
Classickizito
@Classickizito
Followers
8K
Following
117K
Media
2K
Statuses
64K
Nature Lovers |Showcasing the raw beauty of nature, lodges, and travel experiences πΉπΏ |Tour Guide | graphics design | DStv Tanzania
Earth π
Joined February 2022
RT @Positivenga1: Jitahidi sana kukaa na kujichanganya na watu na maeneo ambayo wewe ndo mjinga zaidi. Utajifunza sana.
0
8
0
RT @McinikaWaLamar: Usimdharau mtu yeyote, hata kama kwa macho yako unaona hana msaada wowote kwako. Kwa MUNGU hakuna mtu asiye na thamaniβ¦.
0
95
0
RT @ALugandu: Zogo Mchongo Kutoka @CRDBBankPlc Msimu Huu Kuna Malkia Mpya. !!π. Ataungana Na Adam Mbwana Ambaye Kadumu Kwa Misimu Miwili Naβ¦.
0
22
0
Lazima uwe na uwezo wa kutambua wakati shetani anamtumia mtu kama chombo chake. #ElimikaWikiendi.
1
8
9
Facebook ina mamilioni ya watumiaji kila siku β Tanzania pekee kuna zaidi ya milioni 6. Unaweza kuitumia kufikia watu wa rika, jinsia, eneo au maslahi maalum kupitia matangazo (ads). Ni rahisi kuliko kutumia televisheni, redio au mabango.
Me ntakuwa na maon tofaut na ww. Fb nayo ni sehemu unayotakiwa kujenga brand . hivi unajua kam fb ina watumiaj wengi duniani kuliko mtandao wowote? π. @festokaguo.
1
1
0