
Rezam Six
@rezam06
Followers
19K
Following
649K
Media
6K
Statuses
195K
Genius of my own Life | God is over everything | Be there when they need you | Baba~V•L•M•M.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2021
FAHAMU LIST YA WATU (10) DUNIANI WANAOFANANA NA MAREHEMU. [List of (10) people who have same faces as some people who died ] Uzi (Thread) 🧵 1. Steven Kanumba & Shifta
59
104
1K
Mdogo wangu kamtambulisha mchumba wake nyumbani, sasa bi mkubwa akaanza kupiga simu kunifokea kuwa umeona mdogo wako alivyoniheshimisha? Sasa kosa langu nini mimi 😃
0
0
2
Meta's Andromeda update made creative diversity that much more essential for strong performance. Here's why and how you can take advantage 👇
2
3
23
Mapema jana, Ijumaa 17 Oktoba 2025, ATE tulishiriki Mkutano wa VETA na wadau wa Viwanda na Ufundi Stadi uliofanyika kwa kauli mbiu “Wekeza Katika Ujuzi, Jenga Mustakabali wa Tanzania.” Mkutano huu uliwaleta pamoja waajiri, wamiliki wa viwanda na taasisi za mafunzo ya ufundi.
1
8
11
Wewe jamaa usipojiangalia utakula block soon
1
1
3
Huyu huu mwezi akimaliza basi mganga wake ananyota Kali sana
1
0
0
The Ethereum restaking protocol, EigenCloud (@eigenlayer), is ushering in not just the era of verifiable AI, but less noticed, something with even more significant implications for how our civilization functions: the era of programmable gold. The era of ETH. Under the hood, ETH
3
10
12
Tunarudi tena katika msimu mpya wa #SiasaZetu, safari hii tukiwa na surapya na mitazamo mipya ya kisiasa! 🇹🇿 Endelea kufuatilia kurasa za @ZetuSiasa kushuhudia mijadala mikubwa, yenye fikra changamfu na hoja nzito kutoka kwa wachambuzi na wanasiasa mbalimbali nchini. 👉🏽
7
25
27
Siku nyingine ya kushuhudia timu kubwa barani Afrika
0
0
2
Katika dunia ya leo, uelewa wa kisiasa ni silaha muhimu. @ZetuSiasa Podcast imekuja kuwa jukwaa la sauti za wananchi, mjadala wa kina na hoja zinazogusa uhalisia wa maisha. Chini ya usukani wa Stanslaus Lambe, tunajadili mada muhimu kwa mtazamo huru, wazi na wenye kuelimisha.
4
18
20