DonathaMsamba Profile Banner
Donatha Msamba Profile
Donatha Msamba

@DonathaMsamba

Followers
2K
Following
33K
Media
711
Statuses
26K

Child of God 😇 Plumber |Painter | an entrepreneur| Sales Executive Till and Merchant lipa namba @YoungAfricansEN fan

Tanzania
Joined May 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@DonathaMsamba
Donatha Msamba
2 years
Hello MFANYABIASHARA ZIJUE FAIDA YA KUWA NA LIPA NAMBA 1, kupokea malipo kidigitali pasipo kutumia pesa taslimu 2,Gharama nafuu,hakuna kodi mpya ya tozo za miamala pale mteja anapolipia bidhaa kwa kutumia lipa KWA simu 3, gharama ya makato kwa mteja anayelipia bidhaa ni nafuu
14
59
107
@DonathaMsamba
Donatha Msamba
14 hours
Upanda bodaboda ya kitaa baada ya masaa mawili unarudi home unaambiwa boda kachanganyikiwa kaweuka kawa kichaa, Haya maisha yanasiri nyingi Sana hasa kwenye familia tunazoishi changamoto NI nyingi
0
0
0
@Tinahcristiaan
Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰
19 hours
Fundi ukifika kjiweni we sema me nataka zege letu full combat😋 ~Ila biashara zingine🙌🥱kuna mdada jirani jana katoka na kichwa cha rangi akijua mzungu asubuhi anaamka anakuta kichwa cha rangi🤣Wadogo zangu wakike Tamaa sio kitu ya kukutawala.jamaa kapiga Yes No nyingi🤣🤣🤌
6
13
41
@og_outfits
OG OUTFITS❤️💃
2 days
Jeans za kiume🔥 High quality material🔥 Size 30,31,32,33,34,36,38,40 Bei 35000 @ 1 Tunafanya delivery Mikoani tunatuma (kwa gharama ya mteja) Location 📍 External darajani (Maziwa road) Dar es salaam Contact; Call/watsap 0763509705
1
24
34
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
2 days
Mie pia ninaamini mabadiliko yanakuja. Lakini ole kwa yeyote aliyeshiriki kwa namna yoyote ile kuwauwa kwa kuwapiga risasi kikatili raia wengi wa nchi yetu wakati wa uchaguzi 2025 maana damu ya raia hao itaendelea daima kudai haki ya waliouwawa.
@mangekimambi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
2 days
Watanzania, tupo pazuri na tunaelekea pazuri. Najaribu sana kutokuongea too much mambo ya background ila soon mtaona matokeo, cha msingi ni kwamba wooote nchi nzima tuwe focused, hakuna kurelax.
14
128
780
@mangekimambi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
2 days
Watanzania, tupo pazuri na tunaelekea pazuri. Najaribu sana kutokuongea too much mambo ya background ila soon mtaona matokeo, cha msingi ni kwamba wooote nchi nzima tuwe focused, hakuna kurelax.
170
722
5K
@Twaha_Mwaipaya
Twaha Mwaipaya
2 days
HABARI KAKA MWAIPAYA Naitwa Maria ,sijui hata nasemaje ila inshort tu Rafiki yako Deusdedith Soka aliniacha nikiwa na ujauzito na sasa mtoto wake ana umri wa mwaka na miezi 3. Aisee nimemsubiri arejee aje kunisaidia kulea mtoto ,maana hadi hapa alipofikia nimepigika
73
185
1K
@og_outfits
OG OUTFITS❤️💃
3 days
Jeans za kiume🔥 High quality material🔥 Size 30,31,32,33,34,36,38,40 Bei 35000 @ 1 Tunafanya delivery Mikoani tunatuma (kwa gharama ya mteja) Location 📍 External darajani (Maziwa road) Dar es salaam Contact; Call/watsap 0763509705
0
16
24
@mangekimambi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
2 days
Nyooooo, kutwa kutusema kina Mange tunatumika na “mabeberu” kumbe yenyewe mpaka yanachota kodi za wananchi ili kujipendekeza kwa “mabeberu”. Imagine kila mwezi wanaiba $45,000 za Watanzania wanawalipa “mabeberu” ili wakawasafishie image yao ya uuwaji kwa “mabeberu’ wenzao
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
3 days
💥KA-BOOM TUMEWABAMBA WANAMWAGA PESA WAKUBALIKE NA “MABEBERU”‼️ Serikali haramu imeajiri kwa miaka miwili lobby group ya Ervin Graves ya Marekani kwa kiasi cha dola 45,000 kila mwezi ili iwasaidie kuwafikia Bunge na wabunge wa Marekani na serikali. Itatumia dola milioni moja na
43
312
2K
@DonathaMsamba
Donatha Msamba
6 days
FAIDA YA KUWA NA LIPA NAMBA 1, kupokea malipo kidigitali pasipo kutumia pesa taslimu 2,Gharama nafuu,hakuna kodi mpya ya tozo za miamala pale mteja anapolipia bidhaa kwa kutumia lipa KWA simu 3, gharama ya makato kwa mteja anayelipia bidhaa ni nafuu 0768466292 KARIBU NIKUHUDUMIE
0
0
0
@noah_mwamfupe
ARISTOTLE 🇻🇦🇻🇦
6 days
Sala na Kazi. Mtakatifu Benedicto anasema “Unatakatifu pia unapatikana katika kufanya kazi” hakuna mbingu ya wavivu.
6
28
263
@DonathaMsamba
Donatha Msamba
6 days
Tafuta BIASHARA ya PEMBENI ukiachana na KAZI unayofanya KAZI simple Pata LAINI za uwakala mitandao yote kwa gharama nafuu Kwa majina yako FAIDA UKAPATE WEWE BOSS Whatsap 0768466292 Malipo ni baada ya kazi kukamilika MIXX By YAS MPESA AIRTEMONEY HALOPESA 24hrs Rt🙏
0
0
0
@PolycarpMDM
Polycarp The Bibliophile
8 days
Rais Ali Hassan Mwinyi wakati akimkaribisha Papa John Paul II alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Tanzania wakati huo ukiitwa Dar es Salaam International Airport - DIA (Sasa Julius Nyerere International Airport). Ndege ilipotua uwanjani hapo, mlango wa ndege
11
58
545
@DonathaMsamba
Donatha Msamba
9 days
NIDA wanafanya maboresho ya nini maana Leo ukifanya Huduma yoyote inayohusisha NIDA na kuscan fingerprints hazipo
0
0
0
@Twaha_Mwaipaya
Twaha Mwaipaya
10 days
Ndg Yetu SEKELA JOHNSON GEORGE Mwanachama wa CHADEMA Mkoani Mbeya anauguza mamaake, Mama Yetu, ni Mwaka wa tatu sasa Mama amepooza, Hali Ya Uchumi ni Changamoto Sekela ni Kiongozi wa BAVICHA Jimbo la Mbeya Mjini. Kwa Unyenyekevu Tumekuja Kwenu tunaomba Msaada, Apate BIMA
12
215
759
@og_outfits
OG OUTFITS❤️💃
10 days
Formsix big size 3Xl, 4xl,5xl,6xl 30000 Tzsh @ 1 Location📌 External darajani, Da es salaam Delivery ✅ Tunatuma mikoa yote kwa gharama ya mteja Contact; watsap//call 0763509705 #Retweet ❤️🙏🏾
0
10
8
@Roma_Mkatoliki
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
10 days
Ex JBL 🔊 anapost sana IG now, kila baada ya masaa mawili anatia post!! She tries to show she is happy!!😁 She is trying to fit in Engagement shindili!! Wakikosaga position hawa wanakuwa desparate sana, ndio wanaanza kuigiza wako humble kwa raia, watareply kila comment
42
136
1K
@HildaNewton21
Hilda Newton
11 days
JESHI LA POLISI LIMEMUUA PETER MWITA WANDA. Usiku wa kuamkia January 1, 2026 maofisa wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara walivamia nyumbani kwa kina Peter Mwita Wanda Tarime kwa lengo la kumkamata Mama ake Peter. Peter aliwambia Polisi kabla hawajamchukua Mama ake waseme kwanza
70
280
1K
@Sativa255
SATIVA
11 days
BIBI WA GEN Z amekuja kushukuru kwa wote mlioguswa kwenye msaada mliompa. REPOST 200 TUTAKUWEPO🫵😎
12
257
1K
@Mrs_Pappi
Jessie J🌺
5 months
*Your Real Estate Matchmaker — connecting you with the land and home of your dreams* Nakupa viwanja vya hadi 140,000 kwa mwezi Mlandizi New City Bagamoyo -324,000 Chamwino-500,000 Nala Dodoma-690,000 Kigamboni-240,000/400,000 Malipo MdogoMdogo Bila Jasho 0745124138 PlzRETWEET
6
54
85
@DonathaMsamba
Donatha Msamba
11 days
CHAGUA KIFURUSHI NIKUUNGANISHE BURE NDUGU MTEJA MALIPO UTAFANYA MWENYEWE KUPITIA SIMU YAKO BAADA YA KUKUTENGENEZEA ACCOUNT VIGEZO NAMBA YA SIMU YA VODACOM TIN NUMBER NIDA 0768466292 KARIBU NIKUHUDUMIE RT PLZ🙏 KAMA SIO WEWE MWINGINE ANAHITAJI
0
0
0