@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
2 years
Bila Bashiru mali za @ccm_tanzania zilikuwa zimeporwa na wachache akina @Nnauye_Nape & Co. Alisimamia zoezi la kurudisha mali za Chama zenye thamani zaidi ya Trilioni 1. Kama sio uungwana,uzalendo na uaminifu, Nani angeweza? Imagine hilo zoezi wangepewa akina @Nnauye_Nape πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
16
44
115

Replies

@CkrissBamanyisa
Bamanyisa Ckriss
2 years
@EJ_Mwita @ccm_tanzania @Nnauye_Nape sasa naweza kuelewa kuwa Mh, Jpm hakuwa vema kiafya wakati huu bila shaka hizi ndio zilikuwa siku zake za mwisho namna sauti yake inavyotoka haikuwa sawa
0
0
6
@BinMtanzania
Mtanzania Bin Tanganyika
2 years
0
1
4
@VIXIOUSXI
Cogito, ergo Sum
2 years
0
0
1
@Spcl76146205
Pixelup
2 years
0
0
0
@M2202Jh
jamhuri ya WAHUNI
2 years
@EJ_Mwita @ccm_tanzania @Nnauye_Nape Kila nikikumbuka hizi ni Mali za Umma.....🎀
0
0
2
@BanuHai1
Banu Hai
2 years
0
1
1
@_The_Black_Mask
cygnus
2 years
@EJ_Mwita @ccm_tanzania @Nnauye_Nape Duh ... Mzee unamwaga mbigili
0
0
1
@_The_Black_Mask
cygnus
2 years
@EJ_Mwita @ccm_tanzania @Nnauye_Nape Kumbe walikwiba hadi chanel 10
0
0
5
@chogorito
Chogorito
2 years
@EJ_Mwita @ccm_tanzania @Nnauye_Nape @HKigwangalla kwenye buku wewe ni sumni kwa bashiru + hicho kibib kigagula
0
0
0
@zinja255
zinja master
2 years
@EJ_Mwita @ccm_tanzania @Nnauye_Nape Hao wanaoona bashiru kazingua ni wanafiki tu kazi yao ni kujipendekeza
0
0
0
@plate_mdaijasho
MdaiJasho
2 years
0
0
0
@boss_mendez2
MangiΒ©
2 years
1
0
1
@MavumilaJR
Balance
2 years
@EJ_Mwita @ccm_tanzania @Nnauye_Nape Ni ujuha kuziita mali za chama wakati ni za wananchi, viwanja vya michezo, majengo ya umma waliojitwalia wenyewe, sema watanzania wengi mshachagua upande.
0
0
0
@rchboy9
Ola~kwiπŸ’₯
2 years
@EJ_Mwita @ccm_tanzania @Nnauye_Nape Mzee kashauri vyema sana✊
1
5
8