tma_services Profile Banner
Tanzania Meteorological Authority Profile
Tanzania Meteorological Authority

@tma_services

Followers
37K
Following
780
Media
7K
Statuses
30K

Tanzania Meteorological Authority is the designated National Met Authority with the task of providing and regulating weather and climate services

Tanzania
Joined October 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
1 month
UWEKEZAJI MKUBWA SEKTA YA HALI YA HEWA
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
0
9
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
12 days
VIONGOZI WAKUMBUSHWA KUHAMASISHA WANANCHI KUTUMIA TAARIFA ZA TMA. Morogoro, tarehe 07 Agosti 2025. Kwa taarifa zaidi tembelea:
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
0
2
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
12 days
Heri ya Sikukuu ya Nanenane.
Tweet media one
0
0
0
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
13 days
📢. Elimu ya huduma mahususi za hali ya hewa inayotolewa na TMA imeendelea kuwavutia wadau wengi waliotembelea katika banda la TMA kupitia maonesho ya NaneNane 2025 yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya NaneNane, Morogoro. Taarifa zaidi 👉
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
5
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
14 days
Karibu katika banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kwenye Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nanenane Nzuguni, Dodoma.
0
0
1
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
14 days
kwasababu utabiri mnaotoa una uhalisia ukilinganisha na kipindi cha nyuma".
0
0
0
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
14 days
jijini Dodoma. Mhandisi Dkt. Mgaya Katika ziara yake banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) aliipongeza kwa kazi nzuri inayofanywa na TMA alisema ."Nawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoifanya na watanzania wengi sasa wameweka imani kubwa kwa Mamlaka ya Hali ya Hewa.
0
0
0
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
14 days
NIT YAPONGEZA UTOAJI WA HUDUMA BORA ZA HALI YA HEWA . Dodoma Agosti 5, 2025;.Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Mhandisi Dkt. Prosper Mgaya ametembelea banda la TMA katika maonesho ya Kitaifa ya Wakulima NaneNane 2025 yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Nzuguni
Tweet media one
2
0
5
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
16 days
TMA imetumia fursa ya Maonesho ya NaneNane 2025 Kitaifa yanayofanyika katika Viwanja vya Nzuguni, Dodoma kutoa elimu kwa jamii kuhusu huduma zitolewazo pamoja na jukumu kubwa la TMA la kudhibiti shughuli za hali ya hewa nchini. Taarifa zaidi 👉
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
1
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
16 days
Tupo Nanenane.
Tweet media one
0
0
3
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
1 month
Heri ya sikukuu ya Sabasaba.
Tweet media one
1
0
14
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
1 month
TMA yatoa mwanga kwa wanafunzi: Suluhisho katika kukabiliana na ongezeko la joto.
0
1
4
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
1 month
The Secretary-General of the @WMO, Prof. Celeste Saulo, has reaffirmed the WMO’s commitment to collaborate with the @tma_services to improve weather services for use across various socio-economic sectors. More info 👉
Tweet media one
0
0
0
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
2 months
TMA MSTARI WA MBELE KUELIMISHA VIJANA JUU YA MATUMIZI SAHIHI YA UTABIRI WA HALI YA HEWA
1
1
4
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
2 months
TMA inapatikana rasmi kupitia "WhatsApp Channel" 🟢 ambayo itakuhabarisha taarifa mbalimbali kutoka TMA ikiwemo utabiri na tahadhari za hali mbaya ya hewa. ⏰. 🔔 Jiunge leo, usipitwe na taarifa muhimu zitakazokuwezesha kupanga shughuli zako kila siku.
Tweet media one
1
3
13
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
2 months
Dondoo muhimu za hali ya hewa kipindi cha Juni - Agosti (JJA), 2025🌤️💨❄️
Tweet media one
0
0
6
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
2 months
Tunawatakia heri ya Sikukuu ya Eid🕌🐐
Tweet media one
1
0
6
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
3 months
TMA imeungana na taasisi nyingine zilizo chini ya Wizara ya Uchukuzi katika zoezi la upandaji miti eneo la kituo kikuuu cha treni ya SGR - Dodoma inayojulikana kama Stesheni Kuu ya Samia Suluhu ikiwa ni moja ya shughuli zilizoandaliwa na Wizara ya Uchukuzi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
9
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
3 months
Mamlaka Ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeungana na Taasisi zingine zilizopo chini ya Wizara ya Uchukuzi kufanya usafi wa mazingira kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma, ikiwa moja ya shughuli zilizoandaliwa na Wizara katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani 2025
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
1
@tma_services
Tanzania Meteorological Authority
3 months
UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 03.06.2025
Tweet media one
0
0
3