
PàChâ#1738 💫
@Tweener003
Followers
817
Following
5K
Media
47
Statuses
2K
Backup account BELIEVER | CONSISTENCY | SMILE ⚡️Say it Again Die hard fan Arsenal | Simba
Tanzania
Joined January 2025
Habari ndugu zangu naombeni mnifollow huku nawafollow back ,leo naingia online nakutana na hiki 😭😭 Rt iwafikie wengi mkali wade 🫡
29
41
52
Baba Yetu uliye mbinguni. Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu. Kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi. Lakini utuopoe maovuni, Amina🙏
6
17
24
😂😂😂kwani mwili wake Kuna sehemu mtaro wa tope umepita ama vipi 💔🙌😆
22
11
25
Huku Mbeya,Songwe na Vijiji Vyake Kumfanyia mtoto Sherehe Yoyote ya Pongezi ni Kumtafutia Kifo tu, Imagine hizi Mahafali za Kuhitimu Elimu ya Msingi Zimeondoka na Uhai Wa Watoto Wengi Mpaka Mda huu ni Huzuni.
9
18
26
Mwanaume mweupe akikosa kuajiriwa plan B zake ni saloon na cherehani basi!!😁
6
16
21
AINA ZA WASHAMBULIAJI(FOWARD's) KATIKA FOOTBALL. 1. CENTER FOWARD(CF) Huyu ndiye mshambuliaji mkuu wa timu ambaye lengo lake kubwa ni kufunga mabao na huwa anacheza katikati ya safu ya ushambuliaji, karibu na lango la wapinzani.Anaweza kuwa mrefu na mwenye nguvu (target man) au
14
52
72
Wakati ni sarafu pekee unayotumia bila kujua kiasi kilichobaki.📌
8
19
32
Huu mwenzi niliskia mboga Mboga Watakama Viongozi wote wahamasisaji naona Kazi Imeanza
4
17
26
Bora Ununue Gari Bovu liwe Linakusumbua Barabarani,Kuliko Kuoa Mwanamke akawa anakusumbua Ndani ...🙌🏿📌
17
41
90
Hofu ya maisha isikufanye ukampa Binadamu Nafasi ya mungu
6
6
19
Changamoto zipo kwa ajili ya kukufunza ni nani? Mtu sahihi kwenye maisha yako..!! Good Morning..🌅
16
22
37
Wasimbe wa X wanataka waonekane bora kuliko mtu aliye kwenye ndoa. Huu ni upuuzi. #nasimama na Conso.
#TajiriLaKihaya Wasimbe kitu ambacho hawafaham… Hawawezi Fanana na Mwanamke alie Olewa hata siku moja! Haijalisha ulikua muhuni kiasi gani… ila ukishaolewa tu… Sisi tutakupatia Heshima zako zote… Ndoa inaheshima yake bhana… #TunaSimamaNaCONSO
4
2
14
Mkono unaotoa ndio unaopokea @MrShitcoin_Tz umefanya jambo jema sana kugawana unachopata na watoto wanao ishi mazingira magumu Hii iwe endelevu kaka.
33
41
97
Hatuwezi Kumpangia Mungu cha Kufanya Lakini Tuna Imani na Yeye..🙏 Good morning +255🇹🇿
44
54
116
Acha kuwauliza watu njia ya kwenda mahali ambapo wao hawajawahi kufika.📌
25
59
74