@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 month
Nimepokea uamuzi wa Mahakama Kuu kuhusu kesi yangu ya Kikatiba, ya kupinga vifungu kadhaa vya sheria mpya ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2023. Mahakama imekubaliana na baadhi ya hoja zetu na kubatilisha vif vya 22(3) & 23(3)(c)(e) vya sheria hiyo.
Tweet media one
Tweet media two
184
345
2K

Replies

@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 month
Mahakama imeamua: Vif 22(3) & 23(3)(c)(e) vya Sheria ya Ulinzi wa taarifa haviko sawa, vinaweza kutumika vibaya. Vif hivyo havibainishi maana ya kukusanya taarifa isivyo halali kisheria, na mazingira yanayohitaji ridhaa, au kuhusu kuzuia malengo ya, kukusanya taarifa binafsi
5
5
94
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 month
Muktadha kuhusu chimbuko la kesi hii huu hapa:
@TheChanzo
The Chanzo
8 months
Wakili Tito Magoti afungua kesi kupinga vifungu Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi vinavyodaiwa kukiuka Katiba.
5
60
157
2
17
113
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 month
Nataka kumpongeza kaka yangu @Advocate_Jebra na rafiki yangu Wakili Maria Mushi kwa kazi kubwa iliyofanyika kuendesha kesi hii. Tutautafakari uamuzi huu wenye ushindi kiasi. Tumefurahi. Tutarejea. Aluta continua👊🏽
3
10
137
@inframe_tz
Francis ❖888❖
1 month
@TitoMagoti Ahsante Sana na Hongera kwa utumishi wako kaka
1
0
6
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 month
@inframe_tz Thanks mate
1
0
8
@amprincess9
TricyLove🦁
1 month
@TitoMagoti Kazi nzuri sana shemeji
1
0
10
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 month
@amprincess9 Asante shemeji
0
0
9
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 month
A dozen of colleagues, international human rights lawyers, showed up this evening to celebrate the ruling. Didn’t expect. Indebted 🫶🏽
Tweet media one
24
8
135
@Vicmgawe
Victor Mgawe
1 month
@TitoMagoti Msomi hongera sanaaa, Your commitment to public interests and constitutional rights has truly made a difference. This victory not only highlights your dedication and skill but also sets an inspiring precedent for future advocacy.
1
0
35
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 month
@Vicmgawe Thank you so much my brother. This is a shared pursuit, thanks for the support 👊🏽
0
0
21
@BenardNkwabi
normalben
1 month
1
0
3
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 month
@BenardNkwabi @AkalimaAlexand6 Oii Ben🫵🏽👊🏽
0
0
4
@Mungu_bab
Adv. FRANCES.
1 month
@TitoMagoti Mtani congratulations 🫡
1
0
1
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 month
@Mungu_bab Wakili aksante
0
0
1
@Addy_Adams
Adamoo
1 month
@TitoMagoti WanaLunyasi tunajivunia uwepo wapo Kaka
1
0
2
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 month
@Addy_Adams Mzee wangu - pamoja sana💪🏽💪🏽
0
0
3
@sam_odipo
odipo
1 month
@TitoMagoti Mazel tov👊🏿👊🏿👊🏿
1
0
0
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 month
@sam_odipo Oii🫵🏽💪🏽💪🏽
0
0
2
@blackboyvictor
VICTOR
1 month
@TitoMagoti Hongera sana kaka
1
0
1
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 month
@blackboyvictor Shukrani mwanangu👊🏽
0
0
2