
#TOTTechs
@TOTTechs
Followers
50K
Following
63K
Media
4K
Statuses
45K
Jukwaa la washauri na wataalamu wa Teknolojia || π» Computers ||π± Phones | Softwares | ICT Hardwares | ICT Security || Partnership with Kukeke Gang and L.M.S
Tanzania
Joined February 2020
RT @Positivenga1: Kwa mfanyabiashara Kulipa π§Ύ suppliers nje ya πΉπΏπ;. Kupata dollar au Yuan kwa rate nzuri sio rahisi, ni gharama kubwa na iβ¦.
0
1
0
Our favourite - @ProtonVPN nayo imefungiwa, one of the best VPN, kwa sasa tutumie nini sasa au tuunde Customisable Proxies/socks ? π€.
35
12
135
RT @salymdev: Selcom API, ππ too much complication, would you please create a sandbox env so we can smoothly test your API????? @SelcomPesa.
0
4
0
Huyu bwana mdogo anavyoonekana lazima aje kutumia Linux au Ubuntu
This is the final coding & innovation bootcamp of the season, a special edition designed for Cambridge and IB students. ποΈ July 21 β August 1.π Kawe β Dar es Salaam.π¦π½ Ages 5 β 18.π° TZS 200,000.π² WhatsApp: 0745 000 555.@KodeUniKids .#CodingBootcamp
5
3
45
RT @GoodluckMalekoJ: Kwa Nini Laptops za HP EliteBook Zinachukuliwa Kama βToyota ya Techβ?. Kama unataka laptop ya kazi siyo show off, siyβ¦.
0
18
0
RT @godopetza: πΉπΏ Book your SGR tickets & Convert TRC SMS to digital tickets fast, easy, FREE and available offline (when you use our mobilβ¦.
0
3
0
RT @Dr_Matogoro: UDOM MSHINDI WA PILI MAONESHO YA 49 "SABASABA" KUNDI LA TAASISI ZA ELIMU YA JUU. Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM), kimeibukaβ¦.
0
6
0
RT @ShijaDenis: Siku hizi ishakua Mtizi kudownload YouTube videos Kwa kutumia simu hata huyu mkombozi seal nae anafeli . na baadhi ya siteβ¦.
0
8
0
Iliitwa TELE, ikaja kuitwa Telecom. Div 1 kali walienda Telecom na Computer Eng. Telecom haijakosa mvuto bali hapo zamani kulikuwa na demand kubwa sana ya wataalamu wa Mawasiliano ilikuwa ni course ya kimkakati, nowadays competition ni kubwa ila Telecom bado ni best Eng program.
Zamani wale mabro waliokuwa wanapiga DV 1.3, na 1.4 walikuwa wanamwagika saana TELECOMMUNICATIONS (ilikuwa inaitwa TELE) sikuhizi naona mitandao kibao ila TELE imekosa mvuto tena ni kwanini.
5
5
82
Kenya Space Agency (@SpaceAgencyKE) . Rwanda Space Agency (@RwandaSpace). Uganda Space Technology Agency (@SpaceTechUg). Hawa wenzetu wako busy sana recently, anyway sisi ngoja tuwasubiri DIT waturushie Satellite.
13
9
75
RT @GoodluckMalekoJ: BitChat si App Tu β Ni Mapinduzi ya Mawasiliano Yasiyodhibitika. Jack Dorsey ametengeneza silaha β si app ya kuwasiliaβ¦.
0
7
0
Tools za kufuta Tweets/posts, kwa wale waliouliza hizo tools tumieni hizo.
Ukiuza account au ukinunua account iwe unatumia mwenyewe au taasisi hakikisha unafuta Post/tweets zote za zamani kwenye account husika, kuna tools nyingi za kufanya hivyo. Clean your TL kabla hujaanza kutumia hiyo account.
2
11
67