 
            
              Octa butchery
            
            @SanaiTech
Followers
                108
              Following
                384
              Media
                53
              Statuses
                402
              Sangara & Sato Dealer ๐ Based in Kariakoo, Dar es Salaam ๐ Selling fresh fish: Sangara & Sato โ Wholesale & Retail ๐ฐ We Accept Bitcoin ๐ #btcmerchant
              
              Tanzania
            
            
              
              Joined March 2023
            
            
           Fresh Sangara & Sato available daily at Kariakoo Market! Now accepting Bitcoin as a payment method. Letโs innovate while keeping it local. ๐น๐ฟ๐ #BitcoinTanzania #SangaraSeller #CryptoBusinessโ Follow up location  https://t.co/Y0l9hIJmI8 
          
          
            
            google.com
            
                
                0
              
              
                
                3
              
              
                
                3
              
            
            @gabyconscious Africa inabidi uwe na vyote idea plus capital ila kwa wenzetu ukiwa na wazo tu wenye mipunga wanawekeza na ww unanufaika au unakua tajiri kupitia idea yako
          
          
                
                1
              
              
                
                2
              
              
                
                4
              
             Hello Bitcoiners, @Graysatoshi recommends that if you're a true Bitcoiner planning a trip to Zanzibar, thereโs no second bestโchoose ๐๐ฟ @bitcoinzanzibar
             https://t.co/yIDAJcqjmc.  Enjoy a Bitcoin-friendly vacation experience with comfort, privacy, and good vibes all paid in BTC.
          
          
                
                0
              
              
                
                3
              
              
                
                4
              
             Hello Bitcoiners around the world ๐โก We humbly call upon your support for @Graysatoshi, the founder of @BitcoinSafariTZ, who is seeking donations to attend the @AfroBitcoinOrg Bitcoin Conference & @btrustteam Developer Day in Mauritius ๐ฒ๐บ from Dec 2โ5, 2025. Heโs looking to 
          
                
                1
              
              
                
                5
              
              
                
                10
              
             According to @gabyconscious (2025) and @nickyrabit (2025), they spoke about crypto loans (  https://t.co/h6aaHSEbDd).  Every time you earn money, build the habit of buying #BTC and using it as collateral on Binance to access loans. This way, you maintain a constant cash flow. 
           Government bonds ukipeleka Bank loan ni below 70% Crypto Loans kwa kuweka assets zako letsay unaweka $BTC kama collateral unapewa hadi loan 80% kwa chini ya dk 2 tuโฆ.yes I mean dk mbili, moja mbili. Hamna kujaza makaratasi wala kumaliza miti Bro. 
          
                
                0
              
              
                
                8
              
              
                
                16
              
             Tukiwa tunasherekea Mwezi wa Usalama Mtandaoni,jitahidi walau kuscan link kabla ya kubonyeza. Umetumiwa link ya Scholarship, ya kuomba kazi nk na sio official website, scan kujua kama ni salama. Ni kitendo cha dk mbili tu!! #Cybertips
             https://t.co/99ez5j6pQe 
          
          
                
                0
              
              
                
                2
              
              
                
                6
              
             Ukitumia simu yako kuconnect Wi-Fi hotspot na computer ya mtu mwingine hakikisha una-untick kibox cha connect automatically na pia usisave password kwenye browser, ni rahisi kuziona passwords kwenye computer na kuzibadili au kufanya chochote. Cyber awareness Month. Stay safe 
          
                
                4
              
              
                
                26
              
              
                
                148
              
             Absolutely ๐ฏ 
           Sikia kijana wangu. โVita vyote vinategemea udanganyifu.โ โMashujaa washindi hushinda kabla ya kwenda vitani, wakati walioshindwa huenda vitani kwanza kisha hutafuta ushindi.โ "Sanaa kuu ya vita ni kumshinda adui bila kupigana.โ โKatikati ya machafuko, kuna fursa.โ 
            
                
                0
              
              
                
                0
              
              
                
                0
              
             Million 25 TZS ungewkeza kwenye Bitcoin miaka 10 iliyopita saivi ingekua na thamani ya Billion 12 TZS Million 25 TZS ungewkeza kwenye hisa za CRDB miaka 10 iliyopta saivi ingekua na thamni ya approximately Million 165 TZS 10 years to come, kutakua na crazy figures pia USIMISS 
          
                
                3
              
              
                
                12
              
              
                
                105
              
             90% ya resources za Web3, DeFi, Blockchain & Crypto zipo hapa Link kwa comment๐ 
          
                
                6
              
              
                
                11
              
              
                
                101
              
             Lorsque vous voyagez dans diffรฉrents pays en tant que bitcoiner, vous souhaitez parfois connaรฎtre le prix du bitcoin dans la monnaie locale du pays que vous visitez. La plupart du temps, vous vous donnez beaucoup de mal avec des sites de conversion et autres. 
          
                
                1
              
              
                
                4
              
              
                
                9
              
             Hapa kuna sababu 10 kwa nini Watanzania wengi bado hawaelewi teknolojia ya Bitcoin, pamoja na ufafanuzi wa kila moja: 1. Elimu Duni ya Fedha na Teknolojia Watanzania wengi hawajapewa elimu ya msingi kuhusu fedha na teknolojia za kisasa kama blockchain, hivyo ni vigumu kuelewa 
          
                
                0
              
              
                
                2
              
              
                
                6
              
             Ndoto yako haikuwa kutumikishwa kazini miaka 40 kisha upewe cheti na vikombe siku ya kukuaga Ndoto ni uhuru, muda, afya, amani. Lkn hakuna atakayekupa hivyo. Unapaswa kuvitafuta mwenyewe Kila ukiamka salama jiulize; nianzishe kitu gani sasa kwa ajili ya maisha yangu ya baadaye? 
          
                
                58
              
              
                
                133
              
              
                
                818
              
             
             
             
             
               
             
             
               
             
               
             
               
             
              