TawlaTZ Profile Banner
TAWLA Profile
TAWLA

@TawlaTZ

Followers
14K
Following
29K
Media
2K
Statuses
16K

TAWLA is a Non-Governmental Organization (NGO) that works to promote and advance legal and constitutional rights of women and children in Tanzania.

Dar Es Salaam
Joined September 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@TawlaTZ
TAWLA
3 hours
@TawlaTZ , in collaboration with GIZ Tanzania and EAC, is hosting a two-day hashtag#Tech4Justice session aimed at empowering justice actors with essential digital skills. Participants will explore digital tools to enhance their work, strengthen their cybersecurity awareness,
0
4
6
@IILAinfo
International Institute for Legislative Affairs
3 days
Evidence shows that regulating trans fats could prevent 2,000 deaths and 17,000 new heart disease cases in just 10 years. A policy that truly pays off. See how this translates into action via Success Afrika: 👉 https://t.co/Gf9Lpclwxk #TransFtaFreeKenya #TransFatFreeEAC
1
8
10
@IILAinfo
International Institute for Legislative Affairs
2 days
Many snacks and drinks we enjoy daily are loaded with sugar, salt, and fat, the silent drivers of heart disease. That’s why Kenya needs Front-of-Pack Warning Labels (FOPWL), clear icons that tell you at a glance when a product is high in sugar, salt, or fat. As we reflect on
0
4
6
@IILAinfo
International Institute for Legislative Affairs
3 days
As we reflect on #WorldHeartDay, one message is clear: Kenya can save thousands of lives by regulating industrial trans fats. Strong policies protect hearts and build a healthier nation. #TransFatFreeKenya #TransFatFreeEAC
1
11
14
@IILAinfo
International Institute for Legislative Affairs
3 days
Heart disease is one of Kenya’s top causes of death. Up to 25% of hospital admissions are linked to cardiovascular conditions, many of which are preventable. Read more via Health Business Kenya: https://t.co/J7u5KzfCnb #TransFatFreeKenya #TransFatFreeEAC
1
5
7
@IILAinfo
International Institute for Legislative Affairs
3 days
@valerie_aura @EricDean54 @muthokijoann @GideonAustine1 @KelvinMithamo_ @MOH_Kenya @Senate_KE @KEBS_ke @RoseyNadima @WinlightH IILA continues to urge policymakers to accelerate the adoption of WHO-recommended limits of no more than 2g of industrial trans fats per 100g of total fat in foods. Full story on KBC News: 👉 https://t.co/FGcSCQMZFm
1
5
7
@IILAinfo
International Institute for Legislative Affairs
3 days
@valerie_aura @EricDean54 @muthokijoann @GideonAustine1 @KelvinMithamo_ @MOH_Kenya @Senate_KE @KEBS_ke @RoseyNadima @WinlightH @MOH_DHP @Consumers_Kenya @TawlaTZ @IncubatorGHAI @KBCChannel1 @oduor_kevin1 @Ngugimburu11 Regulating industrial trans fats isn’t just about saving lives but also saving Kenya billions in treatment costs and protecting the economy. Catch the details here: 👉 https://t.co/8x3I3VLDjh #TransFatFreeKenya #TransFatFreeEAC
0
6
8
@sonnino123
Sonnino⚡
1 day
Hivi unafahamu kuwa Baadhi ya vyakula tunavyokula vina kiwango kikubwa cha #TransFat, ambacho kinaongeza hatari ya kupata magonjwa ya moyo na mishipa ya damu? Ndio maana Kuna uhitaji mkubwa Kwa Serikali kupitisha sera na kanuni madhubuti za kudhibiti matumizi ya mafuta haya
7
41
51
@TawlaTZ
TAWLA
2 days
Katika kipindi hiki cha uchaguzi, kura yako isiwe tu kwenye karatasi, iwe pia kwenye sahani yako! Tuchague vyakula vinavyolinda maisha, si vinavyoleta magonjwa. Hata hivyo, jukumu la kulinda afya za wananchi halipo kwa wananchi pekee. Serikali kupitia @TBS_Tanzania ina wajibu
0
9
10
@TawlaTZ
TAWLA
3 days
Kila mtoto wa kike anastahili kuishi maisha yake kikamilifu, kusoma, kucheza, na kutimiza ndoto zake. Kumlazimisha kuolewa akiwa bado mdogo ni kumnyang’anya haki yake ya msingi ya elimu, afya, na utu. Ndoa za utotoni sio mila; ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Tuchague kulinda
0
10
11
@TawlaTZ
TAWLA
6 days
This powerful dialogue brought together government leaders, embassies, development partners, UN agencies, the private sector, and civil society to confront the impact of online violence, safeguard human rights, and accelerate gender equality through bold and innovative solutions.
0
5
7
@TawlaTZ
TAWLA
6 days
As a key stakeholder in the fight against gender-based violence, our Executive Director Ms. @tiketiko was honored to serve as a panelist at the 2025 National Dialogue on Technology-Facilitated Violence and Violence Against Women in Elections, held as part of this year’s 16 Days
1
6
10
@TawlaTZ
TAWLA
7 days
Wanawake, bado hujachelewa! Kesho tunaandika historia kwenye Kongamano la Wanawake 2025 Nafasi bado zipo — lipa ada yako na uwe sehemu ya mjadala wa kuhamasisha fikra, kuangazia mafanikio na kuchochea hatua za maendeleo ya kijamii na kidemokrasia. 📍 Mahali: Wakili House, Dar
0
4
7
@TawlaTZ
TAWLA
7 days
Sehemu ya 6: Inaangazia muhtasari wa Madai ya Ilani ya Haki za Ardhi za Wanawake. 1. Mabadiliko ya mfumo wa Sheria na Mila na desturi 2. Takwimu zenye mlengo wa jinsia 3. Mfumo wa ufuatiliaji 4. Rasilimali 5. Kuondoa Mila na desturi 6. Wadau wa maendeleo kuzipa kipaumbele haki
0
5
7
@TawlaTZ
TAWLA
8 days
Usihangaike Mwenyewe na Masuala ya Kisheria! Je, unahitaji msaada wa kisheria? @TawlaTZ tupo kwa ajili yako! Tembelea ofisi yetu ya Nyanda za Juu Kusini, mkoa wa Mbeya , maeneo ya Sae nyumba namba 67. Tunatoa huduma ya msaada wa kisheria kwa wanawake, watoto, na makundi
0
1
3
@TawlaTZ
TAWLA
9 days
Kama sehemu ya kuboresha uhusiano wa kikazi na wadau wetu muhimu, @TawlaTZ tulipata wasaa wa kushiriki kwenye kikao cha wadau kilichoandaliwa na UWAZAMAM (Ushirika wa Wakulima wa Zabibu na Masoko Mpunguzi), chini ya udhamini wa mshirika wetu @WeEffectEA , walipokuwa
0
2
4
@TawlaTZ
TAWLA
9 days
Sehemu ya Tano: Ni mwendelezo wa uchambuzi na uchechemuzi wa Ilani ya Haki za Ardhi za Wanawake Dai la 6 na 7 zinazolenga utambuzi wa Haki kijamii za Wanawake na Utashi wa kisiasa na uwajibikaji wa serikali na taasisi zake. Tufuatilie katika mitandao yetu ya kijamii kujifunza
0
1
3