Wakanda_republi Profile Banner
samwel Rashid Profile
samwel Rashid

@Wakanda_republi

Followers
2K
Following
4K
Media
487
Statuses
9K

| Holding a Football coaching license | Radio & Tv sports analyst at EASTAFRICA RADIO & TV| Certified information technology technician #Iringa's finest

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Wakanda_republi
samwel Rashid
5 hours
PANTEV jana kaanza na FALSE 9 huku jukumu hilo wakipewa wachezaji ambao combined msimu huu wana bao moja tu๐Ÿ’”. Kama alitaka kucheza vile i believe MORICE angecheza kwa NEO then AHOUA acheze kwenye line ya juu bcoz he has box movement that are sometimes beneficial to the team.
4
0
15
@Wakanda_republi
samwel Rashid
19 hours
โ€œWe need our country, We need fight for our freedomโ€ ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ who can relate? ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
1
0
14
@Wakanda_republi
samwel Rashid
1 day
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
@HamisiMsagama
Hamisi Msagama
1 day
I thought we are going to critically analyze the CNN report, but who am i? ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ I expected kauli kama โ€œ Mim na nyie waandishi wahabari nipo tayari kwenda kwenye eneo wanalosema miili imezikwa tukajionee na kureport kuwa sio sahihiโ€ฆโ€
0
0
4
@Wakanda_republi
samwel Rashid
1 day
Bwana Yesu asifiwe Sheikh!!
@ndembo255
Eng. Ndembo Jafari
1 day
Kete ya Udini ilianza kuwapushed na Hao Wanaharakati wenu, hao ndio walikuja hapa hadi kukashifu viongozi wa dini A hawana Elimu compared to Viongozi wa dini B, leo ile Kete imefika โ€˜Kingโ€™ waaharakati Uchwara haohao wanaanzisha Propaganda za kidwanzi, Mnashare Video Mchungaji
2
0
11
@Wakanda_republi
samwel Rashid
1 day
Larry: We did not report anything we can not prove!!! via SABC NEWS
0
2
18
@Wakanda_republi
samwel Rashid
1 day
Yule ni Mtanzania? Normally Tanzanians arent built like that. ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ Alooh hela tunatafuta kwa shida sana ili zitumike kiwepesi mno๐Ÿ˜ƒ
0
0
24
@Wakanda_republi
samwel Rashid
2 days
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
@Bimzuri98
Bi mzuriโ™ฅ๏ธ
3 days
Kuna hii series ya manipulated ๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
0
0
9
@Wakanda_republi
samwel Rashid
3 days
Tropical๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅโค๏ธ By Azam๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ
1
0
10
@nulphin
Dr Calipso
3 days
Hiyo satelite mnayotuangalia nayo ndo satellite gani tena? ๐Ÿ˜‚
245
585
4K
@Wakanda_republi
samwel Rashid
4 days
Kuna mjinga mmoja nimemuona kwenye post nyingi sana leo. Yule sasa ndio anafaa kuwa mfano wa โ€œMTU MJINGA KWENYE CONFIDENCE โ€œ
1
1
30
@Wakanda_republi
samwel Rashid
6 days
Jirani tunampenda sana lakini ndio afungwe 8 jamani๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
1
0
11
@Wakanda_republi
samwel Rashid
6 days
Kama baba anayo hela si anasort out tu mambo ya mtoto na wajukuu zake๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
@iamthatfemale
Hika Lyimo
7 days
Ila vijana wengi wa siku hizi ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ Yani familia yake, ila ada, chakula, nyumba analipa baba mkwe? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ The kind of men we have now, ๐Ÿคฆ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ Is a growing pandemic and we arenโ€™t ready for that discussion.
0
0
9
@Wakanda_republi
samwel Rashid
6 days
Kuna kitufe kinaitwa block, unaweza kukitumia ukawa huoni post zangu kabisa. Itakusaidia sana!
@Maine38746516
Maine
6 days
@Wakanda_republi Mwenetu ongeq kuhusu mpira mambo mingine ni heri you remain silence usiwe unajifanya unajua kila kitu
1
1
9
@Wakanda_republi
samwel Rashid
7 days
Mh. Wanu kumbe ni mtoto wa mh. Rais๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
1
0
11
@Wakanda_republi
samwel Rashid
7 days
Kumbe yale mabomu ya MMAREKANI ni mabomu ya machozi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
2
2
25
@Wakanda_republi
samwel Rashid
7 days
Kheee!! Mbona vinafanana.
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
7 days
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya Bangladesh imepata Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina na hatia ya uhalifu dhidi ya binadamu kutokana na ukandamizaji wa Serikali yake dhidi ya Maandamano yaliyoongozwa na Wanafunzi mwaka jana na imemuhukumu adhabu ya Kifo. Mwanasiasa huyo
4
1
14
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
7 days
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya Bangladesh imepata Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina na hatia ya uhalifu dhidi ya binadamu kutokana na ukandamizaji wa Serikali yake dhidi ya Maandamano yaliyoongozwa na Wanafunzi mwaka jana na imemuhukumu adhabu ya Kifo. Mwanasiasa huyo
61
58
514
@Wakanda_republi
samwel Rashid
7 days
It is seven okolokooooo
0
0
8
@Wakanda_republi
samwel Rashid
7 days
Kabla Mjomba hajawa Mama Nenda kasikilize ile nyimbo ya Mpoto โ€œNIKIPATA NAULIโ€
1
0
17
@Wakanda_republi
samwel Rashid
7 days
Ukristo umekamilika โ€œWakristoโ€ ndio wana mapungufu. Uislamu umekamilika โ€œWaislamuโ€ ndio wana mapungufu. Tujitahidi kuvunja hii mijadala ya dini ndugu zangu, ila iwapo umeshindwa kabisa kujizuia. Basi usijadili dini ila jadili hao waumini wake.
15
35
245