Joined
@Joined2022
Followers
16
Following
48
Media
35
Statuses
1K
Uliingia madarakan Soda zilikuwazinauzwa 500 saiv 800 Nyama ilikuwa inauzwa 7000 saiv 13000 Cement ilikuwa inauzwa 17500 saiv 24000 au kwakuwa nyie hamnunui kwa pesa zenu kila kitu mnapewa bure?
0
0
0
Mmefungia x au Tweeter halafu viongozi mnapost mnataka kuonyesha dunia kuwa nyie ni wema sana kumbe ni madictotor tu
0
0
0
Yaan mtu anauchu wa madaraka anaamua kuwawwkea vizingiti wagombea wengine wasigombee halafu anasimama anasema tuepuke watu wenye uchu wa madaraka dah.
0
0
0
Kwahiyo leo ni pasaka Zanzibar hawapiki ubwabwa kisa waisilamu wamefunga? Mbona wakrosto tumefunga siku 40 na hatukuwashitaki wala kuwabagua? Uisilamu ni dini iliyojificha chini ya ugaidi.
0
0
0
Nawaza kwa umeme huu tunahitaji raisi mkali zaidi ya Maguguli la sivyo wafanya biashara wataendelea kututawala.
0
0
0
Nataman vijana tuamke tutoke ndotoni, haiwezekan tunapakwa mafuta kwa kutumia mgongo wa chupa. Kila siku wastaafu wanateuliwa leo unasema vijana wamejaa ? Dadeki
Imani ya Rais Samia kwa vijana sio ya dunia hii. Ahsante Rais kwa Imani yako hii. Baraza la Mawaziri Karibu lote limejaa Vijana. Kazi kubwa kwa Vijana ni KUTOKUKUANGISHA. Naamini tutatimiza ndoto zako na za WATANZANIA!
0
0
0
Secretariet ya ajira popote mlipo mpigwe na radi mfe dadeki, mnatusumbua kuja kwenye interview kumbe tayari mmeshachaguana? Pumbavuuuu sana
1
0
1
Hivi wananchi hatuna haki ya kuandamana kudai umeme? Maana naona hawa jamaa wanatuzoea sana dadeki mvua inanyesha ila bado kuna mgao wa umeme? Au basi
0
0
1
Nikiangalia hiiratiba nataman kutoa machozi, sijui ni jin gan linalo tupitia unakata umeme kuanzia saa moja asubuhi hadi saa tano usiku dah 😰😰😰
0
0
0
Tulikuwa tumesha sahau kabisa kuhusu mgao wa umeme na maji, Ninakumbuka hata kipindi cha Jpm jua liliwaka sana hadi tukafunga na kuomba ila huu mgao sikuusikia. Kwan wameanza kufungulia maji maana ndo zilikuwa zao
0
0
3
Sasa hivi unablock watu wasikukosoe mpuuzi mmoja wewe
watu kutokana na watu wengi kutoka mikoa mbalimbali kuvutiwa na shughuli mbalimbali za Kiuchumi na jamii" " Kupitia tozo mbalimbali zinazokusanywa nchini tumeweza kupatiwa fedha hizo kwajili ya ujenzi wa madarasa zaidi ya 12 " " Kupitia tume ya Taifa Umwagiliaji tuna taarifa
0
0
2
Swali linakuja mwanzoni nchi ilijengwa vipi? Mlituambia pesa za covid zimejenga vituo vya afya na shule na tozo zinzfanya the same. Na kwa sasa zile kodi zilizo kuwa zinajenga hiyo miradi zinakwenda wapi? Ja kodi ya majengo nayo inafanya nini?
0
0
0
Mzee Kimario ameelewa kwa ufasaha juu ya faida ya tozo na kodi
0
9
51