ImStanleee Profile Banner
Master Mind Profile
Master Mind

@ImStanleee

Followers
4K
Following
8K
Media
562
Statuses
5K

High - Value Content Delivered by Me. Turn Your Self-taught Skill into Profit 📈 Coding Is my Life not A Choice 💻. Make boring stuffs to work automatic

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ImStanleee
Master Mind
21 hours
SELF-TAUGHT sio rahisi kama wengi wanavyofikiria!. Especially kwenye maswala ya development (Coding). Mtu anaweza ona rahisi pindi mtu anaposimulia na kuona akifanya projects kubwa akadhani ni simple!. Bila NIDHAMU,KUJITOA,MUENDLEZO NA UVUMILIVU. Ndani ya wiki 2 unaaga RACE.
0
0
2
@ImStanleee
Master Mind
2 days
Kuna level flani ya maisha ukifika, swala la kujifunza kwako litakuwa halina EXCUSE. Automatically UBONGO unataka kupata vitu vipya, aidha kwenye kuinua TAALUMA yako au kuongeza UJUZI mpya. Ukifika level hii ya maisha, DO IT kuna namna utakuja kujipongeza.
0
1
6
@ImStanleee
Master Mind
15 days
hey @grok according to your analysis, name 10 accounts in sequence who frequently visit my profile. Don't mention the person, just @.username and the rate of number of times a week visit the profile.
2
0
3
@ImStanleee
Master Mind
15 days
Ninayo furaha kuwa developer (Web based dev). Na bado nazidi kujinoa, na kujionoa. Kamwe AI haiwezi nitoa mchezoni hadi badae sana huko. Endelea kujifunza popote pale ulipo, usiache kwa kuanza na basic au misingi yote ya lazima katika kujifunza teknolojia tofauti tofauti.
0
1
5
@ImStanleee
Master Mind
15 days
Kamwe usidharau matokeo madogo yanayotokea juu ya jambo unalolifanya.
0
0
2
@ImStanleee
Master Mind
16 days
Self-learning isn't for everyone it's for those who truly want to grow. Kujifunza mwenyewe si rahisi, lakini ni silaha ya wenye kiu ya maendeleo. Tabia ya kujifunza kitu kipya huwa ngumu mwanzoni lakini ugumu huondoka pale unapochukua hatua ya kwanza.
0
0
1
@ImStanleee
Master Mind
17 days
Kuna muda unaweza kata tamaa pindi ukisikia mijadala ya AI kuwa na uwezo mkubwa katika soko la tech,. Alafu ukijiangalia ni self-taught developer, unajipambania kujifunza na bado huna exposure. Huwa inafikirisha, ila don't give up.
1
0
6
@ImStanleee
Master Mind
19 days
Unapoandika serious project. Mf. badala ya function totalTax(){ }, .const calculateTotalTax = () => {}. Inakusaidia hata wewe mwenyewe utakapo rudi kufanya mabadilisho. Jitahidi kuzingatia variables techniques kwenye matumizi, kama camel variables etc.
0
0
1
@ImStanleee
Master Mind
19 days
Njia bora ya kuonekana bora kwenye uandishi wa CODES zako kwa SELF-TAUGHT DEVELOPER. Tumia VARIABLES NAME ambazo ni rahisi kueleweka kutokana na value husika. Mf badala ya let 'Age' => let 'userAge'. Tumia FUNCTION NAMES ambazo zinaeleweka kazi yake pindi unapoandika serious. .
1
1
5
@ImStanleee
Master Mind
19 days
If you win to manage your focus when your going through something that makes your personal growth best YOU WIN. If you win to maintain and prevent any unnecessary distraction when your working on something that matters to you! YOU WIN. Protect your focus.
0
0
1
@ImStanleee
Master Mind
19 days
As a self-taught developer, ni muhimu kuzingatia zile tabia muhimu ambazo kama software engineer anazo. Ni muhimu sababu tabia hukutambulisha kwenye ufanyaji wako wa kazi, sio tabia za kimazingira, bali tabia za ufanyaji kazi. Namna unavyofikiri, namna unavyo andika codes zako.
0
2
7
@ImStanleee
Master Mind
20 days
Hello. Don't struggle kwenye kujifunza. Small steps always matter. Jenga tabia ambayo itabadilisha mfumo wako wa kuishi. 1 X a Day, One Step, One Win. Wanangu mafanikio juu ya jambo lolote halifanikiwi kwa njia nyepesi trust me. You must commit to yourself. KAZA.
1
2
7
@ImStanleee
Master Mind
21 days
Kama mwanaume mwenye uchu wa mafanikio na pindi tu unapoanza kujitambua katika kuelekea kuyafikia mafanikio yako. Utagundua kuwa kujifunza vitu vipya haswa vinavyolenga ukuaji wako, sio swala linalohitaji kujiuliz. Jifunze kwa manufaa yako, jenga tabia endelevu ya kulisha ubongo.
0
3
9
@ImStanleee
Master Mind
21 days
Moja ya kitu kitakufanya kuwa better programmer. !. Namna unavyoandika CODE BASE zako. Maintainable and Reusable. Ili kufanya hivyo unapaswa ujue principle inaitwa. S.O.L.I.D. Zingatia sana.
1
1
8
@ImStanleee
Master Mind
22 days
Be a programmer is another thing, become a better programmer is another thing. Kila mtu anaweza kuwa programmer kwa nafasi yake ila si kila mtu ataweza kukidhi vile vigezo vya programmer anayetakiwa kwenye soko. kila kitu kina kanuni na utaratibu ili kufikia lengo.
0
2
5
@ImStanleee
Master Mind
22 days
Huyo palmer kadhamiria kuwaadhibu hawa mabwana wa PARISI. Asante sana mwamba.
0
1
5
@ImStanleee
Master Mind
23 days
Usiache kujipongeza pindi tu unapofikia lengo kwenye kujifunza kwako au katika lile ulifanyalo. Usisubiri kupongezwa, kuwa wakwanza kujipongeza wewe binafsi.
2
2
16
@ImStanleee
Master Mind
24 days
Never eveeeerrrrrrrrrrr underestimate the small step you hit on what your working or learning on. Only 15 minutes in every day is enough for you to change your habit.
0
1
2
@ImStanleee
Master Mind
24 days
Moja ya kitabu kizuri kabisa kinachoitwa POWER OF CONSISTENCY. Kinaeleza uwezo au nguvu ya kuwa na muendelezo juu ya jambo unalo lifanya. Inaonesha ni kiasi gani unaweza fanya mambo makubwa pindi tu utakapo kuwa na muendelezo ambao unaambatana na NIDHAMU, UVUMILIVU NA KUNITOA.
0
2
4