
CRDB Bank PLC
@CRDBBankPlc
Followers
73K
Following
2K
Media
6K
Statuses
32K
Tumekuzingatia, tupo kurahisisha miamala yako na kukua pamoja. #tunakusikiliza
Tanzania
Joined July 2013
Nani kaiba vijiko 🥄? Basi unaambiwa Zai kijiwenongwa kaitwa kituoni kujibu mashtaka, kamkuta Bi Star na Dr. Almasi sura mbuzi 😡 wanataka kujua nani kaiba vijiko. Mara paap, simu inaita 📲 …𝘵𝘪𝘭𝘪𝘭𝘪𝘵𝘪𝘭𝘪𝘭𝘪𝘪…kupokea tu anakutana na Habari za ushindi.
33
10
43
Kumbukumbu Adhimu Mwaka 2008, Benki yetu iliandika historia kwa kuzindua matawi yanayotembea 'Mobile Branch' kusogeza huduma mahali ambapo hakukuwa na matawi ya kawaida. Leo hii, Benki ina matawi haya yanayotembea 12 ikiwa ni ishara ya dhamira yetu ya dhati ya kuwafikia
26
3
21
“Kua uyaone ila sio maghorofa” Samahani wahenga, 😂sie tunatafuta Washindi 5 tuwapeleke Ulaya wakashangae maghorofa na kula bata. Unaweza kuwa wewe 🫵kama unafanya miamala kwa TemboCard Visa yoyote! na kama huna akaunti ya CRDB unaweza kuomba TemboCard Prepaid kupitia link ya
13
1
7
Umeboresha taarifa zako? Ndugu Mteja,tafadhali fika tawi la CRDB na kitambulisho (NIDA/ Kura /Leseni/ Mkazi /Pasipoti) kuboresha taarifa za akaunti na kujisajili kwa alama za vidole. #crdbbank #tunakusikiliza
4
1
7
Swahiba ashiriki uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje. Benki ya CRDB imeshiriki katika uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001, toleo jipya la mwaka 2024, uliofanyika jijini Dar es Salaam na kuongozwa na mgeni rasm Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
2
1
4
Hakunaga tarehe ngumu Ni wewe tu hujajiunga na akaunti ya Mshahara ya CRDB inayokupa Salary Advance muda wowote Pata Salary Advance hadi 50% ya mshahara wako Faidi Mkopo wa haraka hadi shilingi Milioni 200 Tumia SimBanking na TemboCard #crdbsalaryaccount
#crdbbank
6
11
15
Mpango unaoendana na hadhi yako!🧳 Karibu uwekeze kiusalama kupitia akaunti ya muda maalumu tuliyokuandalia ambapo kuanzia kiwango cha shilingi milioni 20 na kuendelea kitakupa faida ya 12% kwa mwaka📈. Tupigie 0800 008 000 au karibu tawi la Benki ya CRDB leo #crdbbank
2
12
10
Jamani Amarah wa Paula na Marioo ameyapatia👶 Binti ana kesho bora na Junior Jumbo Account ya CRDB Bank. Hii ni akaunti spesho kwa mtoto wako. Tembelea tawi la Benki ya CRDB la karibu umfungulie mwanao kisha anza kumuwekea akiba. #crdbjuniorjumboaccount
#swahibanaweweumo
6
12
22
Dunia yote tunayo! Hamisha pesa kwa Internet Bank kwa safari mbalimbali kama vile dola, paundi, Euro na nyinginezo ukiwa popote duniani Tembelea tawi lolote la benki ya CRDB kujiunga na huduma ya Internet Banking #crdbbank
#tunakusikiliza
1
11
14
Kombe la Shirikisho kumekucha!⚽️ Mfano wa hundi ya kitita cha shilingi Milioni 1 imekabidhiwa Man of the match kwenye #crdbbankfederationcup2025 Max Nzengeli katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza uliopigwa Mkwakwani Stadium, Tanga kati ya Yanga na JKT ambapo Yanga aliibuka
0
0
4
Sogea @pizzahuttz na familia, kuna ofa Endelea kutumia kadi zako za TemboCard VISA ukiwa @pizzahuttz tukurudishie 10% ya bili yako. Ofa hii ni kila Jumamosi na Jumapili tu. Omba kadi kupitia tawini, kwa Wakala au SimBanking App au Prepaid TemboCard kwenye link:
0
0
2
Saa sita mbali sana kaka! Daka hadi milioni 1 kupitia Mkopo wa Jinasue wa SimBanking App utume CRDB kwenda CRDB tena BUUREEE! Mkopo ni hadi shilingi milioni 1 Rudisha ndani siku 30 Fungua SimBanking > Mkopo > Jinasue Pakua App ya SimBanking au piga *150*03#
4
7
13
Amani ya Bwana iwe nawe ✝️ Ukiwa na SimBanking unaweza kutoa Sadaka kwa niaba ya mtu mwingine na ikafika kanisani ⛪️ Piga *150*03# Chagua 3 Sadaka, Chagua 2 toa Sadaka, Chagua 1 kwa niaba kisha endelea. #benkinisimbanking
#crdbbank
#tunakusikiliza
5
11
13
Utamu wa Kwio 🍗wa KFC 10% ya mkwanja inarudishwa kwako na CRDB TemboCard💳 Endelea kutumia kadi zako za TemboCard VISA ukiwa @kfctanzania tukurudishie 10% ya bili yako. Ofa hii ni kila Jumamosi na Jumapili tu. Omba kadi kupitia tawini, kwa Wakala au SimBanking App au Prepaid
4
0
1
Taarifa kwa Umma Maboresho ya muda wa huduma kwenye matawi yafuatayo 📍Geita 📍Njombe 📍Tanga 📍Mbagala 📍Tabora #crdbbank
#tunakusikiliza
2
2
5
Kila kitu kipo kwenye SimBanking Ukipokea mkwnja kwa SimBanking📲 utumie ndani ya SimBanking kwa kufanya bili zako zote humu tu ujiongezee nafasi ya kushinda GARI jipya aina ya Toyota IST kila baada ya miezi miwili au Toyota Harrier mwisho wa mwaka Pakua SimBanking App kupitia
1
0
1
Jumaa Mubarak! Ukiwa na SimBanking ni shwari kabisa. Piga *150*03# au fungua SimBanking App kuanza sasa Chagua 3 SADAKA Chagua 2 Toa Sadaka Chagua 1 Binafsi Weka namba husika ya Nyumba ya Ibada kisha endelea #benkinisimbanking
#crdbbank
#tunakusikiliza
0
0
4
Uwekezaji wako umefungua milango ya fursa jumuishi ukileta huduma za kifedha zinazoendana na mahitaji halisi na imani ya jamii yetu. Tukielekea kwenye Mkutano Mkuu wa 30 wa Wanahisa tarehe 17 Mei 2025, utakaotanguliwa na Semina ya Wanahisa tarehe 16 Mei 2025 katika Kituo
0
0
1
Ila Milioni 4 kubwa nyie @crdbbankplc Sasa maswahiba kama sisi tunaweza kutamba kwenye ATM na kutoa hadi shilingi MILIONI 4, sio lazima uingie tawini. #swahibanaweweumo
#crdbbank
#tunakusikiliza
5
11
18
Taarifa kwa Umma Kuongeza muda wa huduma baada ya saa za kazi katika tawi la CRDB la TPA #crdbbank
#tunakusikiliza
1
4
7
Hali ya hewa isikuletee kiwingu⛈️ Tunakusoti pale unapokumbwa na majanga ya hali yoyote ukikata Bima ya nyumba kwetu. Bima kuanzia Tsh Elfu 59 Uharibifu wa Moto, Mafuriko, Radi, Tetemeko na mengineyo. #swahibanaweweumo
#crdbbank
#tunakusikiliza
1
4
5