urtupdates Profile Banner
URT Updates Profile
URT Updates

@urtupdates

Followers
760
Following
19K
Media
6K
Statuses
8K

Updates from the United Republic of Tanzania #URTUpdates

Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@urtupdates
URT Updates
4 months
0
0
4
@CAN_Tanzania
CAN Tanzania (Climate Action Network Tanzania).
8 days
From Baku to Belem! Guided by the #Vision2050 Tanzania is shaping a road for meaningful negotiations at COP30 in Brazil. Government institutions, CSOs, Youth, PWD and Children representative are all involved in the convened #PreCOP30. @UKinTanzania #PreCOP30TZ #TanzaniaAtCOP30
0
2
3
@CAN_Tanzania
CAN Tanzania (Climate Action Network Tanzania).
6 hours
“These national preparatory meetings help us build confidence and align our collective agenda for #COP30 & when you ask me again in January during the post-COP meeting, I’ll show you the outcomes from this session.” - Dr. Sixbert Mwanga (Executive Director, CAN Tanzania)
@CAN_Tanzania
CAN Tanzania (Climate Action Network Tanzania).
8 days
From Baku to Belem! Guided by the #Vision2050 Tanzania is shaping a road for meaningful negotiations at COP30 in Brazil. Government institutions, CSOs, Youth, PWD and Children representative are all involved in the convened #PreCOP30. @UKinTanzania #PreCOP30TZ #TanzaniaAtCOP30
0
0
0
@urtupdates
URT Updates
23 hours
Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu wakifuatilia matukio wakati wa maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, tarehe 14 Oktoba, 2025.
0
0
0
@urtupdates
URT Updates
23 hours
Wakuu wa Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu na Taasisi zilizochini ya Ofisi hiyo wakifuatilia matukio wakati wa maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, tarehe 14 Oktoba, 2025.
0
0
0
@urtupdates
URT Updates
23 hours
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akiwa amewasili katika Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika kwenye uwanja wa Sokoine, Mkoani Mbeya tarehe 14 Oktoba, 2025.
0
0
0
@urtupdates
URT Updates
23 hours
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametembelea banda la Ofisi ya Waziri Mkuu na wadau wanaoshiriki katika eneo la maonesho ya Wiki ya Vijana, viwanja wa Uhindini, jijini Mbeya leo Oktoba 14, 2025. Aidha, Maonesho hayo ya Wiki ya
0
0
0
@urtupdates
URT Updates
23 hours
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, Oktoba 14, 2025 ameshiriki katika Ibada ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Francisko wa Asizi, Mwanjelwa Mkoani Mbeya. Ibada hiyo imeongozwa na Akofu
0
0
1
@urtupdates
URT Updates
23 hours
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Zuhura Yunus akiwa amebeba Mwenge wa Uhuru wakati wa zoezi la makabidhiano ya mwenge wa uhuru lililofanyika Oktoba 14, 2025 katika uwanja wa Sokoine, Jijini Mbeya. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe.
0
0
0
@urtupdates
URT Updates
1 day
𝗞𝗜𝗕𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗠𝗣𝗬𝗔, 𝗞𝗜𝗕𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗔𝗜𝗥𝗨𝗞𝗜 Safari yetu inaanza rasmi tar 29 oktoba, jitokeze tuanze pamoja kwa kishindo. @SuluhuSamia @ccm_tanzania @AngellahKairuki #Chaguakairuki, #chaguaccm.
0
0
0
@urtupdates
URT Updates
1 day
Huu ni zaidi ya upendo kwa wananchi wa jimbo la kibamba, kuanzishwa kwa kairuki fund kutasaidia watoto wa hali ya chini kupata nafasi ya kuishi maisho bora na rafiki katika jamii yetu. @AngellahKairuki @SuluhuSamia @ccm_tanzania
0
0
1
@urtupdates
URT Updates
1 day
Waziri Mkuu, Mhe. @KassimMajaliwa_ Oktoba 14, 2025 ameshiriki katika Ibada ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu. Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Francisko wa Asizi, Mwanjelwa Mkoani Mbeya. Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor
0
1
1
@urtupdates
URT Updates
1 day
SERIKALI YAENDESHA WARSHA KUJENGA USHIRIKIANO NA WASHIRIKA WA MAENDELEO Na. Eva Ngowi -Wizara ya Fedha, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeendesha mafunzo ya siku moja kwa Washirika wapya wa
0
1
1
@urtupdates
URT Updates
2 days
MHE .ANGELLAH KAIRUKI AAHIDI MAKUBWA SEKTA YA USAFIRI NA BIASHARA KIBAMBA Mgombea wa ubunge wa jimbo la kibamba kupitia chama cha @ccm_tanzania (ccm), mhe. @AngellahKairuki, amewaahidi wakazi wa jimbo la kibamba atahakikisha anashughulikia changamoto za usafiri ikiwemo
0
0
0
@urtupdates
URT Updates
2 days
📍MBEYA | 🗓️ OKTOBA 13, 2025_ Nimeridhishwa na maandalizi na kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere-Waziri Mkuu @KassimMajaliwa_ @tma_services
0
0
0
@urtupdates
URT Updates
2 days
Dr. @AlexGasasira the new @WHO_Tanzania Representative presented his credentials to @mfa_tanzania He reaffirmed @WHO's steadfast commitment to working with #Tanzania to accelerate progress toward #UHC & deliver #HealthForAll.
0
0
1
@urtupdates
URT Updates
2 days
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha @ccm_tanzania (CCM) Taifa Ndugu Dkt. @SuluhuSamia akizungumza na wananchi wa Geita mjini katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2025.
0
1
1
@urtupdates
URT Updates
2 days
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha @ccm_tanzania (CCM) Taifa Ndugu Dkt. @SuluhuSamia Suluhu Hassan uliofanyika Geita mjini tarehe 13 Oktoba, 2025.
0
0
0
@urtupdates
URT Updates
2 days
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama @ccm_tanzania (CCM) Taifa Ndugu Dkt. @SuluhuSamia Suluhu Hassan uliofanyika Nyawilimilwa mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2025.
0
0
0
@urtupdates
URT Updates
2 days
Sehemu ya Wananchi wa Katoro mkoani Geita waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha @ccm_tanzania (CCM) Taifa Ndugu Dkt. @SuluhuSamia, tarehe 13 Oktoba, 2025.
0
0
0