Tikaera3 Profile Banner
Bandie Profile
Bandie

@Tikaera3

Followers
206
Following
38K
Media
21
Statuses
2K

Mtangulize kwanza MUNGU mbele kwa kila jambo unalotaka kulifanya 🤲.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Tikaera3
Bandie
1 year
RT @frediejustine: … leo baada ya ibada nimepata wasaa wa kupitia kitabu hiki page kwa page kwa utulivu. HAKUNA KABISA sio tu picha ya Rais….
0
33
0
@Tikaera3
Bandie
2 years
Huyu Mazembe kanimalizia bado langu tu.
1
0
0
@Tikaera3
Bandie
3 years
RT @John_Pambalu: Unafikiri ni nani anatumia kipaji na nguvu yake kwa JAMII. Retweet kwa Ney wa mitego, au like kwa Diamond Platinum. http….
0
2K
0
@Tikaera3
Bandie
3 years
RT @adahealth: "Zaidi ya watu milioni 12 wanatumia app yetu kukagua dalili zao za magonjwa kwa usalama wakiwa nyumbani. @DrMabula ni mmoja….
0
89
0
@Tikaera3
Bandie
4 years
Happy birthday to me.
Tweet media one
0
0
0
@Tikaera3
Bandie
4 years
Afrika bara lenye viongozi waajabu sana wenye uchu wa madaraka sana,ni bara ambalo kiongozi anaweza kuingia madarakani akiwa masikini na ndani ya mwaka mmoja wa uongozi wake ameshakuwa tajiri na anatamba mtaani.
Tweet media one
0
0
0
@Tikaera3
Bandie
4 years
Madaktari na wataalamu wa Afya naomba majibu. 1: Hivi kujifukiza ni Kinga au Tiba?. 2: Je,wanaopaswa kujifukiza ni wale walioathirika na corona au wasioathirika?
Tweet media one
0
0
1
@Tikaera3
Bandie
4 years
Tunakumbushana tu
Tweet media one
0
0
1
@Tikaera3
Bandie
4 years
Hivi kale kamdudu a.k.a changamoto ya kupumua huwezi kukapata ukitoka kwenye haka kajumba?
0
0
1
@Tikaera3
Bandie
5 years
Wanajifanya wanapenda Amani lakini hawataki kutenda haki wala kuisikia neno haki.
0
0
1
@Tikaera3
Bandie
5 years
Sambaza upendo
Tweet media one
0
0
0
@Tikaera3
Bandie
5 years
Kuna watu kwa tabia zao mbaya ni kama maradhi!!.Hautamani kabisa kuwepo kwao karibu yako milele.
0
0
0
@Tikaera3
Bandie
5 years
Kheri ya mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi,maana sio kwa chuki hizi.
Tweet media one
0
0
0
@Tikaera3
Bandie
5 years
Tatizo lilikuwa ni mkuu wa mkoa au lah?.Kumekuwa na utulivu wa hali juu sana hadi wale wanasiasa magoigoi wa ccm roho zinawauma sana,hongera sana IGP Sirro na kwa jeshi zima la polisi uweredi wenu.
Tweet media one
0
0
0
@Tikaera3
Bandie
5 years
Kumbe jamaa ni kawaida yake kukata mauno mbele za watu.
0
0
0
@Tikaera3
Bandie
5 years
Mambo mengi muda mchache ila usihofu endeleza maombi unaweza kuupata ubunge kutokana na mzee jinsi hatakavyoamka.
Tweet media one
0
0
0
@Tikaera3
Bandie
5 years
Tusijisahau sana tinapopata vyeo serikalini,nyodo hazifai hatakama unamaubavu sana ila ipo siku utasuka tu.
0
0
0
@Tikaera3
Bandie
5 years
Hoja upingwa kwa kutumia hoja bora zaidi kuliko kuleta vurugu au kupigana marungu.
0
0
2
@Tikaera3
Bandie
5 years
Wanawake mungu anawaona.
Tweet media one
0
0
0
@Tikaera3
Bandie
5 years
Ndoto yenye mafanikio sio ile unayoiota ndotoni Bali ndoto yenye mafanikio ni ile inayokunyima usingizi.
0
0
1