Ulimwengu01 Profile Banner
Ulimwengu🇦🇷 Profile
Ulimwengu🇦🇷

@Ulimwengu01

Followers
14K
Following
261K
Media
12K
Statuses
253K

||@FcBarcelona 🇪🇸|| @yangasc1935 || Allah First 🙏🏾 || We live once ||#MessiGoat🐐|| #IDGT || DM FOR PROMO ❤️💙

Tanzania
Joined September 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Ulimwengu01
Ulimwengu🇦🇷
13 hours
21 Days to go, najua mnatusaidia kuhesabu. Chagua Samia✔️
@Ulimwengu01
Ulimwengu🇦🇷
2 days
22 Days to go, najua mnatusaidia kuhesabu. Chagua Samia✔️
1
44
28
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
2 hours
Ahsanteni sana wananchi wa Ilemela na Nyamagana kwa ukarimu na ushiriki mkubwa katika kampeni za Urais za Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kama ilivyo kote nchini tulipopita, kujitokeza kwenu kwa wingi katika mikutano yetu ya kampeni ni ishara ya ukubwa wa imani yenu kwa Chama Cha
26
48
98
@Ulimwengu01
Ulimwengu🇦🇷
2 hours
Dkt. Samia ndie Chaguo letu. Daima tunajivunia Rais Samia, Maana anaunganisha taifa, analeta amani, matumaini na mwelekeo mpya wa Tanzania Mpya tuitakayo. Tunaenda na Dkt. Samia
0
11
5
@Ulimwengu01
Ulimwengu🇦🇷
2 hours
Dkt. Samia ndie Chaguo letu. Daima tunajivunia Rais Samia, Maana anaunganisha taifa, analeta amani, matumaini na mwelekeo mpya wa Tanzania Mpya tuitakayo. Tunaenda na Dkt. Samia
0
11
5
@Rahma_Simba
One Sister
3 hours
Direction leo ilikuwa ni moja tu kuelekea uwanjani, usiulize, Mama ndani ya Mwanza hakuna aliyebaki nyumbani.a sasa si kama ile ya zamani ni maendeleo si maneno, ni matendo!
0
42
27
@Rahma_Simba
One Sister
3 hours
Uongozi makini wa Dkt. Samia Suluhu Hassan umeihakikishia Tanzania amani, utulivu na ulinzi imara. Wananchi wameona kazi, wameona matokeo — Oktoba 29 wanatiki kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. #KaziNaUtu #TunasongaMbele
0
40
20
@Mo_Bjr
Sava G
3 hours
OKTOBA 29 TIKI NI TATU TU Tiki Kwa Samia Suluhu Hassan Rais✅️ Tiki Kwa Mbunge CCM✅️ Tiki Kwa Diwani CCM ✅️ #KaziNaUtuTunasongaMbele https://t.co/T5wMLgB0b0
0
35
25
@Baba_aika1
BABA AIKA✍️
3 hours
OCTOBER TUNATIKI Ni mwezi wa maamuzi, mwezi wa kusimika dira ya maendeleo. Watanzania tumeona, tumeamini, na sasa tunatiki kwa kishindo kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan,kiongozi wa kazi, utu na matokeo. #KaziNaUtu #TunasongaMbele
0
36
21
@Baba_aika1
BABA AIKA✍️
3 hours
Wanaosema hawayaoni maendeleo, waulize tu Mwanza leo!
1
42
23
@Ulimwengu01
Ulimwengu🇦🇷
3 hours
CHAGUA SAMIA, CHAGUA MAENDELEO. Mama amekuja Mwanza na dira ya maendeleo, umati huu ni kiashiria cha kazi inaendelea, ahadi zimetimia! OKTOBA TUNATIKI.
0
23
11
@Kilwafinest
Kilwafinest 🦈
4 hours
Oktoba 29 Wananchi wamejiandaa vizuri sana Kuja kutiki Kwa amani Sauti Ni Moja Tu Oktoba 29 Tunatikiiiiiiiiiiii ✅
0
26
16
@Cutyhusnah
Husnaiya
3 hours
Oktoba 29 Tunatikiiiiiiiiiiii Kwa Rais Samia Suluhu Hassan 🗳️✍️ #KaziNaUtu #TunasongaMbele
1
32
23
@Godfxer_fan
Godfather fan
3 hours
Watanzania tuende tukapige kura Oktoba 29 tusikubali kushawishika na watu wasio litakia mema taifa letu. SSH 2025-2030 ✅️ ✅️ ✅️ Oktoba tunatiki #kaziNaUtu #TunasongaMbele
0
42
27
@Ulimwengu01
Ulimwengu🇦🇷
3 hours
CHAGUA SAMIA, CHAGUA MAENDELEO. Mama amekuja Mwanza na dira ya maendeleo, umati huu ni kiashiria cha kazi inaendelea, ahadi zimetimia! OKTOBA TUNATIKI.
0
23
11
@Cutyhusnah
Husnaiya
3 hours
Wananchi wa Mwanza wamemiminika! Dkt. Samia Suluhu ameleta ujumbe wa matumaini na kazi!
1
27
15
@muhaluro1
Muhaluro Jr
3 hours
Wanaosema hawayaoni maendeleo, waulize tu Mwanza leo!
1
35
13
@IndexTanzania
Tanzania Political Index
11 hours
Serikali imeanzisha vizimba 400 vya ufugaji wa samaki wilayani Misungwi, kukuza uchumi wa wavuvi na kuongeza upatikanaji wa lishe bora. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
4
1
@IndexTanzania
Tanzania Political Index
11 hours
Serikali itakamilisha ujenzi wa zahanati 4 zinazoendelea kujengwa Misungwi, kuhakikisha wananchi wote wanapata huduma za afya karibu. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
3
2
@IndexTanzania
Tanzania Political Index
11 hours
Serikali itaboresha vituo vya afya vya Busongo, Kolomije na Ndundulu kwa kiwango cha kisasa, ili vitoe huduma za upasuaji na kuboresha afya ya wananchi. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
4
3
@IndexTanzania
Tanzania Political Index
11 hours
Serikali itaongeza shule mpya 2 zenye kidato cha tano na sita wilayani Misungwi, kuongeza fursa za elimu ya sekondari ya juu kwa vijana. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
4
4
@IndexTanzania
Tanzania Political Index
11 hours
Serikali itaendelea kutoa ruzuku kwa wakulima na wafugaji, kupunguza gharama za uzalishaji na kuongeza kipato cha kaya vijijini. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
4
3