S A B I S T A R
@sabi_blessed
Followers
12K
Following
109K
Media
3K
Statuses
57K
Husband | Father |Photographer |Gamer | Ready to Create your Contents | Follow Your Passion and Success Will Chase You | #LetLoveLead #UnlimitedCreativity
Arusha, Tanzania
Joined February 2015
Nimepiga story na mabinti mapacha, watoto wa Mbunge wa Iringa Mjini โฆ@MsigwaPeterโฉ na mojawapo ya swali ni โWanachukuliaje baba kuwa mwanasiasaโ Video kamili iko YouTube, bonyeza link hii kuitazama ๐๐พ https://t.co/YnEDVXNkYO
12
45
273
Kama unahitaji Lapto nzuri kwa gharama nafuu basi wacheki @usedpointTz Laptop kuanzia bajeti ya 250,000/= โ๏ธ0788106694 6months+ warranty DSM FREE DELIVERY Mkoani tuna safirisha kwa uaminifu mkubwa ๐Ubungo
2
33
47
Raha ya matombo mdonde, ukiwa muoga wa umande huwez kuupata ๐
0
0
0
@sabi_blessed @Adventure_36 Ingekua unyama, jamaa watatoa discipline ya kufa mtu na ujuzi wa hali ya juu. Wakiingia kwenye Ujenzi, kilimo na ufundi maisha mepesi tena mtu anaweza fanya field ya uhakika. Suma JKT inawez ajili watu wengi mno kupitia hii project kila mkoa wapige kazi.
1
1
1
Arsenal GK 25/26 ๐ท๏ธ = 27,000 Sizes; S,M,L,XL, XXL ๐; 0715 950 110/ 0743 111 311 ๐; Kariakoo (Congo/Narung'ombe, Handbags Tower,1st Floor)
1
7
5
RASMI! @barakamaviatu Sasa ni Mwana Karakana! @barakamaviatu tumejiunga na familia na kutuandalia kozi "Biashara ya viatu vya mtumba" na inaanza rasmi LEO kupitia #Karakana App Pakua Karakana App leo na uwe miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kujifunza. #Ujasiriamali
12
140
290
Wachezaj wa Simba wako darasani hapa wanapokea mafunzo ya bure kutoka kwa mjomba Himid Mao! What a player ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
0
0
0
Biashara ya viatu vya mtumba inaweza kubadilisha maisha kama unajua unachofanya. @BarakaMaviatu anaonyesha uhalisia wa ujasiriamali mtaani: kuamka mapema, kupambana na kusonga mbele. Jifunze ujasiriamali kiganjani mwako kupitia Karakana App. Pakua sasa! #Ujasiriamali
0
9
14
RASMI! @barakamaviatu Sasa ni Mwana Karakana! @barakamaviatu amejiunga na familia yetu na kutuandalia kozi "Biashara ya viatu vya mtumba" na itaanza rasmi KESHO kupitia Karakana App Pakua Karakana App leo na uwe miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kujifunza. #Ujasiriamali
3
29
74
Nlikopa 5m na point kwa mshkaj nkamwambia uhakika ela ya adsense ikiingia ntakulipaโฆela ilichelewa miez 2 hiv nkamuelezea, aliamin Siku namtangulizia 3m akasema mwanangu nlikupa tuu ila skujua ka utarudisha, ela ilobaki usinrudishie Tokea hiyo siku nliongeza uaminifu kwny hela
3
1
15
Nadhani leo ndo itakua mwisho kutaka kufaham chochote kuhus Chelseaโฆ
0
0
0
Kama taifa, inabidi tumjengee sanamu aliyekuja na idea ya VIJORA! Amefanikiwa kuziondoa โkanga mojaโ mtaani!
0
0
0
2026 ni mwaka ambao utafanikiwa mpaka watu wataomba uwaelekeze kwa mganga wakoโฆkumbe ni wakati wa Mungu! #MwakaWaUshuhuda
0
1
2
Argentina ๐ฆ๐ท Player Version ๐ท๏ธ = 30,000 Sizes; S,M,L,XL, XXL ๐; 0715 950 110/ 0743 111 311 ๐; Kariakoo (Congo/Narung'ombe, Handbags Tower,1st Floor)
0
20
21
Belgium ๐ง๐ช ๐ท๏ธ = 27,000 Sizes; S,M,L,XL, XXL ๐; 0715 950 110/ 0743 111 311 ๐; Kariakoo (Congo/Narung'ombe, Handbags Tower,1st Floor)
1
12
14
Hii feature ya X kwamba huoni notification ya mesej DM mpk uingie ndani ni ya kiwaki sana
1
2
0
Senegal ๐ธ๐ณ ๐ท๏ธ = 30,000 Sizes; S,M,L,XL, XXL ๐; 0715 950 110/ 0743 111 311 ๐; Kariakoo (Congo/Narung'ombe, Handbags Tower,1st Floor)
0
14
23
Italia ๐ฎ๐น ๐ท๏ธ = 30,000 Sizes; S,M,L,XL, XXL ๐; 0715 950 110/ 0743 111 311 ๐; Kariakoo (Congo/Narung'ombe, Handbags Tower,1st Floor)
1
16
27
What instructions was the man in a suit giving to the referee, and who is he, by the way?
0
0
1