Joy_Mbura Profile Banner
Joy Profile
Joy

@Joy_Mbura

Followers
16K
Following
61K
Media
1K
Statuses
140K

Social Runner | 📚Reader|Official Trainer Wa @bajabiri|Balozi Wa Sihifudi | local|Jobless|Mpare Naishi 🥰

Tanzania
Joined November 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Joy_Mbura
Joy
3 years
"Argue, Don't Shout" Nyerere.Tafsir isiyo rasm ni Jenga hoja,usipayuke.Katika utangulizi anasema "Tunataka ama kushawishi watu,au kuwafanya waelewe ni kwa nini tumechagua mwelekeo kwa yoyote kati ya malengo haya tunapaswa kujenga hoja sio kupayuka"(uk11)
Tweet media one
11
78
283
@Joy_Mbura
Joy
24 minutes
One day nitawap zile aki 🥰.
@BenyTheTraveler
Traveler Ben 🌍
2 hours
Chase tides and wild adventures in Zanzibar 🌊🌴. Every corner of Zanzibar is an invitation to explore📍. #VisitZanzibar
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
0
6
@Joy_Mbura
Joy
44 minutes
Tweet media one
0
3K
0
@Joy_Mbura
Joy
47 minutes
RT @bajabiri: Kiatu inayohimili hekaheka za field, hiking, rough roads. Na bado sio kizito. Ni #HokaOne inauzwa 350,000/= tu hapa #JustF….
0
7
0
@Joy_Mbura
Joy
48 minutes
Tweet media one
@LoemaMassey
Loema Massey
1 hour
Nikiacha chips mayai na pepsi hii body ya fantana nnayo 😂🤭.
2
0
6
@Joy_Mbura
Joy
2 hours
Dear .Excel 😭🙌🏼🙌🏼.
7
3
17
@Joy_Mbura
Joy
2 hours
RT @BznesKonja: @Joy_Mbura umeingia sokoni leo.🙂‍↕️.
0
1
0
@Joy_Mbura
Joy
2 hours
RT @DorothNengai: Dear @Joy_Mbura nashukuru sana nimepata mzigo.Aisee ni tamu sana,.Nisaidie kuuliza kama zinavuka maji😉.Dear @LoemaMassey….
0
4
0
@Joy_Mbura
Joy
2 hours
RT @abriy_suleiman: JUNE HAS BLESSED US WITH HONOR!. A moment of pure joy and pride! 🥳.Through dedication, quality, and passion for our nat….
0
8
0
@Joy_Mbura
Joy
12 hours
RT @ZakayoMmbaga: Oyah @Joy_Mbura kumbe sea food ni ghali hivyo na husemi.
Tweet media one
0
3
0
@Joy_Mbura
Joy
1 day
RT @fredymboya: Watia nia Jimbo la MTUMBA fomu ni moja tu nimechukua mimi. Fomu ni moja tu. Ahsanteni🙏.#fredymitumba🇹🇿 .
0
11
0
@Joy_Mbura
Joy
1 day
RT @manta_michael: Kama una penda good quality bedsheets, kuna order mbili za mteja zilizidi. 2 pillow cases , one duvet cover and one be….
0
2
0
@Joy_Mbura
Joy
1 day
RT @M_Mafuru: Mpaka sasa tuna 52,000Tsh. bado 68,000Tsh. Kwa ajili ya kumnunulia godoro Bibi etu, Mungu awabariki sana kwa kujitoa kwenu il….
0
3
0
@Joy_Mbura
Joy
1 day
RT @LoemaMassey: Jaman Zigo la moto kutoka jikon Ndio nafunga wateja karibun sana Naomben na rt zenu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
26
0
@Joy_Mbura
Joy
1 day
Thom hongera sana na nakutakia kila la heri mkuu . Sasa kazi ya udalali ukaisee vizur huko .
Tweet media one
1
1
13
@Joy_Mbura
Joy
2 days
RT @MarkMwandosya: The book, LIVING WITH CANCER: DIARIES OF A MULTIPLE MYELOMA PATIENT by @MarkMwandosya. Is now available in #Nairobi, #Ke….
0
67
0
@Joy_Mbura
Joy
2 days
RT @Dearme2_: Your mother’s prayers are still protecting you.
0
981
0
@Joy_Mbura
Joy
2 days
Hongera sana Thom na kila la heri.
@Jambotv_
Jambo TV
2 days
Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Mtaalamu wa ardhi na Mjasiriamali Kijana Bw. Thom Mnkondya, Leo Jumanne Julai Mosi, 2025, amechukua rasmi fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Tunduma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Ofisi za CCM Wilaya ya Momba. Thom, ambaye
Tweet media one
0
0
2
@Joy_Mbura
Joy
2 days
Tulia we Mzee 🤣🤣.
@NgowiGold
GuRu 2.0 #77 🇿🇦
2 days
Mpare uliekimbilia kikwajuni.
0
0
0
@Joy_Mbura
Joy
2 days
Frame no 2 .Picha ya 1& 2 .Nimchukulie mpenzi wangu ,anajikunyata sana na hii baridi kama hapendwi 😊.
@RayCruzy
Ray ❤💝❤
2 days
Si mnaona zilivyo nzuri 28000 tuu .Delivery ✅🚚 mikoani tunatuma WhatsApp 0753103048.Kindly repost 🙏♥️
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
1
5
@Joy_Mbura
Joy
2 days
RT @PauloCoelho_DQ: “When someone leaves, it's because someone else is about to arrive.”. | Paulo Coelho.
0
164
0