sundey_fx Profile Banner
Sunday Victor Profile
Sunday Victor

@sundey_fx

Followers
9K
Following
11K
Media
2K
Statuses
16K

GOLD Trader | Personal Finance | Educator | Currently Building Community of Profitable Traders | 7+ Years I Read Candlesticks For a Living

LEARN, RE-LEARN, EARN
Joined May 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@sundey_fx
Sunday Victor
2 years
Hakuna mtu alie wahi kutajirika kwa mshahara. 2024 anza kufanya hivi kuufikia utajiri. Uzi.
39
173
846
@sundey_fx
Sunday Victor
3 days
Bro, Siku moja mbaya inaweza kuchukua profit zako za mwezi mmoja, Siku mbaya inaweza sababisha ukachoma account, Linda mtaji wako, Tumia stop loss. Umenielewa?
0
0
7
@SolanaInstitute
Solana Policy Institute
3 days
$BSOL, the first spot Solana ETP, is now live on the New York Stock Exchange, giving more consumers access to one of the world's most performant blockchains through a U.S. regulated investment vehicle.
0
5
34
@sundey_fx
Sunday Victor
3 days
Dear trader, Usije kudharai nguvu ya Risk Management, Risk Management inaweza kubadilisha maisha yako, ukawa profitable, ukawa funded. Risk management inadanya kazi 100%
1
0
3
@sundey_fx
Sunday Victor
3 days
Dear Trader, Anything can happen before end of 2025, LOCK in bro.
0
0
9
@sundey_fx
Sunday Victor
3 days
Sijawahi kuona mtu yeyote anae mtegemea mungu 100% na akaishia kuaibika. Sijawahi kabisa.
0
0
14
@BCVaultOfficial
BC Vault Crypto Hardware Wallet
10 days
Crypto 101: seed phrases are broken. We donโ€™t use them. Each wallet is independent, backups encrypted, PIN-protected. No photo, glance, or leak can steal your funds. Yet the old, vulnerable story is still everywhere.
2
10
45
@sundey_fx
Sunday Victor
5 days
Maisha yataendela tu, Uwe na mtaji au huna, Uwe na mjomba tajiri au huna, Ume na connection au hauna, Uwe umetoka familia tajiri au masikini, Maisha hatakusubiri kisa wewe hau vyote hivyo, Duniani ni sehemu hatari sana kwa watu wasikini.
0
2
4
@sundey_fx
Sunday Victor
9 days
Bro! Sio lazima utrade kila siku kutengeneza pesa, Soko haliendi popote, Lipo mpaka utakufa, "๐‘บ๐’๐’Ž๐’† ๐’•๐’Š๐’Ž๐’†๐’” ๐’•๐’‰๐’† ๐’ƒ๐’†๐’”๐’• ๐’•๐’“๐’‚๐’…๐’† ๐’Š๐’” ๐‘ต๐’ ๐’•๐’“๐’‚๐’…๐’†" Kusubiri kunaweza kukuingizia faida kuliko ku-force setup, Subiri setup ije,
0
2
10
@sundey_fx
Sunday Victor
7 days
Inachukua miaka 5 kua doctor na kuanza kulipwa 2M kwa mwezi, miaka 5-7 kua wakili na kuanza kuingiza 3M , Inachukua miaka mi 4 kua engineers na kuanza kuingiza 3M, Alafu wewe unafikiria kuangalia YouTube tu na kua millionaire, Haipo hivyo bro Jifunze kwanza, utalipwa badae.
0
3
10
@EsirEid
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ
5 days
#TajiriLaKihaya HTML - 1 week CSS (Basic) - 1 week JavaScript - 3 months React - 2 months Intermediate CSS - 1 month Intermediate JavaScript - 1 month Advanced React - 2 months Typescript - 2 months React + Typescript - 1 month NextJS/TanstackStart/Remix patterns - 1 month
40
82
431
@Mary06996
RESILIENCE @69420๐Ÿ’œ
5 months
And then along came Mary...
17
19
180
@sundey_fx
Sunday Victor
5 days
Introduction to Financial market, 1 day Fx Trading basics & Terminologies, 1 day Understanding Trading platforms, 2 days Fundamental Analysis 2 days, Technical analysis basics 1 week, Risk management 2 days Trading psychology 2 days Advanced technical analysis 3 months
@EsirEid
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ
5 days
#TajiriLaKihaya HTML - 1 week CSS (Basic) - 1 week JavaScript - 3 months React - 2 months Intermediate CSS - 1 month Intermediate JavaScript - 1 month Advanced React - 2 months Typescript - 2 months React + Typescript - 1 month NextJS/TanstackStart/Remix patterns - 1 month
0
1
8
@sundey_fx
Sunday Victor
7 days
Inachukua miaka 5 kua doctor na kuanza kulipwa 2M kwa mwezi, miaka 5-7 kua wakili na kuanza kuingiza 3M , Inachukua miaka mi 4 kua engineers na kuanza kuingiza 3M, Alafu wewe unafikiria kuangalia YouTube tu na kua millionaire, Haipo hivyo bro Jifunze kwanza, utalipwa badae.
0
3
10
@sundey_fx
Sunday Victor
7 days
5M balance bank huna, Iphone 17 pro hauna, Driving license huna, Plot ya aridhi huna, Bima ya afya huna, Passport huna, Nida huna, Gari huna, Sasa unamiliki nini?
4
2
10
@sundey_fx
Sunday Victor
7 days
5M balance bank huna, Iphone 17 pro hauna, Driving license huna, Plot ya aridhi huna, Bima ya afya huna, Passport huna, Nida huna, Gari huna, Sasa unamiliki nini?
4
2
10
@lilyjclifford
lily clifford
3 days
๐Ÿš€ย Launching today: Hindi on Rime! Hindi is the lingua franca for much of India, spoken by over 600 million people worldwide. But we didnโ€™t stop there. Rime also captures Hinglish: the vibrant Hindi-English mix that reflects how people actually speak. From natural tone and
2
9
20
@sundey_fx
Sunday Victor
8 days
Kmmk, forex ni ngumu, Kuna siku unakua Trader, Kuna siku unakua mentor, Kuna siku unakua motivation speaker๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
0
0
17
@sundey_fx
Sunday Victor
9 days
Bro! Sio lazima utrade kila siku kutengeneza pesa, Soko haliendi popote, Lipo mpaka utakufa, "๐‘บ๐’๐’Ž๐’† ๐’•๐’Š๐’Ž๐’†๐’” ๐’•๐’‰๐’† ๐’ƒ๐’†๐’”๐’• ๐’•๐’“๐’‚๐’…๐’† ๐’Š๐’” ๐‘ต๐’ ๐’•๐’“๐’‚๐’…๐’†" Kusubiri kunaweza kukuingizia faida kuliko ku-force setup, Subiri setup ije,
0
2
10
@sundey_fx
Sunday Victor
9 days
Bro! Take a brake but don't quit, Understood?
0
1
6
@sundey_fx
Sunday Victor
9 days
Mwaka 2023 ni mwaka ambao sitausahu kwenye maisha yangu ya Forex bro, ni mwaka ambo Fx ilinitoa machozi, Soko liliamua kuninyoosha, ndio kipindi nilishuhudia account yangu ya $5000 inaungua mbele yangu, Ndio mwaka nilijaribu kila strategy, ndio mwaka nilichoma account sana,
2
1
11
@artoflavallelee
Lavalle Lee
4 days
AWESOME NEWS!!! We held our premiere of the โ€œDon Bluth: Somewhere Out Thereโ€ documentary of Donโ€™s EPIC animation journey and life! Lots of laughs, inspiration and a standing ovation! I had the honor of being an Executive Producer (Did a little camera work too) on the film and
22
75
353
@sundey_fx
Sunday Victor
9 days
Bro, usisahau hii, "Tumeondoka nyumbani ili kubadilisha mazingira ya nyumbani"
0
0
12
@sundey_fx
Sunday Victor
9 days
Atalanta๐Ÿ˜ญ
0
0
0
@sundey_fx
Sunday Victor
9 days
Trading, "Once a trader is always a trader"
@_falsi1ke
Ja Leto
10 days
What addiction is the most difficult to quit?
0
0
3
@sundey_fx
Sunday Victor
9 days
Kitu usichokijua kuhusu mimi, Mimi ni mtaalamu sana wa kubet pia, Chukua hii; Timu zitakazo shinda leo; -Madrid -Chelsea -Atalanta -Liverpool -Bayern munich
2
0
5
@SIDELINES_LIVE
Rob Browne ๐™Ž๐™„๐˜ฟ๐™€๐™‡๐™„๐™‰๐™€๐™Ž
7 hours
Halloween Hype: Floridaโ€‘Georgia Rivalry & Bartooโ€™s SEC Roundtable
1
2
10