mtuiritha_9 Profile Banner
π‘Ίπ’Šπ’‚π‘¬π’”π’”π’†π’π’•π’Šπ’‚π’βœ¨ Profile
π‘Ίπ’Šπ’‚π‘¬π’”π’”π’†π’π’•π’Šπ’‚π’βœ¨

@mtuiritha_9

Followers
339
Following
10K
Media
110
Statuses
974

✨ Fragrance | Fashion | Beauty ✨ 🧴 Perfumes β€’ πŸ‘œ Handbags β€’ πŸ‘— Dresses β€’ πŸ§–β€β™€οΈ Skincare Face Masks β€’ πŸ’¦ Body Splash & moreπŸ’– πŸ“ Quality assuredπŸ’―

Dodoma, Tanzania
Joined October 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@mtuiritha_9
π‘Ίπ’Šπ’‚π‘¬π’”π’”π’†π’π’•π’Šπ’‚π’βœ¨
4 days
Mikoba mizuri na migumuπŸ€— Quality πŸ’―πŸ‘ŒπŸΎ Bei: Tsh 20k tu! πŸ“ž 0657481735
0
2
2
@mtuiritha_9
π‘Ίπ’Šπ’‚π‘¬π’”π’”π’†π’π’•π’Šπ’‚π’βœ¨
3 hours
Hata hivyo, chanzo cha kweli cha anguko la mwanaume mara nyingi ni udhaifu wake mwenyeweβ€”kukosa nidhamu, hekima, na uhusiano wa karibu na Mungu.
0
0
1
@mtuiritha_9
π‘Ίπ’Šπ’‚π‘¬π’”π’”π’†π’π’•π’Šπ’‚π’βœ¨
3 hours
Mwanamke asiye na hofu ya Mungu, mpenda mali, mchochezi na asiye na utulivu, mwenye udanganyifu au asiyejijua na kuthamini utu wake; kupitia tabia hizo, anaweza kumvuta mwanaume kwenye tamaa, maamuzi mabaya, migogoro, au upotevu wa maono.
1
0
1
@Sativa255
SATIVA17
10 hours
Kwanza wanangu Goma letu la #TEREMSHABUNDUKI pale youtube limefikisha Viewers 1M. HAWA WATU 1M TUKIINGIA BARABARANI NCHI NZIMA 29.10 TUNACHUKUA NCHI ASUBUHI NA INAWEZEKANA. Ndugu zangu watanzania, Roma amekuwa akitusemea changamoto zetu kwenye muziki wake kwa muda mrefu sana,
30
245
1K
@MaxTz255_
Myunani
6 hours
Ulikuwa na umri gani ulipogundua kwamba unywaji wa chai pamoja na vyakula vyenye madini ya chuma (kama dagaa, nyama nyekundu, maharage, n.k.) huzuia madini hayo kufyonzwa ipasavyo na kuingia mwilini?
1
2
11
@mtuiritha_9
π‘Ίπ’Šπ’‚π‘¬π’”π’”π’†π’π’•π’Šπ’‚π’βœ¨
7 hours
Hii inaitwa gusa achia twende kanisaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘Œ
3
1
1
@mtuiritha_9
π‘Ίπ’Šπ’‚π‘¬π’”π’”π’†π’π’•π’Šπ’‚π’βœ¨
7 hours
πŸ˜‚πŸ˜‚
@kalage_jr
John kalage πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
8 hours
Boda boda; Hii serikali yetu hii Mimi; Ukihitaji perfume nicheki kaka
0
0
1
@kalage_jr
John kalage πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
8 hours
Boda boda; Hii serikali yetu hii Mimi; Ukihitaji perfume nicheki kaka
8
10
378
@mtuiritha_9
π‘Ίπ’Šπ’‚π‘¬π’”π’”π’†π’π’•π’Šπ’‚π’βœ¨
12 hours
Na huo ndio mda upendo wa kweli hupimwa.
@TweveDevota
DevotaTweve
1 day
Ukiona umeanza kuona kasoro za mwenza wako ujue upendo umeisha.
0
0
3
@mtuiritha_9
π‘Ίπ’Šπ’‚π‘¬π’”π’”π’†π’π’•π’Šπ’‚π’βœ¨
12 hours
πŸ˜‚πŸ˜‚ oyaa ety odds za bayernπŸ™ŒπŸ™Œ
0
1
2
@MaxTz255_
Myunani
13 hours
Ngapi apa Umepata Muda wa Kuzipa sikio?
3
3
17
@MaxTz255_
Myunani
13 hours
Bando Mnanunua Kwa Myunani?
2
9
16
@mtuiritha_9
π‘Ίπ’Šπ’‚π‘¬π’”π’”π’†π’π’•π’Šπ’‚π’βœ¨
13 hours
DOMINIKA YA 30 YA MWAKA C SOMO 1 : YbS 35:12-14,16-19 SOMO 2 : 2Tim 4:6-8,16-18 INJILI : Lk 18:9-14 "Epuka dhambi ya kujiona wewe ni bora kuliko wengine. Tenda haki usimuone maskini hafai kwa sabb ww una mali kumbuka "Bwana ndiye mhukumu wala hajali cheo cha mtu."" BLESSED SUNDAY

18 hours
Zaburi 121
1
0
2
@Brother_0101
BROTHER
1 day
89
26
315
@mtuiritha_9
π‘Ίπ’Šπ’‚π‘¬π’”π’”π’†π’π’•π’Šπ’‚π’βœ¨
18 hours
πŸ“Œ
@EliraNyamu
Munyu🌊
1 day
Kama uko na mahusiano serious na mtoto wa mtu, if it happens kuna msiba, nenda, the tea is there is πŸ’―πŸ”₯and very eye opening πŸ˜‚ Lazima tu utajua the type of people unaenda kufungamana nao.

42
293
@mtuiritha_9
π‘Ίπ’Šπ’‚π‘¬π’”π’”π’†π’π’•π’Šπ’‚π’βœ¨
1 day
Mkisema tu mdate inabaki kuwa historiaπŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
0
0
0
@mtuiritha_9
π‘Ίπ’Šπ’‚π‘¬π’”π’”π’†π’π’•π’Šπ’‚π’βœ¨
1 day
Siku tenaπŸ₯²πŸ˜…
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 day
Siku moja imebaki kwenda kuwafurahisha tena Wanasimba. #NguvuMoja
0
0
0