MTANZANIA ๐น๐ฟ
@GilbertPaul095
Followers
9K
Following
71K
Media
871
Statuses
62K
Graphic Designer || Upcoming MC๐ค || SDA Church || Simba Sc || Liverpool Fc || UDOM alumni 2019
Joined June 2022
๐จ UPDATES ๐ดKuna timu zimekuja na Ofa kubwa sana kwa Shomari, lakini bado hajasaini kokote. ๐ฆAnachosubiri ni Mazungumzo na Simba Sc. ๐ขShomari yupo tayari kucheza Simba, na inasemekana Upande wa kijani ulitia nia pia, Baba Esther kasema NOOOO.๐ Apewe UNAHODHA au sio?๐
33
47
239
Kumbuka kumuomba Mungu kabla ya kulala usiku huu ๐
0
4
21
๐จ๐๐๐๐๐๐ โKwa Kuwa Hakuna Neno Lisilowezekana Kwa MUNGU.โ - Ujumbe wa Mke wa Marehemu MC Pilipili. #MeaMswahiliUPDATES
0
3
15
Jamani Mbona tumechelewa Kumpata huyu Mama @SuluhuSamia Jamani Jamani......?
177
172
3K
Hivi wewe huwa unamuelewa mtu anayekwambia "achana naye mbona wanawake wapo wengi sana" ukiwa umegombana na mtu unayempenda??
12
10
146
Good evening friends of Yahtana Yasmin
15
23
41
Weekend Kama ivi unatakiwa upoe nyumbn na familia au nimechelewa kukushauri umeshatoka๐
14
17
92
Tunapoingiza tu UDINI kwenye haya mambo madhara yake ni makubwa sanaa.
0
0
9
Mlipofikia kuanza kuweka udini mnaelekea kuharibuuu
0
0
2
Mungu wetu ni wa Utaratibu, au hujasoma Biblia mfalme Daudi alipokosea Nabii alimfuata private hakusema kwa kadamnasi ya watu, sababu tumejifunza kuheshimu mamlaka, kuna namna ya kuwafuata wenye mamlaka. So hutoona kwa Media kama unavyotakaโฆ.
Eti kazi ya WASABATO ni kukomaa kunyoa PANKI na kupinga watu tusile KAMBALE. Mambo ya nchi AAAHHH..!
0
0
2
Kama unajua kabisa familia yako haiwezi kukupa mtaji wala hawana connection ya kukupa๐ uwe umesoma au haujasoma kuwa WINGA muaminifu, mwanzo utachekwa na kuzarauliwa ila kutokana na kupambana kwako na kutokukata tamaa siku moja watakuita BOSS..
8
32
161
TEC Ndio Watu Pekee Wanaosema Yale Mambo Yalipo Mioyoni Mwa Watu..
4
23
115