waziri_mbeya98 Profile Banner
Waziri Wa Mbeya Profile
Waziri Wa Mbeya

@waziri_mbeya98

Followers
7K
Following
7K
Media
245
Statuses
12K

Maisha//Umri//Mafanikio @YoungAfricansSc #AwesomeHq .Buses Fan🚌

Joined March 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@waziri_mbeya98
Waziri Wa Mbeya
5 days
Good Morning Wasomi...😃🙌🏿
57
79
1K
@MissChelsea1221
Miss Chelsea1221
3 hours
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 👉Size 16-28 miaka 2 mpaka 14 👉Jezi ya mtoto 25,000/= https://t.co/AV51Xva6Jr Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
24
119
119
@thomas_yona_
Brave man
5 hours
Siku nyingine tena ya Kumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama Good morning Familia 🌤
17
25
49
@NifferSanch0
Niffer💚
3 hours
Hata nyie si mnaona😍 Quality 10/10 6 ni 30,000 0754618108 Delivery ipo
2
6
8
@ProfesaFootball
PROFESA FUTIBOLI
5 hours
Jamaa mmoja kipindi anafanya process za kutaka kuoa aliambiwa atoe mahari(dowry) milioni 7 na ng'ombe 15, akatoa na harusi ikafanyika. Watu wengi waliokuja harusini walimsifia sana kwamba mke wake ni mrembo sana, baada ya harusi jamaa ikabidi awabebe wazazi wa mke wake na
18
58
128
@Master_plan7
Masterplan🇹🇿
5 hours
Ukiwa Unaongea na Simu na Bi Mkubwa Kama Hajawahi Kukuita "Eeh Baba" Una Safari Ndefu ya Kufanikiwa Ongeza speed ya Kupambana.
15
34
64
@Cargo_1911
CARGO⭐🌍
5 hours
Je, unakabiliwa na changamoto hizi za kiafya? ●Nguvu za kiume kupungua ●Uume kulegea au kutosimama vizuri ●Mbegu chache au dhaifu ●Kushindwa kurudia tendo la ndoa ●Maumivu ya mgongo, kiuno au miguu ●Kisukari, Shinikizo la damu, Bawasiri Kama Jibu ni NDIYO Suluhisho liko
@Cargo_1911
CARGO⭐🌍
5 hours
GOOD MORNING, BROTHERS, and SISTERS🙏 🌄Amka Na Taarifa Hii Njema Kutoka Maasai Herbal Clinic 🌿. ■Tiba zetu asilia hukupa matokeo ya kudumu bila madhara. ■■Je, UNASUMBULIWA NA👇🏿 🟢 Uume dhaifu au mfupi 🟢 Kukosa hamu ya tendo 🟢 Kushindwa kudumu kitandani 🟢 Mbegu chache
28
49
99
@Man_sheka360
𝐌𝔸𝐍 _🅂🅷🄴🅺🄰😎
5 hours
Ukiona mtu anadharau hustle za mtu mwingine ujue huyo ni mvulana bado.Wanaume hatudharauliani✊️
21
46
64
@senior_ahoua
MVUVINYASA
5 hours
Ukiangalia ulimwengu wanasema nini juu yako na yetu utakua kila siku unawalaumu walimwengu. Muhimu tambua dunia ipo kwasababu yako na Yetu ukikosa leo kesho utapata tu mwanetu.....
10
19
24
@tonymaster01
TONY MASTER
5 hours
Tanzania ni kubwa Sanaa ila Kuna makabila yapo sehemu kubwa ya Tanzania yametapakaa kila kona mengine yapo eneo moja Pekee au machache. JE ni kabila lipi kila mkoa utalikuta ?
57
24
94
@arusha_icon
Arusha Icon
5 hours
Umekaa Zako Msibani Unalia...Mara Paah Unamuona Fundi Viatu Anapita Kavaa Air Jordani Zako!😂😂🌄
24
41
75
@humphreyPallan5
takadini_003🇯🇲🤕🍁
5 hours
BEAT MY WALLPAPER 📸
19
36
101
@BlacDaady
Black Dady
5 hours
"VODACOM NI ZAIDI YA MTANDAO" Kwa shilingi 158k tu utajipatia Pocket MiFi na unlimited internet mwezi mzima. Kubwa zaidi mwezi utakaofuata utalipia 70k ya kifurushi cha unlimited. FEATURES ➤High Speed Connectivity ➤Portable ➤Long Battery life WhatsApp or call: 0743303484
10
46
57
@mchachu_
Mchachu, PhD🐐
5 hours
Kuwa Mtu mwema, Rafiki mzuri, Ishi maisha unayotaka na Fuata ndoto zako. Hivi ndivyo yatupasa tuishi🤞🏿
21
46
87
@rasoulHK
RasoulHK🍁
5 hours
🌿 KARIBU MASAI HERBAL CLINIC – ASILI NDIO SULUHISHO LA KWELI! 🌿 → Karibu Masai Herbal Clinic, kituo kinachoaminika kwa tiba bora za asili zinazotibu mizizi ya tatizo, si dalili pekee!
27
42
45
@Bwoy_zackie
Chelsea Stan 🍁
5 hours
Mohammed Kudus or Semenyo?
16
21
31
@Njamasi__
𝐈́𝐦𝐦𝐚𝐧𝐮𝐞𝐥
5 hours
Ukitaka kupunguza marafiki feki we jifanye una matatizo utampunguza hadi huyo baby wako.. 🤞😂
25
37
70
@Wahovyo_Hq
OfisaHovyo
6 hours
Kufanya kitu kilichokua bora huo ndio ubora wenyewe na mtu akikunyima msaada elewa huo ndio msaada wenyewe, elewa kuna kutangazwa baada ya kusaidia, jiepushe na aibu ndogo ndogo.
19
29
51
@Tinolove15
Tino
5 hours
Kuna umri ukifika sio wote lazima wawe marafiki zako wengine salamu tu inatosha...✍️🤞
19
35
107
@zexon0021
ZEXON🛠️
5 hours
Magari ya njano hawawezielewa hii kitu😁
17
33
61
@KEYDEVU
KIDEVU
5 hours
mume au mke mzuri ni yule ambae sio wa ndoto zako!!✍️
13
46
78