
Abdulmajid Nsekela
@amnsekela
Followers
14K
Following
304
Media
331
Statuses
482
Group CEO @CRDBBankPlc | Chairman of @ushirika_tcdc | Former Chairman of @tba_forbankers
Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2019
Leo nimeshiriki katika harambee ya kuchangia ujenzi wa kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre kinachojengwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT). Katika harambee hiyo iliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
10
12
71
Alhamdulillah siku ya jana tulikamilisha kwa mafanikio makubwa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 30 wa Benki ya CRDB ikiwa ni tukio la kujivunia tunaposherehekea “Miaka 30 ya Kukua Pamoja na Wanahisa Wetu.” Miongoni mwa mambo muhimu yaliyoidhinishwa katika mkutano mkuu ni gawio la
10
18
131
Leo tumekua na semina nzuri ya wanahisa wetu kuelekea katika Mkutano Mkuu wa 30 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB. Kipekee sana nimshukuru Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. @dr_mpango kwa kukubali mwaliko wetu na kutufungulia semina yetu. Vilevile niwashukuru
6
12
69
Nikiwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania Bara @ushirika_tcdc , jana nilipata heshima ya kuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya makabidhiano rasmi kutoka Bodi ya Mpito kwenda kwa Bodi Mpya ya Benki ya Ushirika Tanzania @coopbanktanzania. Nimeipongeza
5
2
25
Ni heshima kubwa kwangu kutajwa katika orodha ya viongozi 25 bora wa Afrika katika sekta ya fedha na jarida la "African Leadership Magazine". Mafanikio haya si yangu binafsi, bali ni ushahidi tosha wa kazi kubwa inayofanywa na Benki yetu ya CRDB katika kubadilisha maisha ya watu
20
12
83
Leo imekuwa siku muhimu kwangu baada ya kukabidhiwa ofisi na vitendea kazi kama mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania (TBT) katika mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika jijini Dodoma. Nimeyapokea kwa unyenyekevu mkubwa maelekezo ya Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa
8
11
61
I had the pleasure of meeting with the team from the African Development Bank (AfDB) for an insightful discussion on deepening our collaboration to accelerate inclusive finance. A key highlight of our conversation was the Affirmative Finance Action for Women in Africa (AFAWA)
8
14
115
Tumekua na mazungumzo mazuri na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Chai Tanzania, Bi. Beatrice Banzi alienitembelea leo ofisini. Nikiwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo, nimempongeza kwa jitihada zinazoendelea kufanywa katika kukukuza sekta ya chai nchini na kumhakikishia ushirikiano wa
12
16
104
Today, I participated in the High-Level Conference on Scaling Finance for Smallholder Farmers in Africa, where I shared insights on Innovative Banking and how CRDB Bank is driving financial inclusion in agriculture. @CRDBBankPlc, we believe innovation isn’t just about new
4
11
67
I'm honored to participate in the High-Level Conference on Scaling Finance for Smallholder Farmers in Africa at JW Marriott, Nairobi, organized by @AfDB_Group and #PAFO. I will also join a panel discussion on innovative financing models for agriculture and share @CRDBBankPlc’s
1
1
14
Leo katika maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Wanawake Duniani nikiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB ambae ni mmoja kati ya viongozi mahiri wanawake katika sekta ya fedha nchini, Ruth Zaipuna pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TCB, Adam Mihayo. Mbali ushindani wetu
13
16
117
Tunapoendelea na maadhimisho ya mwezi wa wanawake ambao kilele chake ni Machi 8, leo nikiambatana na viongozi wengine wa Benki yetu nimepata nafasi ya kutembelea Idara yetu ya Mageuzi ya Biashara na kukutana na watendaji wanawake ambao wapo ndani ya Idara hii. Nimewapongeza kwa
4
5
46
Tunapoanza mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan, napenda kuwatakia Waislamu wote nchini funga yenye heri na kupokelewa na Mwenyezi Mungu. Tudumishe upendo, amani na mshikamano na kuendelea kuwakumbuka wenzetu wenye uhitaji. #ramadhankareem
16
23
382
Umekua wakati mwingine mzuri siku ya leo kukutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa TBA (Tanzania Bankers Association), Bi. Tuse Joune. Tumepata wasaa ya kuzungumza mengi kwa maendeleo ya sekta ya benki nchini na kukumbushana wakati ambao tulifanya kazi pamoja
8
7
85
Umekua wakati mzuri leo kukutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), CPA Nicodemus Mkama pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam, Peter Nalitolela. Mazungumzo yetu yamejikita katika kuboresha mahusiano baina ya taasisi
5
7
43
Nimekua na mazungumzo mazuri na Mhe. Shaib Hassan Kaduara, Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar juu ya namna gani Benki yetu na Wizara yake zinaweza kufanya kazi kwa pamoja ili kuboresha sekta ya maji, nishati na madini visiwani Zanzibar. Benki
1
0
13
Today, I had an opportunity to attend the second day of the Energy Summit at JNICC in Dar Es Salaam, where I had the pleasure of meeting the esteemed Ambassador of Denmark, Mr. Jesper Kammersgaard, along with his dedicated delegates, Mr. Anders Ørnemark and Ms. Karin Poulsen.
6
15
130
It is an honour to participate and engage with different stakeholders in the Africa Head of State Energy Summit in Dar es Salaam. Collaboration in expanding energy access and expediting the continent's clean energy transition is crucial for our collective future. Through
7
10
97
Umekuwa wasaa mwingine mzuri wa kukutana na Balozi wa Tanzania 🇹🇿 nchini Uingereza 🇬🇧, Mhe. Balozi Mbelwa Kairuki. Tumezungumza mengi ikiwamo ushirikiano wetu na Ubalozi, Wizara ya Mambo ya Nje na Serikali kwa ujumla kupitia dirisha letu la huduma kwa Watanzania waishio nje ya
5
5
93