
Ema_fundi_gairo🇹🇿
@emanuel64027
Followers
1K
Following
13K
Media
1K
Statuses
18K
fundi nguo za aina zote ni C.E.O wa @ema_fundi_gairo pia shabiki wa @YoungAfricansSC na @realmadrid napatikana GAIRO 📞+255744289072 Wattsap+255698830288
gairo, morogoro
Joined April 2023
Mathayo 6:7. [7]Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. 🙏🙏🙏🙏.
5
7
12
Kaka fungua kanisa m niweke niwe katibu wa hilo kanisa,.Umeandika vyema sana hii 💯💯💯✅✅✅.
@emanuel64027 @Roma_Mkatoliki Kwenye mwanzo 1:27 kuna binadamu walioumbwa kwa neno na kwa mfano wa Mungu tena hawa wakspewa jukumu la kuzaa na kuijaza Dunia. Kina Adamu wao walichoambiwa ni kutokula tunda la mti wa katikati tu huko kuzaa ilikuwa kama adhabu kwao baada ya kula tunda.
0
0
0
Tajiri hiyo mechi ndo ilikuwa leo au tungoje nyingine 🥹🥹🥹
0
0
0
Watu wa mikeka
All square after a hard fought first leg. The Brazilians now set their sights on sealing it in the return leg. 🔥. Orlando Pirates (87’ Sebelebele) 1️⃣➖1️⃣ Mamelodi Sundowns (35’ Mokoena). #Sundowns #MTN8 #AreyengMasandawana
0
0
2
RT @MbarakaMbegu1: Wanaotaka Jersey za SIMBA na YANGA msimu huu bila kupanga Foleni popote, Unapata Jersey yako ukiwa umekaa ndani nicheki….
0
26
0
Na kombe la kwanza tumebeba kaka 🤣🤣🤣
@Sativa255 Hii timu haibebi kombe lolote msimu huu,timu inayokiuka sheria za FIFA wanajihusisha na masuala ya kisiasa.
1
0
2
Kwahiyo wale wote walochanga hujaona kama wamekosea ila ni GSM tu 🤣. Kweli kichaa anachekesha kama siyo ndugu yako.
TUNA KAMPEIN MAALUMU YA KUACHANA NA HUDUMA ZA GSM KWANZA . Tuna campaign ya kuzira chochote kinachomhusu GSM. Iwe ni maduka yake ya nguo, maji(haya wanaweka machemical, katika wanaotumia maji haya wanajua kuwa kuna watu wamepata Kansa ya Koo kisa maji yake), furniture, hata
2
0
2