Ahmad
@rajuQuire
Followers
4K
Following
79K
Media
2K
Statuses
124K
“Kukinai, kuridhika ni hazina isiyo filisika.”
Joined August 2021
@Quranconnect_ Rabbana ighfir lee waliwalidayya walilmu’mineena yawma yaqoomu alhisab.❤
0
1
2
Bring your meals to life with the authentic taste of Zanzibar spices, Pemba Taste Products offers premium, organic masalas made to deliver rich aroma, bold flavor, and natural color with no artificial additives. 📦 We deliver across all regions 📞 +255774105389 #PembaTaste2025
0
14
12
Yaani ugomvi wetu siye umuingize mama yangu? Huyo huyo asiye oga ndiye alinizaa na kuwa sehemu ya mimi unavyoniona sasa hivi sasa iweje iweje aan, oyaa sijui itakuaje hapo kwanza...🤔🙌🏾
@rajuQuire @MasalaMoodz anakwambia unadhani mimi ni kama mamaako asie oga😂😂😂
1
1
3
Wakali zangu mkali Njiwa amefikisha Followers 200k na anatoa Zawadi ya Krismasi....Hakikisha umeifollow account ya @Njiwa_Store Kwa maunyama zaidi. Retweet tupate chochote kitu hapa wakali.🙏🙏🙏🙏🥳🥂
💨 Noma sana nimefikisha followers 200,000 🙏 Leo tunatoa zawadi ya Xmas kwa quote au reply zitakayokuwa na retweet nyingi ziwe umeitag @Njiwa_Store Washindi watano 1: Samsung A06 64GB 2: Redmi Watch 5 Active 3: Redmi buds 6 play 4: Redmi buds 6 play 5: Redmi buds 6 play
26
224
199
Kutoka shambani hadi jikoni kwako, Pemba Taste Products inakuletea viungo safi, organic, na ladha ya kweli ya Zanzibar. Kwa wapenda ubora, afya, na ladha isiyosahaulika. Tunauza jumla na rejareja. 📍 Michenzani Zanzibar. 📦 Mikoani Tunatuma 📞+255 774105389 #PembaTaste2025
2
12
18
Yaani ugomvi wetu siye umuingize mama yangu? Huyo huyo asiye oga ndiye alinizaa na kuwa sehemu ya mimi unavyoniona sasa hivi sasa iweje iweje aan, oyaa sijui itakuaje hapo kwanza...🤔🙌🏾
@rajuQuire @MasalaMoodz anakwambia unadhani mimi ni kama mamaako asie oga😂😂😂
1
1
3
Mwaka unaisha, lakini matatizo yetu yamebaki vilevile. Washkaji eeh! Tusichoke kupambania kesho isiyofika. Ndani ya ndoto zetu zisizotimia, kuna ndoto za wengine pia, zenye mwisho usiojulikana. Let's go next year Champs.👊🏿
0
4
24
Pamoja yupo kitandani na maradhi yanayomfanya asiende pahala popote lakini hajaacha kutekeleza ibada ya swala, vipi kuhusu mimi na wewe ambao Allah ameturuzuku Afya njema, tunatembea huku na kule kujitafutia rizq bado tuna sababu ya kuacha kufanya ibada?! #ReminderJannahGoals5
2
18
33