ngurumo Profile Banner
Ansbert Ngurumo Profile
Ansbert Ngurumo

@ngurumo

Followers
285K
Following
2K
Media
3K
Statuses
5K

CHANGEMAKER: Author. Journalist. Media Entrepreneur. Political Analyst. Social Activist. Fundraiser.

Stockholm, Sweden
Joined July 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ngurumo
Ansbert Ngurumo
5 years
Yupo wapi Rais Magufuli? Jumapili iliyopita alikuwa amepanga kusali ibada ya kwanza KKKT Azania Front. Alizuiwa dakika za mwisho. Hakwenda. Hajaonekana wala kusikika popote wiki nzima sasa. Kwa utaratibu tuliozoeshwa, iwapo na Jumapili hii hataonekana NI NEWS! Yupo wapi? Yukoje?
76
67
699
@ngurumo
Ansbert Ngurumo
3 hours
WATAALAMU WA VERIFICATION MTAIWEZA HII? NIMEIPATA MAHALI: Waliopiga kura walikuwa 7%. INEC ikashauri watangaze 62%. Mgombea akasema amepata zaidi ya 95% kwani watu wanampenda sana; kwamba watangaze anything between 95% and 100%. INEC ikaamua kutangaza 97%. The rest is history.
23
59
260
@ngurumo
Ansbert Ngurumo
2 days
0
6
27
@dosedaily_co
Dose
22 days
If your energy levels or digestion’s been off lately, your liver might be working overtime. Support your liver the way it supports you. Get 30% off your first order today.
1
1
36
@ngurumo
Ansbert Ngurumo
2 days
"One failed state is enough" - Mo Ibrahim to Tanzania.
2
54
183
@ngurumo
Ansbert Ngurumo
3 days
0
0
11
@ngurumo
Ansbert Ngurumo
3 days
SADC says Tanzania voting did not meet bloc's principles for democratic elections
Tweet card summary image
standardmedia.co.ke
8
106
388
@ngurumo
Ansbert Ngurumo
3 days
Uapisho wa rais wa aina hii haujapata kutokea kwa miaka 64 ya uhai wa Tanzania.
5
21
116
@ngurumo
Ansbert Ngurumo
3 days
Jicho la Gado leo!
0
13
68
@ngurumo
Ansbert Ngurumo
4 days
The Vatican speaks up on Tanzania!
1
7
22
@ngurumo
Ansbert Ngurumo
4 days
The nation is weeping!
21
572
2K
@ProudPatriots1
Proud Patriots
15 days
The Mint has authorized a release of this collectible $2 bill to commemorate the 250th Anniversary of the U.S. Navy, which was established on October 13, 1775. All orders will be eligible to receive a free matching half dollar commemorative coin. Limit of 3 per household.
46
120
834
@ngurumo
Ansbert Ngurumo
5 days
1. Wengi hawakupiga kura. 2. Wachache waliojitokeza walifurumshwa na Gen Z. 3. Mawakala hawakuwepo tena. 4. Waliojiandikisha ni 37 m. 5. CCM wenyewe hawana wanachama milioni 10. 6. Je, kura 32 milioni za Samia zimetoka wapi? 7. Bila intaneti, wamesafirishaje matokeo? KITUKO!
11
37
99
@ngurumo
Ansbert Ngurumo
5 days
Ushauri mwema uliokataliwa na Samia:
2
3
12
@ngurumo
Ansbert Ngurumo
6 days
Someone has to take control of the country now. The regime is falling!
7
9
51
@ngurumo
Ansbert Ngurumo
6 days
Mimi saa hivi nasikiliza Gen Z tu. Wanachotaka wapewe. Ndiyo matakwa ya taifa. Wasichotaka kiepukwe. Taifa hili ni lao. WASIKILIZWE!
7
11
66
@ngurumo
Ansbert Ngurumo
6 days
USHAURI: Serikali imeshapinduliwa. Msiposikiliza Gen Z mtaua wengi. Maandamano hayatakoma bila wao kusikilizwa. Kwa akili ya haraka tu, ili watulie, zipo sauti 2 wanazoweza kusikiliza kwa sasa - ya CDF aliye huru na jeshi lililoamua au @TunduALissu aliye huru. Busara itumike.
7
18
66