mlimaSayuni Profile Banner
Mlima Sayuni Profile
Mlima Sayuni

@mlimaSayuni

Followers
1K
Following
17K
Media
16K
Statuses
24K

Pwani, Tanzania
Joined October 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@DuniaSlaveDunia
Dunia🌍
21 hours
Siku wakipanga tarehe za hizi Tuzo zao Tutawafurahisha na hakuna Msanii wa Bongo kupiga show popote Nchini Wakipanga show tunaruka nao
10
34
217
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
6 hours
@deric8215 @mangekimambi Yes hii ni hadi kieleweke - every day
0
1
6
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
2 days
Tunasonga Mbele! Kituo #D25 kuelekea #J1 💪🏽🇹🇿 Tunakuja kwenu tukiwa kwa moyo wa shukrani na wenye fadhila nyingi kushukuru kwa namna ambavyo kwa pamoja tumeweza kufanikisha hatua muhimu katika maandamano ya #D9. Sisi ni washindi na wao WAMESHINDWA! Tumefanikiwa: 👉🏽Kuwaunganisha
81
347
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 days
ALERT: Familia ya Jenista Mhagama imetaka kuleta madaktari kutoka nje ya nchi ili kuja kufanya uchunguzi wa kina ili kujia chanzo cha kifo. DC wa Dodoma amegoma marehemu kufanyiwa uchunguzi. Analazimishwa mwili usafirishwe kinyume cha matakwa ya familia. Kuna nani?
29
70
556
@MarksevenTz
Markseven
3 days
@Advocate_Jebra Huyu katibua Mzinga wa Nyuki halafu ni KIWETE, Sasa wanangu kama KAWAIDA YETU. ni mwendo wa bakora za kimyaa kimyaa. HAKIKISHA umewa-UNFOLLOW na UNSUBSCRIBE Wapiga Mikelele woteee na Wakitoa Minyimbo yao HAKUNA KUITAZAMA Wala KUJAA KWENYE SHOWs zao Tuanze na ile ya KILIFII. KE
0
2
2
@Sativa255
SATIVA
4 days
HUU UNYAMA WA SAMIA KWA TUNDU LISSU HAUVUMILIKI. Tundu A. M. Lissu alifikishwa mahakamani mara ya mwisho tarehe 12 Novemba, 2025. Tangu siku hiyo, mahakama imeshindwa kutoa ratiba mpya ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi yake. Kuanzia tarehe 15 Desemba 2025, likizo ya mahakama
23
360
1K
@lifeofmshaba
Think Different
4 days
Jana Seneta wa Marekani anayehusika na Mambo ya Nje alisema kuna mashambulizi ya viongozi wa kikristo kwa kuwalenga na akasema sio bahati mbaya na serikali ya Samia inaonekana kufanya haya mambo, Leo naona kama hivyo kwa hawa watawala wenye nuksi wamejiumbua wenyewe,
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
4 days
‼️ BREAKING NEWS ‼️‼️ #Tanzania Godfrey Mwambe aliyewahi kuwa Waziri alitekwa na kushikiliwa kwa siri Kigamboni huku akipigwa sana na @tanpol Kumbukeni huyu aliwahi kuwa Waziri wa Uwekezaji na mkuu wa Tanzania Investment Centre Kisa ni kuviziana wenyewe kwa wenyewe na Mwambe
6
43
253
@Twaha_Mwaipaya
Twaha Mwaipaya
3 days
Sambaza ujumbe huu.
5
206
718
@chimbuko_
𝐂𝐇𝐈𝐌𝐁𝐔𝐊𝐎
3 days
@SenateForeign Please impose sanctions on former president @jmkikwete and his cartel. They have ruined this country very badly. They kill anyone who goes against this cartel, which they call the "CCM Mtandao"; they are a disease of Tanzania.
1
4
31
@Sativa2555
SATIVA17 X ( TWEETS)
5 days
I heard Zuchu is In kilifi to perform to the Proud Community of Elites Educated Kenyan People in east Africa All what we know Kenyans don’t need to be told what to do ,they already know Kenyans Please do what is Supposed to be done and you already know what it is Repost 780
43
400
1K
@AllySheha23029
Ally Sheha
4 days
@MariaSTsehai @tanpol Hii mbinu kama ndio mbadala wao Kila panapo tangazwa mtoko ni kufeli mazima mana tutaliingiza Taifa kwenye hasara kubwa ya kiuchumi hali itakayopelekea hata wao kuathirika in tam of salary. X afya haya yakiendelea,Serikali isikilize Wananchi wake.
1
5
24
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
5 days
📍Arusha #Tanzania The tireless spirit of Tanganyika! It was late by the time many figured out how to meet up. But it has been very informative for tomorrow 🔥✊🏽 Yaani hii ndo maana ya hatupoi! Salute the great generation - Gen Z Hakuna kukata tamaa! Aluta Continua! #D9+
35
273
1K
@Mochmoo393
knock-knock
5 days
@mangekimambi @StateDept @realDonaldTrump Watanzania mtakao kuja kuona hii video ya dada, baada ya kuona kesho jiandae popote ulipo hasa dar, Arusha, mbeya, mwanza, dodoma, kesho tunaanza upyaaaaaaaa, kesho tunarudi road xmax inatukuta road, no turning back🔥🔥📍
10
4
107
@mpambazi
C H A M P
5 days
Kesho tunaanza upyaaaaaaaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿💪🏿
14
71
680
@HildaNewton21
Hilda Newton
5 days
Chuga ujumbe utafika tu na maandamano haya hayana kikomo, Je mtafunga biashara za watu siku zote au mtawapa wananchi wanachokitaka? #D9 #SamiaMustGo
23
228
1K
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
5 days
Vyombo vingi vya habari zikiwemo binafsi sio tu zinakuwa censored na dola, zimekuwa enablers wa Udictator. They don’t fear the terror, they support it.
7
36
308
@HildaNewton21
Hilda Newton
5 days
Maandamano yasiyo na kikomo yameanza rasmi leo mpaka pale madai yetu yote ya msingi yatakapofanyiwa kazi ndo utakuwa ukomo wa Maandamano haya so kuanzia sasa itakuwa mwendo mpera mpera hakuna kurudi nyuma.#D9 #SamiaMustGo
67
352
2K
@TitoMagoti
Tito Ally Magoti, ESQ, PG.
6 days
Anga limekamatwa. Karao jichanganye kuumiza watu uungane na Samia ICC.
8
211
2K
@Musantipas
Mulo Coz
5 days
@IkindaKani11826 @polisi @HappyKate437868 @HildaNewton21 @mambosholizzy @KantelinyoM @MariaSTsehai @RealBad255 @Twaha_Mwaipaya @maleso_f @JUhembe28213 @HecheJohn Ratiba Kesho Tunaelekea Mahakamani Itudhitishie. Polisi,na wanajeshi bandia hakikisheni nchi inatawaliwa bila Katiba.Demokrasia na Uhuru wa Sheria.Waarifu wanazuia Uhuru.Leo ni Maandalizi tu ya Mabango na Mikakati ya Haki na Amani Wakifunga barabara Leo Kesho Watafungua
0
1
10
@IkindaKani11826
CHADEMA NI IMANI❤️(Nyegere Wa Afrika/Honey badger)
5 days
Mbeya rungwe Kijiji Cha ndaga kata ya ndanto. Polisi wananyang'anya mabango ya waandamanaji. Sisi tulisema fujo huwa wanaanzisha wao, vijana waki react msianze kulalamika. @polisi.tanzania acheni huu upuuzi. Kila siku mnalalamika Mishahara haitoshi, mnaleta uchawa.
16
154
665