TinaaryS Profile Banner
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί Profile
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί

@TinaaryS

Followers
5K
Following
77K
Media
1K
Statuses
28K

Dr Abbie, man of the people

Joined May 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@TinaaryS
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί
1 day
Bwana akamwambia Kain ,yuko wapi Habil ndugu yako?Akasema ,sijui,mimi mlinz wa ndugu yangu? Akasema,umefanya nin?Saut ya damu ya ndugu yako inanlilia kutoka ktk ardh Bas sasa umelaaniwa wewe katka ardh,iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya nduguyo kwa mkono wako Mwanzo 4:9-11.
1
13
22
@TinaaryS
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί
8 hours
Pale ambapo hatuwezi kuyasema maumivu yetu ya ndani kwa kulazimishwa kuzibwa midomo kwa hofu na vitisho, Wewe Mungu wetu uliyemkuu wa vyote na usiyelazimishwa na mwanadamu yeyote kutenda jambo tunaomba yajibu maumivu ya mioyo yetu Baba πŸ˜­πŸ™
0
1
3
@TinaaryS
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί
16 hours
Ndugu yangu wewe unayefrahia watu kuuwawa je ni fedha kias gani inaweza kununua uhai sawa na wako mzazi wa ama ndugu yako wa damu, fikria vizuri kabla ya hicho kiburi na upofu wa fikra zako
0
0
0
@TinaaryS
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί
20 hours
Unaweza kufumba mdomo asiongee Unaweza kumfunga miguu asitembee Unaweza kumkata mikono asiweze kushika chochote Unaweza kumuua asionekane lakini yupo yeye aliyempa vyote hivyo atasimama na kufanya mambo yote hayo na zaidi πŸ™πŸ™πŸ˜­
0
3
11
@pinkyTZ255
pinkπŸ₯€πŸŒΉ
20 hours
Mithali : 6 : 16 Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana; Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake. Macho ya kiburi, ulimi wa uongo, Na mikono imwagayo damu isiyo na hatia; Moyo uwazao mawazo mabaya; Miguu iliyo myepesi kukimbilia maovu; Shahidi wa uongo asemaye uongo; (Ya 7 mkasome)
1
5
21
@TinaaryS
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί
20 hours
Yohana 16:22Β  β€œBasi ninyi hivi sasa mna huzuni; lakini mimi nitawaona tena; na mioyo yenu itafurahi, na furaha yenu hakuna awaondoleaye”.
0
0
2
@TinaaryS
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί
22 hours
Mithali 19:20 Sikiliza mashauri, ukapokee mafundisho, Upate kuwa na hekima siku zako za mwisho. Good morning to you familia πŸ’›
8
4
12
@humbleQueen02
29 October πŸ’«πŸ’”
1 day
Mungu awapumzishe watanzania wote waliopoteza maisha pumzikeni kwa amani makamanda roho yangu inaniuma sana kupoteza nguvu kazi ya taifa😭😭😭😭😭
14
88
607
@TinaaryS
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί
7 days
Siri haijawahi kuwa nyepesi au rahisi hivyo usimwamini kila mtu na kumpa siri zako, watu wengi hawana uwezo wa kubeba uzito wa siri. Good morning to you familia πŸ’›
4
4
9
@TinaaryS
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί
7 days
Hili hapa boss @BrunoModestus3
0
1
3
@TinaaryS
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί
8 days
Zaburi 16:8 Nimemweka Bwana mbele yangu daima, Kwa kuwa yuko kuumeni kwangu, sitaondoshwa. Good morning to you familia πŸ’›
14
13
31
@TinaaryS
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί
8 days
Immunisation of bullet, missile, teargas and CHAWA wote πŸ‘‡
9
18
127
@TinaaryS
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί
9 days
Kama ndege wa angani wangendelea kubaki kwenye viota vyao wangekufa kwa njaa kwa kukosa chakula, kijana na wanafamilia wa X (twitter) amka toka kwenye hicho kitanda tukajitafutie chakula chetu cha kila siku. Good morning to you familia πŸ’›
13
23
43
@humbleQueen02
29 October πŸ’«πŸ’”
10 days
Hakuna jambo katika maisha linaposwa kuzingatika kama kutofautisha mambo ya kuwambia watu na mambo unayopaswa kufanya Siri✍
16
46
202
@TinaaryS
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί
10 days
Yohana 14:27 Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga. Good morning to you familia πŸ’›
3
7
10
@TinaaryS
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί
11 days
1 Wakorintho 7:8-11 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo. Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa. Good morning to you familia πŸ’›
3
5
10
@TinaaryS
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί
11 days
Good morning to you familia πŸ’›
0
0
1
@british77boe
britishboe
12 days
Hatupigani na watu tunapigana na mfumo,usiweke chuki kwa watu,chukia mfumo unaowapa hayo mamlaka,tusiue watu,tupigane kuua mfumo..@fumbo Mh @kasesco_tz @kasimuabuu98 @Brother_0101 @belindaPINDA04 @TinaaryS @pastajoshuatz @Zephania_Ndaki @zamo_tz @Kilongi_TheDawg @DenyTheDr
1
2
6
@TinaaryS
Being 6 πŸ’ŠπŸ’‰πŸŒ‘οΈπŸ©Ί
12 days
Kama ndege wa angani wangendelea kubaki kwenye viota vyao wangekufa kwa njaa kwa kukosa chakula, kijana na wanafamilia wa X (twitter) amka toka kwenye hicho kitanda tukajitafutie chakula chetu cha kila siku. Good morning to you familia πŸ’›
0
2
2