mwananchidr Profile Banner
mwananchidr Profile
mwananchidr

@mwananchidr

Followers
1K
Following
530
Media
282
Statuses
1K

#UtunaUzalendokwanza ||#ChademaChamaHuruTanzania✌️ #Tudumishe Amani, Upendo na Mshikamano kwenye nchi yetu || Katiba Mpyani Uhuru kwa Tanzania Yetu

Dar es Salaam, Tanzania,Ubungo
Joined September 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ClubMagufuli
CLUB Magufuli
4 minutes
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kapata hasara kubwa baada ya mabasi yake kuchomwa moto‼️ #MO29 #TunatokaOktoba29
0
1
1
@mwananchidr
mwananchidr
2 minutes
MAMBO NI FIRE FIRE
@ClubMagufuli
CLUB Magufuli
4 minutes
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kapata hasara kubwa baada ya mabasi yake kuchomwa moto‼️ #MO29 #TunatokaOktoba29
0
0
1
@mwananchidr
mwananchidr
1 hour
MABANGO YANASHUSHWA
0
0
0
@mwananchidr
mwananchidr
19 hours
WIZI WA KURA Umeshaanza Zanzibar — ACT Wazalendo waliambiwa hawawezi kulinda kura. #MO29 👊🏽📷#TunatokaOktoba29 @ClubMagufuli @mangekimambi @lifeofmshaba @C_NyaKundiH
0
0
1
@mwananchidr
mwananchidr
20 hours
WATU WANATEKWA RAIS SAMIA UPO KIMPYA
@KenyanSays
The Kenyan Vigilante
21 hours
" Watoto wanatekwa"- Frustrated Tanzanian citizens!
0
0
2
@mwananchidr
mwananchidr
20 hours
0
0
3
@mwananchidr
mwananchidr
23 hours
Kumbe kesho mandamano yako pale pele , hii apa ratiba kamili @Sativa255 @ClubMagufuli @MariaSTsehai @mangekimambi @lifeofmshaba
0
0
2
@mwananchidr
mwananchidr
23 hours
tunazo baraka zote za Baba wa Taifa tunasonga mbele , ushindi uko palepale hatuwezi kumuangusha Nyerere @ClubMagufuli @MariaSTsehai @mangekimambi @TanzYetu
0
4
8
@mwananchidr
mwananchidr
1 day
Huu ndio ukweli wa Taifa la Tanzania, hakuna aliye salama hata mmoja tusidanganyane kama CCM wapo salama . Kama wanajeshi wanatekwa na kukamatwa uwe wewe kijani. @ClubMagufuli @MariaSTsehai @HildaNewton21 @C_NyaKundiH
0
1
8
@mwananchidr
mwananchidr
2 days
KURA YANGU NAISHINDANISHA NA KURA YA NANI ?
@EJ_Mwita
Pope Mwita I
3 days
😂😂😂😂😂
0
4
7
@EJ_Mwita
Pope Mwita I
3 days
😂😂😂😂😂
33
275
1K
@mwananchidr
mwananchidr
2 days
UVCCM waunga mkono mandamano ya 29 octoba , hawa vijana wamechelewe kujua kuwa watekaji sio watu wazuri lakini hata hivyo @jgwajima alisema msiba ukiwa kwa jirani haukuumi lakini siku ukiwa kwako hata kusaini kwenye daftari hutaweza @ClubMagufuli @MariaSTsehai @C_NyaKundiH
0
0
1
@mwananchidr
mwananchidr
2 days
Ushahidi huu hapa sasa , Mafwele mwaka huu atoboi #Tanzania hakuna siri tena @mangekimambi @HildaNewton21 @ClubMagufuli @MariaSTsehai
0
1
3
@mwananchidr
mwananchidr
3 days
Chama cha watekaji Tanzania ni chama gani ? @jgwajima maana nachanganikiwa @ClubMagufuli @lifeofmshaba @mangekimambi @HildaNewton21 @TanzYetu
0
1
5
@mwananchidr
mwananchidr
3 days
Maneno ya @jgwajima hayawezi kuanguka chini lazima yatimie , mnakumbuka huyu Mwamba kila anachosema lazima kitokee @C_NyaKundiH @ClubMagufuli @lifeofmshaba @MariaSTsehai @mangekimambi
1
14
56
@mwananchidr
mwananchidr
3 days
GWAJI BOY AIOMBA SERIKALI KUWASIKILIZA WANANCHI KWA HALI ILIYOPO NCHINI @jgwajima @Sativa255 @MariaSTsehai @lifeofmshaba , wasipo sikiliza wananchi ipo siku wataomba tuwasikilize lakini hawatapata.
3
81
206
@mwananchidr
mwananchidr
3 days
Msiba wa familia ya polepole ipo siku utapata familia ya watekaji , bado hampo salama watekaji @ClubMagufuli @MariaSTsehai @mangekimambi @HildaNewton21
0
7
15
@mwananchidr
mwananchidr
3 days
UTEKAJI TANZANIA LAZIMA UISHE KWA SAUTI YA ASKOFU GWAJIMA @ClubMagufuli @MariaSTsehai @HildaNewton21 , AKIONGEA LEO NA WANANCHI AMEWEKA MSIMAMO WAKE
0
5
19
@mwananchidr
mwananchidr
4 days
EPUKA MATAPELI KILA KITU KIPO WAZI
@ThatBoyKhalifax
khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹
5 days
read what’s written on the fucking t-shirt 🤣
0
0
1
@ThatBoyKhalifax
khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹
5 days
read what’s written on the fucking t-shirt 🤣
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 days
Uzuri wa Khalifa huwa haoni hatari kukuuliza maswali magumu akiona unaleta janja janja. Throwback alipousoma mchezo wa Nassari mapema kabisa kabla hajaunga mkono juhudi.
18
22
272