku-set mood yako ya siku njema. Protect your mind!
0
6
35
@EdwinMjeru
Edwin F.M
5 months
Mambo 4 ambayo hayatakaa yakuangushe (Ukikomaa nayo, lazima utapata japo chochote kitu) 1. Maarifa - kuna sehemu, "Knowledge" uliyonayo inaweza kukupa fursa. 2. Ujuzi wa kufanya kitu fulani - Ufunguo 3. Network ya watu sahihi - Sumaku 4. Uzoefu katika kitu fulani - Mgodi
0
16
37
@EdwinMjeru
Edwin F.M
9 months
Fake it until you make it ❌ Face it until you make it ✅
3
10
33
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
"Chuma kilichotelekezwa (isiyotumika) ndiyo inayopata kutu kirahisi. Maji yaliyotuama ndiyo huchafuka kirahisi. Akili iliyolala (isiyoshughulishwa) hufifisha ubunifu na uwezo wa kukua", Leonardo da Vinci
0
7
36
@EdwinMjeru
Edwin F.M
6 months
Ni wiki nyingine tena. Ikawe kheri na ya mafanikio katika kila jambo ulilolipanga. Mungu awasimamie my friends🙏.
2
2
36
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
..."Asante tuchukulie kaka". Jamaa akachomoka akarudi na chupa 3 za maji baridi. Huku tunapooza koo, akatuambia tajiri amesema, "Ongezeni tu kilo 5 mchukue mashine". Mmmmh! Ngoja kwanza tuzunguke (Broo aliguna). Basi tukazunguka maduka mengine lakini,......
1
0
33
@EdwinMjeru
Edwin F.M
10 months
Mwaka 2020 niliwahi kumlipa jamaa mmoja Tsh.150,000 kwa dakika 30 ili tu anisaidie ku-second document fulani. Nilimpata mteja wangu wa kwanza wa kumwandalia Business Plan na Tender document, akanilipa 500,000. Nikaandaa kila kitu fresh, nikamtafuta jamaa Kwa ajili ya......
3
2
34
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
Kuna mteja wangu mmoja (Mfanyabiashara) wakati nafanya naye session nilimuuliza swali,... "Unafikiri kwa sisi Vijana (Wajasiriamali wachanga) ni rahisi sana kukata tamaa kwenye biz". Akapiga kimya kidogo akasema kwa, 'Accent' yake ya kichaga, "Vijana hamheshimu faida ndogo....
4
8
35
@EdwinMjeru
Edwin F.M
6 months
Wataalam wanasema; 1. Huwezi kufanya maamuzi mazuri ya manunuzi ukiwa, "Excited"-Mzuka. 2. Na, huwezi kufanya maamuzi mazuri ya mauzo ukiwa na HOFU.
1
7
35
@EdwinMjeru
Edwin F.M
3 years
Upate Mchongo au fursa!! Kama vile namuona Ndugu yangu @NyandaAmosi anavyotamani hii fursa ingendoka kwake!! RT ili Wana wasanuke!!
0
2
35
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
KAULI 5 ZENYE USHAWISHI KWENYE MAZUNGUMZO BILA KUTUMIA NGUVU!! Jifunze Kwa Mifano Halisi Kwa Njia Picha 👇👇 {Thread🧵: RT}.
2
12
35
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
Siku moja kijana mmoja alienda kwa Socrates ili kumuuliza juu ya Siri ya Mafanikio. Alipofika akamwambia, "Sir, nataka Kufanikiwa. Naomba unipe siri ya mafanikio". Basi, Socrates akamwambia, "Bwana mdogo ongozana na Mimi nifuate". Wakatembea kulekea baharini.
1
8
35
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
Usiwambie watu MALENGO yako. Waonyeshe UNAFANYA NINI. Watu wengi huongelea kuhusu MALENGO yao na huishia bila kufanya kitu. LAKINI, Ukiwaonyesha watu kwa vitendo hatua unazochukua kufikia MALENGO yako, ni rahisi kukuunga mkono, au kukupa support.
3
9
33
@EdwinMjeru
Edwin F.M
1 year
"No matter how down you are brought by any factors or forces, just don't accept staying down, find a way up. Don't despair". Paul Kagame. "Haijalishi ni kwa kiasi gani umeshushwa chini na sababu/nguvu yoyote ile, usikubali kubaki chini. Tafuta njia ya kwenda juu. Usikate tamaa".
2
6
34
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
Nakumbuka kuanzia mwaka 2007 ndiyo nilianza kusikia stori za Mabala The Farmer na Hawa The Bus Driver. Kipindi hicho Mimi nilikuwa bado shule ya msingi, I think Darasa la 6. So, nilikuwa nasikia tu stori Kwa Mabroo waliokuwa Sec..kipindi hicho wakibishana juu ya vitabu
Tweet media one
0
3
35
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
Hakuna uzoefu NDOGO. Kila kitu unachokifanya kwa malengo kina IMPACT 3 kwako; 1. The Doing Impact - Kinakujenga kiuwezo na kimbinu jinsi ya kufanya kitu husika. 2. The Being Impact -Kinakujenga na kuku-shape Ki-FIKRA, kimtazamo, na kitabia pia. 3. The Learning Impact -
5
13
35
@EdwinMjeru
Edwin F.M
6 months
Kila LENGO au MALENGO unayojiewekea yanahitaji, "Version Mpya" ya Wewe ili kuyatimiza kwa maana ya; - Mtazamo mpya - Nidhamu na tabia mpya - Ujuzi na maarifa mapya - Nakadhalika Ni lazima uji-adjust mentally, physically na hata muda mwingine spiritually ili uweze kuyafikia.
1
9
35
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
"Huwa Nafanya Nikijisikia Tu". Huyu ndiyo adui MKUBWA wa CONSISTENCE. Watu unawaona BORA siyo kwamba wanajisikia sana kufanya wanachofanya, HAPANA!! Ni kwamba wanajua kutofautisha kati ya MZUKA na NIDHAMU. Ni watu ambao wanafanya, hata pale wasipojisikia kufanya!!
1
10
34
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
Mtu mmoja aliwahi kusema, "Katika jambo lolote kuna makundi 3 ya watu". 1. Wachache - Wanaofanya mambo yatokee (Make things happen) 2. Baadhi - Wanaotazama mambo yakitokea (Watch things happen) 3. Wengi - Wanaoashangaa nini kimetokea (Wondered what happened). ⚠️By default,
1
4
33
@EdwinMjeru
Edwin F.M
8 months
Kama Una Kigugumizi, "STAMMERING & STUTTERING" Waakati wa Kuzungumza (Public Speaking), Tumia Hizi Mbinu 7 Zitakusaidia Kupunguza" . Disclaimer: Mimi Siyo "Speech Therapist". Nina-share Mbinu Ambazo Zimenisaidia Mimi Binafsi na Baadhi ya Mentees Wangu Kwenye PS". 🧵 (PS: RT)
1
9
31
@EdwinMjeru
Edwin F.M
7 months
Huenda hupati MATOKEO unavyotaka kwenye kitu unachokifanya kwa sababu kuu 2; 1. Aidha, unakosa UJUZI 2. Au, unafanya kwa Namna isiyo sahihi (unaelekeza NGUVU na JUHUDI kusiko sahihi). The question is always, "Do I have what it takes, and am I doing the right thing?".
1
12
33