Suphian Juma Nkuwi
@SuphianJuma
Followers
157K
Following
58K
Media
11K
Statuses
95K
Mkurugenzi Mtendaji @TAA_Tanzania
Singida, Tanzania
Joined July 2015
SIJATEULIWA‼️. Nilitia nia kugombea ubunge jimbo la Ikungi Magharibi CCM 2025. Nawapongeza wote walioteuliwa. Nitaungana na yeyote atakayeteuliwa kushindana na vyama Vingine. Watanzania wote naomba Octoba tutiki Rais Dkt @SuluhuSamia. Suphian Juma Nkuwi,.Kada-CCM.Jul 29, 2025
236
12
232
ACT WAZALENDO SIO TAWI LA CCM. Naijua @ACTwazalendo na hulka halisi za vyama vyote vya Upinzani. Wapuuzeni Polepole, @mangekimambi @MariaSTsehai na vigenge vyao vyenye chuki, wivu na gubu spesheli na Rais Dkt @SuluhuSamia wenye lengo kuu la kumchafua Rais Samia na CCM yetu.
1
2
5
Pole pole:. Alimdharau mno Rais @SuluhuSamia wakati Makamu, ANAJISHUKU. Kinachomsumbua zaidi yeye na kikundi chake; walipanga Rais wao 2025, waligawana vyeo, NDOTO IMEKUFA. Anachohitaji ni Mama asigombee waweke Rais wao, na sio suala la Katiba wala Desturi ya CCM. AFUTWE CCM‼️
1
0

21
2
13
“Vazi bora la kukufaa kwenye maisha linafumwa kwa nyuzi tatu; ibada, bidii na shukrani.” Rais Dkt @SuluhuSamia
5
0
19
Na first ladies wa TAA; Asha na Happy. @TAA_Tanzania tunatunza mazingira kwa kuratibu kampeni ya kupanda miti mkoa mzima wa Singida iitwayo SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA.
2
1
4
RT @MarekaMalili: Uongozi kwa Mwanamke hauhitaji neema maalum, unahitaji nafasi, usawa na imani kutoka kwa jamii. Wasibaki kuwa watazamaji….
0
24
0