@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Usiombe kukutana na mjinga mwenye confidence. Utajua hujui.
168
268
3K

Replies

@IAMartin_
Martin Maranja Masese
3 years
@TitoMagoti CHAKUBANGA??
2
2
44
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
@IAMartin_ Homeboy, orodha ni ndefu!πŸ˜†
0
0
29
@king_kinya
king kinya
3 years
@TitoMagoti Halafu mara nyingi unakuta Wana sauti kubwa (loud) Sana pia Wana maneno mengi mdomoni yamebanana banana. Huwezi kubishana naye. Anakutoa knock outπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
7
2
81
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
@king_kinya Na kiingreza kingi pia.πŸ˜…
3
0
34
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
3 years
2
0
6
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
@salim_alkhasas Usiombe awe na notisi za kilimo cha mtandao.. atakujengea uwezo hutoaminiπŸ˜‚πŸ˜‚
1
0
11
@MissBia06176376
Miss Bianca
3 years
@TitoMagoti Halafu wana pumzi za kuongea hao kila kitu wanajifanya wanajua kumbe malimbukeni tu
1
0
8
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
@MissBia06176376 Wanakuwaga na namba za simu za watu mashuhuriπŸ˜…
0
0
17
@saidikategile
Certified Mswezi
3 years
@TitoMagoti hii ni overconfidence in a single vocaburary
1
0
4
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
@saidikategile Certainly well put.
0
0
3
@Ngiwanzi
Itgirl
3 years
@TitoMagoti so so well put...aise...I am borrowing this
1
0
1
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
@Ngiwanzi Hah! Cheers
0
0
1
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
@jimmymosh12 Kabisa Mosha
0
0
2
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
3 years
@TitoMagoti @HecheJohn Ukute anajua na historia kidogo hata kama ya uongo tu!!! Hasa hasa ya makabila atashuka na wewe jumla jumla
7
4
87
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
@Advocate_Jebra @HecheJohn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚au awe anajua kukadiria, atakwambia idadi ya samaki Lake Tanganyika
6
6
59
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
@TitoMagoti πŸ˜‚
0
0
0
@PriscusThomas
Tajiri_viatu1
3 years
@TitoMagoti Unamsema @Eric_Bernard94 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1
0
0
@emshayoo
Shayo E.M.
3 years
@TitoMagoti Wajinga wachache sana ndo hawajiamini. Wengi wanajiamini kupita kiasi
2
0
23
@SilvesterKondo1
Silver
3 years
@TitoMagoti Mbona hapa Tz maprofessor wengi wananiamini sana!
1
0
1