Mini🧤
@_Minihaji
Followers
5K
Following
87K
Media
629
Statuses
106K
Work + Socialize + Rest
Dodoma, Tanzania
Joined December 2024
Future ni moja kila Mtu ana muda wake kama future ni kesho basi kuna ambao muda wao ni saa moja wengine saa mbili wengine saa nne na kadhalika. Haijalishi mmesoma pamoja mko rika moja, muda wetu wa future haufanani usijilinganishe kwa kigezo cha umri kukua au kusoma pamoja.😦
31
93
164
Huyu nae ett amenunua kiwanja anataka nikijenge then tukaishi wote huu ni utapeli mtupu.🤣💔
0
0
0
Maisha hayakuwa fair kwako. ulikosa nafasi, ukakosa support wakakuambia "subiri" wakati wengine wanapewa "chukua". Lakini leo usitumie tena hiyo kama kisingizio.. Itumie kama hasira ya kusonga mbele.
1
8
10
In 2026, will you still be doing work in the most manual way possible? Research suggests that employees spend up to 100 hours a month on work that shouldn’t require humans. Good news: the agentic era is already here. Enterprise teams are automating repetitive, tedious workflows
1
13
20
Wengine walipata mapema kwa sababu walisaidiwa wengine walichelewa kwa sababu walibeba mizigo ya familia. Umasikini, hofu na majukumu yasiyokuwa yao... usijilaumu kwa kuchelewa ulikuwa unapambana kuishi sio kushindana.
0
15
21
Usikubali umri wako ukukatishe tamaa kuna waliokuwa vijana wakashindwa na kuna waliokuwa watu wazima wakafanikiwa. Maisha haya heshimu tarehe ya kuzaliwa yana heshimu maamuzi na uthubutu.
2
15
30
Lowest price for USA-made 100% organic cotton shorts @ATGUSAMade I hope these inspire someone out there to build closer to home, wherever that is.
25
103
872
Hakikisha kama unaweza kumsaidia ndugu yako wa damu fanya uwezavyo msaidie tu haijalishi ni mara ngapi wewe fanya hata bila kukumbuka ni mara ngapi ulimsaidia Usiache asaidiwe na watu wengine kuna nguvu ya upendo inapungua.
4
15
23
Nimemwambia tukipiga picha usinipost!! amenipost sasa kimewaka nyumbani sijui naenda kusema nini om!
0
0
0
Hakuna zawadi nzuri utaipata kwingine kama UHAI na AFYA njema inayotoka kwa Mungu. Good morning God's People
19
31
75
Maji hayatoki ata unyonye bomba, bila aya manyunyu manyunyu ata ya kupikia hupati 😂
9
16
38
Kuna mtoto kafa hapa jìrani kaingia kwenye kisima leo ndo nimeamini kifo hakipo mbali 😭😭😭😭
14
17
122
Dawa ya mswaki mpya mtu ashaifinya katikati, ntapiga mtu ngumi nyumba hii😂🤦🏾♂️
4
6
43
Sasa Wazee mnalamika kuhusu maji na barabara zimekuwa mbovu sasa sisi tuwasaidie nini, vijana tunasema Amani ni bora kuliko maji na barabara 💔
8
19
133
kabla hauja sifia uzuri wa dem wako pita jioni mlimani city na mwenge😁
7
20
93
Wakizungumza Kwa Maneno Kuwa Huna Chochote, Waoneshe Kwa Vitendo Kuwa Unacho Cha Kukufanya Uishi Bila Kujali Maneno Yao ✍️ Good morning ladies and gentlemen
30
41
80
Mwanaume Anaoga Mara Tatu Kwa Siku Asubuhi Ananawa Uso, Mchana Ananawa Mikono na Usiku Ananawa Miguu...!
6
15
88